Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mimi nipo masasi mjini nataka kuhamia halmashauri yeyote ya songea au namtumbohujaeleweka mkuu! Yani wewe unataka kwenda songea mjini au unataka kutoka songea mjini uende kijijini?
wewe baki zako hukohuko chidya kwako kunakufaa ulime nyanyamimi nipe laki 6 nije masasi.
Mkuu y-n hebu kuwa
serouse bac maana mimi nina shida kweli hebu nipm bac if u mean what you
say.
kamsamba unaweza kuja?mimi nimwalimu level ya shahada natafuta mwalimu wa kubadilishana toka Tunduru kwe nda mbeya wilaya yoyote tuwasiliane kwa namba. 0755806477
Me Cko Tunduru Mkuu Ila Nna Mtandao Mpana Kule Tunduru Wa Walimu Kubadilishana
Kubadilishana nae mawazo au notes mkuu?
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo cha kazi elimu msingi.
mimi nipo wilaya ya kilindi mkoani Tanga. napendelea kwa aliyeko mikoa ya Iringa, Mbeya, Pwani, na Ruvuma.
aliye tayari anitaarifu kupitia hapa. PM kwangu au andika hapa chini.