Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Pole kwa mtoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukikutana na mzazi wa hivyo unafata sloganAah wazazi kwa kuwatetea watoto sasa, huwa wanahisi sijui hatuwapendi watoto wao na tunawasingizia!! Mtoto anakiri kashakulwa na midume kibao na kuchoropoa mimba tatu ila mzazi anakomaa mwanae ni bikra🙆🙆🙆
Mambo ya watoto ni magumuuu. Umesema ulikuwa ni muda wa kutoka na walikuwa wameshachelewa. Hapo ana stress zake, na bado muda umekwenda halafu anasikia kelele anajua tu "hiyo ni kawaida ya watoto" kumbe ndio basi tena.asante sana wewe umenielewa, mimi niliukuta ugomvi mwalim yuko busy na sim yake nikajiongeza huyu itakua kishazoea haya mambo lakini mpaka wanafikia kuumana lazima utasikia kelele sio za kawaida huyu mwalim nilifanya kumgutusha mimi kuingia, aisee poleni sana wazaz tukishirikiana na nyie mambo yataenda, walim hawana shida ya kumuanika lakini n kama alert na wajue namna tu ya kukaa naye akiwa shule na wawe wanamuangalia kwa umakini zaidi
usichoke kuwafuatilia mkuu uwe hivohivo, usibadilike halaf hakuna kitu kizur kama mzazi kua karibu na mwalim mtoto anakua sehem salamaNi kweli kabisa yaani unayoongea ni correct.
Ushirikiano nyie na sisi ndio muhimu kwa mafanikio ya mtoto.
Kiufupi kufundisha au kushinda na hawa watoto ni kazi ya wito pia.
Mi naipenda kazi yangu pia napenda sana kuwa karibu na watoto japo kwa mara ya kwanza ilikua changamoto.
Ila mi sikujali wala nini.
Mi huwa nafatilia sana ingawa kuna wadada ambao wanahusika zaidi na mambo haya madogo madogo ila bado haitoshi mi kutokufatiliA
Akishupaza shingo inabidi iwe hivyo. Japo kuna kama kakitu kanakukaba na kuona humtendei mtoto haki🙆🙆🙆🙆Ukikutana na mzazi wa hivyo unafata slogan
ya smart "mambo yake muachie mwenyewe"
😂😂😂😂 yeah muda wakutoka ulikua umepitiliza na bado binti kabisaaa, n mtihani Mungu atusimamieMambo ya watoto ni magumuuu. Umesema ulikuwa ni muda wa kutoka na walikuwa wameshachelewa. Hapo ana stress zake, na bado muda umekwenda halafu anasikia kelele anajua tu "hiyo ni kawaida ya watoto" kumbe ndio basi tena.
Mambo ya watoto bora wapewege tu walimu wazee angalau vichwa vimeanza kupoa.
Sema huyo mwalimu nae alikosea tuu..Mambo ya watoto ni magumuuu. Umesema ulikuwa ni muda wa kutoka na walikuwa wameshachelewa. Hapo ana stress zake, na bado muda umekwenda halafu anasikia kelele anajua tu "hiyo ni kawaida ya watoto" kumbe ndio basi tena.
Mambo ya watoto bora wapewege tu walimu wazee angalau vichwa vimeanza kupoa.
eeh haya bwana ila kuna wazaz kama sisi ambao tunataka mtoto apate elim na malezi tunampatia, ujue watu hatufanan kuna wabaya na wazuri wewe umetuweka kundi moja ikatokea mzaz hayupo hivo unaishi vipi na mtoto wake hapo shulenmimi niko hivo serious ninachojali ni biashara zangu, na mshahara, nimejifunza sana kuhusu maisha ya watanzania na visa vyao, mwalimu hana zuri kwao muda wote ni mkosaji tu ukimchapa huyo mtoto mzazi anakuja juu , ukimwacha unalaumiwa ,sasa bora lawama tu serikali inipe salary wamefaulu hawajafaulu, wana tabia nzuri au hapana sijui ,najali wanangu tu
Kwani kikikukaba unakufa..woiiiiiii watoto 600 mmoja akiamua kisepa na asepe tuAkishupaza shingo inabidi iwe hivyo. Japo kuna kama kakitu kanakukaba na kuona humtendei mtoto haki🙆🙆🙆🙆
Yaah hata mzazi mwenyewe anaona mtoto yupo mahali salama.usichoke kuwafuatilia mkuu uwe hivohivo, usibadilike halaf hakuna kitu kizur kama mzazi kua karibu na mwalim mtoto anakua sehem salama
Hao wazazi wake manasemaga kuhusu afya zao na za mtoto wao? Wanakuambia wewe au wanaambia watu mtaani? Staki kukujaji ila naona unahali flani ya kujisikia na uongo uongo ivi.mkuu kwa hiki ninachokiandika hapa nina uhakika 95% huyo mtoto hayuko sawa mana hata hao wazaz wao husema wakat mwengine ningekua simfaham hata isingenifikirisha
eeh haya bwana ila kuna wazaz kama sisi ambao tunataka mtoto apate elim na malezi tunampatia, ujue watu hatufanan kuna wabaya na wazuri wewe umetuweka kundi moja ikatokea mzaz hayupo hivo unaishi vipi na mtoto wake hapo shule
mnasombwa na hawa wabaya tu, mimi nimeshudia kituoni kwangu mwalimu hachapi,hafuatilii maisha ya mwanafunzi na wapo hapy tumimi niko hivo serious ninachojali ni biashara zangu, na mshahara, nimejifunza sana kuhusu maisha ya watanzania na visa vyao, mwalimu hana zuri kwao muda wote ni mkosaji tu ukimchapa huyo mtoto mzazi anakuja juu , ukimwacha unalaumiwa ,sasa bora lawama tu serikali inipe salary wamefaulu hawajafaulu, wana tabia nzuri au hapana sijui ,najali wanangu tu
mkuu, hawa wao wenyewe wanajitangaza mimi niko nao karibu kabisaa na nisingejua hizo habar kama sio wao kutoleana habar zao, kilichonishtua n mtoto kumg'ata mwenzie ilhali naambiwa n mgonjwa hiko ndio kitu kimenifikirisha shuleni kukoje,nimeishi na watu chungu nzima wa aina hio nazingatia kanuni tu zinavosema alimrad haimabukizwi kwahewa hata sina neno shida ni kumkuta amemng'ata mwenzie na ubaya wazaz wao shule hawakua wazi kwa waalim sio wawe kwangu mimi najua hali yao na wanajua ninajua sasa iwe labda wameamua kuniongopea ogopa sana mtu akiongea akiwa na hasirandio mana tunashauriwa kukaa kimya aubkuondoka kuepusha shar sio hawaHao wazazi wake manasemaga kuhusu afya zao na za mtoto wao? Wanakuambia wewe au wanaambia watu mtaani? Staki kukujaji ila naona unahali flani ya kujisikia na uongo uongo ivi.
Tunaenda mahotelini unatumia kijiko kimetumiwa na muadhirika na hata kuoshwa labda hakijaoshwa vzr, tunaenda kula sehemu mbali mbali baadhi ya wapishi huko wamedhirika na katika kupika mtu anaweza kujikata ila kwa yote MUNGU anatulinda.
Uyo mtoto Inaonyesha akija kwako ata kula tu sahani moja na mwanao utakataa na kumtenga ila uko shuleni wananunua pipi na kumumunya pamoja au kulishana ata.
malez n mtihani, na sisi wazaz ndio tunawaboronga sana hawa watoto kwa maisha tuliyojiamulia,wakija shule nako walim mna kaz jaman muheshimiweYaah hata mzazi mwenyewe anaona mtoto yupo mahali salama.
Kuna wazazi wengine ndo hivo harakati nyingi hata muda wa kumchukua mtoto unakua changamoto ila kutokana na uhusiano uliopo kati yake na mwalimu anakua hana wasi wasi hata kidogo
Huu uandishi huu, mmh!nilipofika nikakuta wapo maskini na mwalimu wao
Shuleni jukumu la mwalimu kwa mantiki gani kwani mwalimu kazi yake si kufundisha, watoro wakipogana mwalimu afanye Nini.mkuu, wewe ni baba au mama wa mtoto wa mtu, siku moja atakua huyo mtoto tapeleka mwanae shule pengine yakawa haya mtakuja mlaum nani?? mimi sikatai mtoto tabia zake mzaz ndio anahusika kwa namna zote ila akiwa shule ni jukumu lako, sasa kuna watoto wanapigana mpaka kuumizana kutoana dam utasemaje??