Walimu Laki Mbili kugombea Nafasi elfu Kumi na Moja. Wanaotakiwa Oral interview NI elfu arobaini na nne

u

najidanganya!! Asipopatikana alioyefaulu usaili nafasi zitatangazwa tena!!

Ishu sio kutangaza tena ishu hawapo yaaan ukitangaza tena inamaana ni wale wale walokosa.. Uhaba ni mkubwa alafu masomo hayo walosomea ki uwalimu ni wachache sana.
Yaaan hata wakisema wanawahitaji wafike elfu moja hawatakuwepo pia kabla hata hawajaomba
 
Kwanini wasifanye hivyo Sasa.. Maana unaweza Kuta mkoa mzima umefail
 
Ualimu ni laana
Gg Mpwayungu Village
 
Kimeumana huku. Sasa hivi kila mtu ni mtakwimu, bila shaka ni mwalimu wa Economics au Georgraphy huyo.
 
Nafasi moja kugombaniwa na watu 18 mbona kawaida sana umewahi kujiuliza sekta binafsi, inapotokea kampuni imetangaza nafasi moja ya Meneja inaombwa ama kugombaniwa na watu wangapi?
 
NI vywasi
 
Ndivyo ilivyo kwenye fani zingine pia,si mlikuwa mnawacheka? Hakuna Mwalimu kanjania tena
 
Mbuzi wewe.. Lipa mishahara na mazngira mazuri thn urud hapa, unamlipa mtu laki 3 ushuzi hata kama mimi nikihudhuria class kwa wiki mara 3.
Ulipwe zaidi ya hapo Kwa Elimu Yako ya cheti? Yaani umepata div III na kacheti Kako unataka ulipwe bei gani? Si ubakie mtaani uone moto
 
Yah wajue hayo
 
Daaa kazi kweli na ualimu sasa ivi umeshakuwa ishu
Na unatakiwa uwe ishu zaidi ,wanapenda huko wawe wale wenye div 1 au 2.

Div 1 iwe points 7-14 ,Kuanzia 15-20 iwe II sio kama ilivyo Sasa ma points meengi..

Walimu wanatakiwa wale vipanga tuu ndipo Sasa serikali ibadilishe scale za malipo Yao.
 
Vipanga bongo hii? Labda pasiwe na connection. Hizo div zenyewe tu ni za kimkakati...
 
Na unatakiwa uwe ishu zaidi ,wanapenda huko wawe wale wenye div 1 au 2.

Div 1 iwe points 7-14 ,Kuanzia 15-20 iwe II sio kama ilivyo Sasa ma points meengi..

Walimu wanatakiwa wale vipanga tuu ndipo Sasa serikali ibadilishe scale za malipo Yao.
Scale ya malipo kwa watumishi wa umma haina tofauti kulingana na madaraja yao ya kazi na viwango vyao vya elimu.
 
Hapo watakao ajiriwa ni wale watakao kubari kusaidia ccm kuiba kura. Yaani wale wenye kadi za ccm zote ndio watakao ajiriwa. Dawa ni kuondowa shetani ccm ili tujenge nchi kwenye misingi ya haki.
Walimu wamepewa tena nafasi ya ku comfirm employer. Waitumie vizuri chance waliyopewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…