Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Tatizo lako unafikiri kila aliyeko hapa yupo kupondea ama kusifia. Nilichokifanya hapo ni kutoa sababu za watunga sera.

N.B
Yawezekana wewe na wanaokuunga mkono hoja zako ndio wenye akili, sisi wengine tumejaza matope vichwani. Sasa swali ni je si mkaishi huko kwa watu wenye akili? Mbona bado mmeng'ang'ana huku matopeni?
 
Jamani jamani sie walimu! Mungu atusaidie.
Kwa wingi wenu msimpe Mwenyezi Mungu mzigo. Mpaka mmeajiliwa ashawasaidia, tokeni maghetoni mkapambane mpate Teaching Allowance!! CWT wale ni wezi na wanawadanganya
 
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
Wewe ni Robot la matope kweli ,iweje mbunge alipwe kwa siku moja laki 3 na Mwl basic iwe laki4 kwa mwezi!
 
Alafu siku za uchaguzi wao wanasimamia wizi wa kula wacha walipwe hata 80,000 kwa mwezi
 
Ila MWALIMU Huyo anapanda madaraja kwa Kasi kulinganisha na Askari formIv,
 
Acha Uongo, laki5 ni salary ya Sajenti,
Hizo Posho ulizozitaja ni Uongo, Posho iliyopo ni hiyo laki3 tu, hizo nyingine hamna acheni kudanganyana
 
Wewe ni Robot la matope kweli ,iweje mbunge alipwe kwa siku moja laki 3 na Mwl basic iwe laki4 kwa mwezi!
Ume quote mtu mwingine afu ukanitaja mimi!! Sasa sijaelewa, unaniuliza mimi ulonitaja au huyo ulom quote??
 
Acha Uongo, laki5 ni salary ya Sajenti,
Hizo Posho ulizozitaja ni Uongo, Posho iliyopo ni hiyo laki3 tu, hizo nyingine hamna acheni kudanganyana
Wewe ni askari wa kikosi chochote?? Usipende ubishi wa vitu usivyo na uelewa navyo!! Easy, mtafute askari alo karibu yako muulize, hii ni kweli? Afu njoo ufute comment yako
 
Madaraja ya Kigamboni??
Chukua Askari formIv (Mambo ya ndani) na MWALIMU wa degree walioanza kazi 2010, linganisha kipato Chao, utakuta MWALIMU wa degree analipwa 1.5m, wakati Askari ndio kwanza ni Koplo means amepanda Cheo Kimoja
 
Teach as you earn! Hio ndio principle kwa taarifa yako. Unadhani wanafundisha kama inavyopaswa. Wengine wanawapa daftari waandike notes kisha wanaenda ofisini kupiga soga.
Unadhani walimu wangefundisha 100?% kuna watoto wangepata zero ?
Huko kenya ndio kuna elimu bora ?
Shit hole country hakuna elimu bora labda useme ni nafuu ila sio bora. Nchi zenye elimu bora Africa hazizidi hata 3 tena isiolingana hata na Asia tu.
Kama unataka elimu bora ungempeleka mwanao Finland, USA, Japan ? Korea China, Urusi ila Kenya hamna kitu. Kenya ni mgonjwa wa nafuu kwenye wagonjwa wengi.
Kenya ina malalamishi kibao usifikiri hatujui.
 
Wewe ni askari wa kikosi chochote?? Usipende ubishi wa vitu usivyo na uelewa navyo!! Easy, mtafute askari alo karibu yako muulize, hii ni kweli? Afu njoo ufute comment yako
-Mimi sio Askari ila Mimi ni CPA(T)
-nakwambia kabisa Kuna Mapolisi walikuwa wanalalamikia kikokotoo wakataja na pension zao kwamba kwa Cheo Cha Sajenti pension ni 260,000/- Sasa Kama pension ya Sajenti mstaafu ni 260,000/- salary ya Sajenti itakuwa sh ngapi? na Kama hujui pension ni 50% ya salary
- Hizo Posho mnazozisemea hazipo Posho iliyopo ni hiyo 300,000/-
 
Chukua Askari formIv (Mambo ya ndani) na MWALIMU wa degree walioanza kazi 2010, linganisha kipato Chao, utakuta MWALIMU wa degree analipwa 1.5m, wakati Askari ndio kwanza ni Koplo means amepanda Cheo Kimoja
Balensiaga, yaani mtu mwenye degree anafanya kazi miaka 13 bado ana mshahara wa 1.5M unaona ni maajabu??

Balenciaga wa wapi wewe?
 
Unakoelea ndugu Malaria utafungua chuo cha magaidi ndugu yetu!! Punguza unaa kwenye dini. Mbona ndugu yako katika imani Faiza Four 10 kabadilika??

Wewe ni Muslim kwa sababu ulizaliwa na waislam tu basi
Mnakimbia kusema ukweli ndio tatizo hili
 
We una ujasiri ktk nini. Na hao wakenya wana ujasiri wa kufanya nini. Acha sifa za kijinga
Anataka watoto wake wawe jasiri kama masai wakaue Simba.
Dunia ya leo inazungumzia teknolojia yrye anazungumzia ujasiri. Ujasiri unsohitajika karne ya 21 ni wa kumudu teknolojia sio kuandamana.
Ona tofauti hapa
Islael - wana ujasiri wa teknolojia
Hamas -wana ujasiri wa roho na mwili.
Urusi- wana ujasiri wa teknolojia
Ukraine- wana ujasiri wa roho na mwili.
Ujasiri bado ni kundi la kutatua mambo kwa Emotion na si intelligence.
Ujasiri wa wakenya ni wa kubishana bishana tu they never reach to the conclusion .
 
Mnawasema sana walimu, angalia watendaji kata, makatibu tarafa.

Njoo sasa kwa maafisa kama wakaguzi wa ndani, wahasibu, maafisa biashara, uchumi, maendeleo ya jamii.

Halmashauri hakuwezi kuisha mchwa kwa namna hii. Misharaha bado unakuta mtu ana gari kali, nyumba kali, analewa kila siku na vurugu za kuhonga michepuko.

Hana hata biashara wala side hussle nyingine, ni upigaji uliokithiri. Yote kula urefu wa kamba tu [emoji28][emoji2]
 
Acha Uongo, laki5 ni salary ya Sajenti,
Hizo Posho ulizozitaja ni Uongo, Posho iliyopo ni hiyo laki3 tu, hizo nyingine hamna acheni kudanganyana
Hahahahaha!! Mi naongea nina uwezo wa kuona kila mshahara wa mtumishi ukinibishia nakuona mwehu! Sajenti wa Magereza ana 645,000 basic salary ,100,000 vinywaji,pango 95,000,ration allowance 300,000/,Bima bure hachangii, hardiship allowance 95,000,maji na umeme soon wanaanza kulipwa keshi,Ujuzi 95,000 kama anao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…