WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

Uje Singida Manispaa Mi Nije Mbeya, Nipo Sekondari, Karibu Sana Sana Kwa Aliye Muhitaji
 
Karibu ruvuma tunduru mwalimu mwenzangu, Utakula korosho,ufuta,maembe,machungwa,stafeli,ugali,wali,kuku n.k bureeee, sekondari 0788 429993
 
Mwl. (sekondari) niko tunduru, kwa yeyote aliyetayari kuja tunduru. 0779688362/0787507351.

na mimi pia nipo hapa hapa tunduru ,sekondari,anayetaka kuja akitokea pwani,tanga au moro 0788 429993
 
nahitaji kubadilishana na mwl yeyote. kutoka Dodoma kuja Kahama. anichek kwa 0752737402. ili tuzungumze!!
 
Nipo shinyanga manispaa shule ya sekondari. Natafuta mwl wa morogoro manispaa tubadili nafasi.
 
Nipo Dar nataka nihamie kwa Katavi mzee, fanya mambo basi!! Nasikia kule walimu wanafavour nyingi sana.

ww, unataka kuja Katavi....? Tubadilishane, me Nipo Mpanda Mjini, Mkoani katavi....kama upo serious take my phone number 0787 06 22 08
 
Nipo wilaya Bunda mkoa wa Mara idara ya msingi natafuta mwl wa kubadilishana nae kutoka mkoa wa arusha,longido.kilimanjaro au morogoro.kwa mawacliano zaid 0787181565
 
Hellow walimu,kama kuna mwl msingi anaitaji kubadili kituo cha kazi kutoka shinyanga kishapu kuja mikoa inayo pakana na arusha 2tafutane jamani,umoja ji nguvu,


pia kwa mwalimu wa msingi yeyote anaeitaji kwenda shinyanga anitext any time,
 
Ndugu wana JF, naomba kufahamishwa utaratibu wa kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu. Msaada tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…