DOKEZO Walimu wa Shule ya Sekondari Rasesa wawashikisha watoto Pedi chafu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu, usihamaki take it easy.
Unazingua sana. Unaandika nakaa kwa shemeji. What is that about?

Aliyekuambia nachukia walimu ni nani?
Kama jambo limetokea shule tusi report?

Bongo kuna kasumba, unaenda ku report polisi kwa tukio unakamatwa wewe unawekwa ndani two years. Unapelekwa mahakamani kama mtuhumiwa

Disappointed
 

Huna unalolijua kuhusu UALIMU wew, endelea kujidanganya humu mwenyewe.
Kuna Namna ya kupresent hoja ila sio Kwa kutishia watu Mkuu. Hii anonymity ya JF inawapaga kibri sana mnajikuta Shit talkers..
Anyways, sinaga hulka ya kukashifu watu hata iweje kama binadam nimeteleza hapo juu sababu ya kuguswa na Hustle za Walimu wetu hapa TZ, let me use this last text to apologize, Pole sana Mwl.Kapaya.
 
Swala la kucheka tu na kumwambia mtoto kuwa huo sio mti sasa hasira za kuchapa zinatoka wapi?
 
Swala la kucheka tu na kumwambia mtoto kuwa huo sio mti sasa hasira za kuchapa zinatoka wapi?
Mwanafunzi alichapwa fimbo nyingi bora hata angepigwa fimbo moja. Yule ticha nilimwakia sana

Humu ndani kuna watu wazima hata ukimuliza mti wa mpera unafananaje hajui, au fenesi mti wake ukoje hajui

Swala la kumfundisha tu
 
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse pia
 
Kumbe ni jambo ambalo linafanyika? Kiafya imeakaje Lee? Unamshikishaje mtoto pedi chafu tena iliyotoka chooni ina maji taka umwambie akamue?

Kuna kitu kinaitwa mafunzo kwa vitendo huko shuleni, sasa hii ni part moja wapo. Watoto hawa kuna muda ni wajinga na wana kiburi sana, sasa unakuta mtoto choo kisicho cha shimo anatupa pedi, hili ni tatizo hata kwa baadhi ya wapangaji kwenye nyumba za kupanga. Majitu mazima kabisa.

Hawa watoto wamefanyiwa hivyo nakuhakikishia hawata rudia na wakitoka hapo watanawa mikono yao kwa sabuni vizuri tu kwa kutumia maji yanayo tiririka.

Usipoteze muda wako bure mkuu.
Tuwaunge mkono walimu wetu walio katika mazingira magumu sana ya kufanya kazi.
 
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse pia
 
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse pia
Kabisa, hawa hawa wanakojoa na kukaa na mapedi na mikojoo, kinyesi kwenye ndoo.. leo unaogopa ameshikishwa tu....
 
Kuna namna ya kuwafundisha kwa vitendo. Ila sio kushika pedi ya mtu chafu, yenye damu na imedumbukizwa kwenye maji ya choo

Hakukiwa na alternative way of teaching them?


Unaonaje hapo unapokaa na kutupa pedi chooni, wakushikishe wewe na wenzako wote kama fundisho ?
 
walifagia madarasa na Kudeki vyoo na hujawahi kusikia wamelalamika maana wanajua bila maarifa Yale wasingekua na nidhamu ya kuwafikisha hapo walipo.
kwenye hili hapana viongozi wengi hawana nidhamu ni wa ovyo na taia zao zinonekana kwenye utendaji wao na mambo ya ovyo wanayoyafanya hivyo naamini malezi na nidhamu za woga waliopitia kipindi wakiwa wanasoma ndio unaonekana sasa.
Unajua mziki wa kukaa na watoto 1200 kutoka familia tofauti Mkuu, Kila mtoto ana Kuja na tabia yake kutoka nyumbani kwao na unatakiwa uwasimamie wote wawe sawa, hiyo kazi ungepewa wew unafkiri ungekua hautelezi kwenye maamuzi yako as a human??
ndio kazi yao hiyo hata kama watoto wangekuwa elfu 5000 bado walimu wanapaswa kuwaelimisha tena na tena na tena umuhimu wa usafi binafsi na wa mazingira na sio kuwafundisha kwa njia ya ukatili hivyo au kuwapa adhabu kama hizo ambazo ni hatarishi kwa afya za hao watoto!
Wanaweza wasiwe sahihi kwenye hilo lakini kabla hujawaanika hapa hebu vaa Viatu vyao kwanza...
kukosea kwao hakujustify sababu eti wanawatoto wengi hivyo wanateleza kwenye kufanya maamuzi vipi nae askari magereza ni sawa akiuwa magereza sababu atakuwa ametereza tu kwenye kazi yake, na muhudumu wa ank nae ni sawa hasipoweka hesabu zako vizuri za account yako ungeridhika angekwambia kuwa alipitia sababu ya kazi nyingi sana!
 
bongo inawagonjwa wengi wa akili wasiojijua!
 
Kuna namna ya kuwafundisha kwa vitendo. Ila sio kushika pedi ya mtu chafu, yenye damu na imedumbukizwa kwenye maji ya choo

Hakukiwa na alternative way of teaching them?
Hapana hakuna alternative way ambayo wataikumbuka vizuri. Utakuta hivi vyoo vinaziba every day, wakiulizwa wanakataa wote, halafu wazazi mkija mnalalamika kuwa shulke ni chafu. Hii ni adhabu mujarabu kabisa, believe me you, hawa watoto hawatarudia tena, na watamkemea yeyote wataye ona amefanya hivi.

Usicheze na mafunzo kwa vitendo, ndio njia bora zaidi ya kufundisha vijana wetu mahiri.
 
ni adhabu nzuri naiunga mkono kwa 100% tena ingewezekana walitakiwa waambiwe wakiishika ilivyo na wainuse pia
 
Kwanza, tukubaliane kuwa jambo lililofanyika ni kinyume kabisa na taratibu. Huo ni upuuzi usiopaswa kuungwa mkono hata na mtu asiye na akili.

Ni hatari sana kwa afya ya wanafunzi na hata walimu wenyewe.

Lakini pia, lazima tukubaliane kama wazazi na walezi kuwa tuna wajibu wa kuwalea watoto wetu katika maadili na uwajibikaji.

Kutupa taka chooni ni hatari sana. Vyoo vikiziba vinaleta uwezekano mkubwa sana wa mlipuko wa kipindupindu. Na kwa jamii yenye mkusanyiko mkubwa kama shule, basi ni janga litatokea.

Pamoja na kuwalalamikia walimu, sisi kama wazazi tukae chini na watoto wetu. Tuwafundishe kitu gani kikae wapi na kwa sababu gani. Kwa nini si vema pedi zitupwe chooni. Tuwafundishe. Tukianza tu kuwasema walimu tunalet jeuri kwa watoto na kuona walichofanya ni sahihi.

Wazazi ndiyo hao, siku hizi hatutaki watoto wetu wachapwe. Tukiambiwa tulipe hela ya kutoa uchafu, tunakimbilia walimu wamefanya mradi wa kujiokotea. Oooh Michango imezidi.

Kila mmoja kwa nafasi yake awajibike ipasavyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…