Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

Aah wazazi kwa kuwatetea watoto sasa, huwa wanahisi sijui hatuwapendi watoto wao na tunawasingizia!! Mtoto anakiri kashakulwa na midume kibao na kuchoropoa mimba tatu ila mzazi anakomaa mwanae ni bikra🙆🙆🙆
Ukikutana na mzazi wa hivyo unafata slogan
ya smart "mambo yake muachie mwenyewe"
 
Mambo ya watoto ni magumuuu. Umesema ulikuwa ni muda wa kutoka na walikuwa wameshachelewa. Hapo ana stress zake, na bado muda umekwenda halafu anasikia kelele anajua tu "hiyo ni kawaida ya watoto" kumbe ndio basi tena.

Mambo ya watoto bora wapewege tu walimu wazee angalau vichwa vimeanza kupoa.
 
usichoke kuwafuatilia mkuu uwe hivohivo, usibadilike halaf hakuna kitu kizur kama mzazi kua karibu na mwalim mtoto anakua sehem salama
 
😂😂😂😂 yeah muda wakutoka ulikua umepitiliza na bado binti kabisaaa, n mtihani Mungu atusimamie
 
Sema huyo mwalimu nae alikosea tuu..
 
eeh haya bwana ila kuna wazaz kama sisi ambao tunataka mtoto apate elim na malezi tunampatia, ujue watu hatufanan kuna wabaya na wazuri wewe umetuweka kundi moja ikatokea mzaz hayupo hivo unaishi vipi na mtoto wake hapo shulen
 
usichoke kuwafuatilia mkuu uwe hivohivo, usibadilike halaf hakuna kitu kizur kama mzazi kua karibu na mwalim mtoto anakua sehem salama
Yaah hata mzazi mwenyewe anaona mtoto yupo mahali salama.
Kuna wazazi wengine ndo hivo harakati nyingi hata muda wa kumchukua mtoto unakua changamoto ila kutokana na uhusiano uliopo kati yake na mwalimu anakua hana wasi wasi hata kidogo
 
mkuu kwa hiki ninachokiandika hapa nina uhakika 95% huyo mtoto hayuko sawa mana hata hao wazaz wao husema wakat mwengine ningekua simfaham hata isingenifikirisha
Hao wazazi wake manasemaga kuhusu afya zao na za mtoto wao? Wanakuambia wewe au wanaambia watu mtaani? Staki kukujaji ila naona unahali flani ya kujisikia na uongo uongo ivi.

Tunaenda mahotelini unatumia kijiko kimetumiwa na muadhirika na hata kuoshwa labda hakijaoshwa vzr, tunaenda kula sehemu mbali mbali baadhi ya wapishi huko wamedhirika na katika kupika mtu anaweza kujikata ila kwa yote MUNGU anatulinda.

Uyo mtoto Inaonyesha akija kwako ata kula tu sahani moja na mwanao utakataa na kumtenga ila uko shuleni wananunua pipi na kumumunya pamoja au kulishana ata.
 
eeh haya bwana ila kuna wazaz kama sisi ambao tunataka mtoto apate elim na malezi tunampatia, ujue watu hatufanan kuna wabaya na wazuri wewe umetuweka kundi moja ikatokea mzaz hayupo hivo unaishi vipi na mtoto wake hapo shule

mnasombwa na hawa wabaya tu, mimi nimeshudia kituoni kwangu mwalimu hachapi,hafuatilii maisha ya mwanafunzi na wapo hapy tu
 
mkuu, hawa wao wenyewe wanajitangaza mimi niko nao karibu kabisaa na nisingejua hizo habar kama sio wao kutoleana habar zao, kilichonishtua n mtoto kumg'ata mwenzie ilhali naambiwa n mgonjwa hiko ndio kitu kimenifikirisha shuleni kukoje,nimeishi na watu chungu nzima wa aina hio nazingatia kanuni tu zinavosema alimrad haimabukizwi kwahewa hata sina neno shida ni kumkuta amemng'ata mwenzie na ubaya wazaz wao shule hawakua wazi kwa waalim sio wawe kwangu mimi najua hali yao na wanajua ninajua sasa iwe labda wameamua kuniongopea ogopa sana mtu akiongea akiwa na hasirandio mana tunashauriwa kukaa kimya aubkuondoka kuepusha shar sio hawa
 
Yaah hata mzazi mwenyewe anaona mtoto yupo mahali salama.
Kuna wazazi wengine ndo hivo harakati nyingi hata muda wa kumchukua mtoto unakua changamoto ila kutokana na uhusiano uliopo kati yake na mwalimu anakua hana wasi wasi hata kidogo
malez n mtihani, na sisi wazaz ndio tunawaboronga sana hawa watoto kwa maisha tuliyojiamulia,wakija shule nako walim mna kaz jaman muheshimiwe
 
Shuleni jukumu la mwalimu kwa mantiki gani kwani mwalimu kazi yake si kufundisha, watoro wakipogana mwalimu afanye Nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…