Walimu shuleni waongozwe na Walimu wenye Elimu kubwa zaidi ili kupunguza migogoro

Aisee! Akishindiliwa swali moja tu na staff members povu mpka halmashaur [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anapiga cm halmashauri, nimekumbuka mratibu elimu kata mwenye Diploma, dhidi ya Makamu mkuu wa sec mwenye Masters yake, sio kwa mabishano yalee.

Mratibu anabaki, kila mtu acheze na cheo chake tusipandane kichwani baada ya kuishiwa hoja. Afu mbele ya wananchi.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha porojo za kizamani, kuwa na mkuu wa idara mwenye elimu na uzoefu mkubwa kunaongeza ufanisi maana kunakuwa hakuna kudharauliana.....haya mambo ya business as usual ndo yanakwamisha hii nchi kubaki hapa ilipo hadi kushindwa kuendesha bandari.​
 
Uteuzi unatokana na Utendajikazi uliotukuka, kuwa na maadili mema yasiyo tia shaka, elimu ikiwa ni sifa ya nyongeza. Kigezo cha kuwa na Kiwango kikubwa cha Elimu ni punje ndooogo katika kufanya Vetting ya mteuliwa. Over
Ujinga mtupu,hapa ndio rushwa,urafiki,ngono ndio zinapozaliwa.
 
Ndo maana walimu wengi wakiwa na masters au PhD wanafanya wawezavyo watoke shule waende vitengo vya juu zaidi
 
Ujinga mtupu,hapa ndio rushwa,urafiki,ngono ndio zinapozaliwa.
Bila kusahau undugu (nepotism), ndo maana kigezo cha elimu kinasaidia kupunguza mambo kama haya.....maana siyo rahisi kuipata Masters au PhD kindugu ndugu au kwa kujuana.
 
Hahaaaaa nyie ndo wazee wa vikao... kwa akili hizi ndo maana migogoro haiishi duh! Watu bado wanaakili za kihenga kiasi hiki kweli
 
Bila kusahau undugu (nepotism), ndo maana kigezo cha elimu kinasaidia kupunguza mambo kama haya.....maana siyo rahisi kuipata Masters au PhD kindugu ndugu au kwa kujuana.
Kabisa
 
Coca mbona umeukomalia sana huu Uzi..

Kazi za majungu hizi ni za kipumbavu
 
Natamani sana siku moja niandike paper kuhusu tofauti kati ya sifa (vigezo stahiki vya kitaaluma) na ufanisi kazini. Yaani the difference between proper qualifications and perfomance.

Iko hivi, kuwa na elimu kubwa hai-guarantee utendaji kazi mzuri. Kuna mtu ana PhD ila unaweza ukakuta ni mbovu kuliko mwenye undergraduate degree, and the vice-versa is true.

Hii observation yako bado ina walakini mkuu. Jipange.
 
Hahaaa kiazi kweli ww, kwa akili zako hizo kwanza hyo paper unaifahama kweli, kwahyo hzo kazi zinazotaja level ya Elimu fulani wanakosea siyo. We ni pomole.
 
Ajipande Nani nimekwambia mm nataka kujipanga pumbavu we!
 
Coca mbona umeukomalia sana huu Uzi..

Kazi za majungu hizi ni za kipumbavu
Acha kuangalia maisha ya mtu fanya yako...umekalia umbea umbea tu Nyie ndo nasikia hata chai mnanywea kwa ofs za Walimu wa kuu kupiga umbea mmeacha staff🤣🤣
 
Acha kuangalia maisha ya mtu fanya yako...umekalia umbea umbea tu Nyie ndo nasikia hata chai mnanywea kwa ofs za Walimu wa kuu kupiga umbea mmeacha staff🤣🤣
Wewe utakuwa Ile timu ya kupeleka unafiq Kwa boss .. Njaa kali Hela hamna.
 
Acha kuangalia maisha ya mtu fanya yako...umekalia umbea umbea tu Nyie ndo nasikia hata chai mnanywea kwa ofs za Walimu wa kuu kupiga umbea mmeacha staff[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…