Walimu wa Tanzania ndio maana wanadharauliwa na kila mtu

Just imagine hizi hela analipwa Zimamoto na uokoaji mwenye kitambi hata kukimbia hawezi, hana hata fire extinguisher [emoji3462] [emoji91] [emoji15] achilia mbali gari la zima moto kabisaa.


Afu mwalimu Regina wa Shule ya msingi Kazulamimba kule Kigoma anakula laki 3 na Vumbi la chaki likiambatana na vumbi harisi la Kigoma.

Afu kuna Great Thinker hapo juu kasema walimu wanalipwa pesa nyingi na hawana kazi ya kufanya!!
 
Kipato kidogo kinapelekea kupata chakula dhaifu na hivyo kuathili afya ya akili, suala la TAHOSA kuchanga mamilioni ili mama achukuwe fomu zni mfano mzuri, kwanini sio TRA au BOT?
 
Haitasaidia Machadema kupata kura.Kama unaona ni pesa ndogo acha kauze matunda 🤪🤪
 
Hamna mkuu ,Mimi I'm the outside watcher and nothing else .

In this game of life we have a lot of tjing to offer than negativity or to belittle someone's else.
Are we the one who paying belittled (according to you) low wages??

If you're among of national cake consumers, please stop belittling our beloved belittled!!
 
Kipato kidogo kinapelekea kupata chakula dhaifu na hivyo kuathili afya ya akili, suala la TAHOSA kuchanga mamilioni ili mama achukuwe fomu zni mfano mzuri, kwanini sio TRA au BOT?
TAHOSA ni sawa na Baba Levo. Anamuita Diamond Platinumz baba wakati kamzidi miaka zaidi ya 10.
 
Ila waalimu wa nchi hii wanaandamwa kila kona aisee, Japo nadhani matatizo ya waalimu nchi hii kwa kiasi kikubwa yamesababisha na chama chao CWT hiki chama ukikikazia jicho sana utagundua hakipo kwa ajili ya maslahi ya waalimu bali wanasiasa. Chama hiki ni kama kipo kisiasa na kinatumika kisiasa. Waalimu wetu hawaheshimiki wananyanyaswa hadi na makarani wa masjara kwenye Halmashauri lakini nani anajali na chama kipo tu.
 
Wacha wadharauliwe tu kwasababu ni wassssssssenge. Wao ndo wanatumikaga kuiba kura za chadema. Walimu wengi (sio wote) hawana akili wameridhika na laki nne zao. Ni wasssssenge qumamaqe zao
 
Kwani wao ndio wanajilipa hiyo mishahara? Tumia akili kufikiri. Hiyo inatokana na hali ya uchumi wa nchi yetu. Hakuna anayemdharau mwalimu labda mpumbavu km wewe. Sisi tunawapenda na kuwaheshimu
Tozo zinaenda wapi
 
Aminia
 
Mimi ni mwanachi Wa kawaida Ila nimeamua kutoa maoni kwa lengo la kuijenga fikra Chanya juu ya mtazamo Wa heshima na dharau. Kuhusu taaluma ya MTU au watu .

Sasa wewe uwasilishaji wako Wa hoja umejaa kejeri ,dharau na kutweza utu Wa MTU.

Unabidi kubalidilika ili kuwa a complete human being


Are we the one who paying belittled (according to you) low wages??

If you're among of national cake consumers, please stop belittling our beloved belittled!!
 
Walimu wa TZ hata hiyo mishahara bado ni mikubwa.....hawafanyi kazi ndio maana kiwango cha elimu kimeshuka kutokana na incopetence yao
Wewe utakuwa na ama matatizo ya afya ya akili au chuki dhidi ya walimu.

Jibu swali hili kisha urejee kwenye coment yako, Kipi kinaanza? "kumlisha vizuri ng'ombe ili atoe maziwa mengi au kuanza kumkamua ndipo alishwe vizuri"?

Maana yake ni nini, walimu walipwe vizuri ndipo wataweza kufanya kazi vizuri na hapo ndipo serikali itaweza kuwa na uhalali wa kuwasimamia kwa uzuri.
Walimu wa TZ hata hiyo mishahara bado ni mikubwa.....hawafanyi kazi ndio maana kiwango cha elimu kimeshuka kutokana na incopetence yao
 
Binafsi siwatetei walimu, natetea Taifa!! Mwalimu anayelipwa Tsh laki 3 hawezi mfundisha mtoto Kujitegemea!! Tunaendelea kuwa Taifa la wanafiki nchi hii.
Sasa kama yeye ameridhika unataka asaidiweje? Wao si ndo wanapambaniaga wezi wa ccm kubaki madarakani. Walimu ni wapumbavu, waoga, washamba, wamelaaniwa, wajinga, wahuni, maskini nakadhalika
 
Mwisho wa dharau zoote ni kipato bora!! Mwalimu utoke Kabare mpakani na Burundi mpaka ufike Halmaushauri ya Kibondo kwa Baiskeri, nywere zishakua za mzungu, umevaa Tshirt ya Ccm (hela ya kununua nguo hawana) unadhani karani anayekaa mjini atakuheshimu??

Tusiwalaumu makarani, walimu walipwe posho katikati ya mwezi maana kazi yao ngumu!!
 
Kipato cha watanzania walio wengi hakifiki 300,000 kwa mwezi. Chukua wafanya biashara za kawaida, wakulima wadogo, wafugaji wa kawaida nk.
Kwa ujumla umasikini ni wa watanzania wakiwemo walimu.
Labda tutafute suluhisho...
wabunge walipwe sawa na walimu
 
CWT pamoja na CCM ndio hasa mashetani Kwa walimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…