Walimu wamegeuza pesa ya chakula mashuleni kuwa posho zao wanajilipa

Sna uhakika kama kuna kundi tz lenye maisha magum kama walimu....hali inayopelekea baadhi yao kuiba hata maharage ya shule na kupeleka home for survival....nina mtt anasoma boarding mkoa wa mwanza kuna madam amekuwa akishirikiana kunipanga na kunipga hela hadi nlivogutuka alipotaga pesa ya vitabu......
 
Ha ha ha ha wapo wengi kama wewe
 
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Ungeeleza vema tungesaidiana kufatilia.
 
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Unataka nani akulishie wanao,kila siku kelele basi waambie waache kusoma

USSR
 
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Hapo kulipia subscription mpate habari binafsi za watu mnachelea!! Shule mnaumia waafrika ni wanyama sana! Una akili za hovyo sana.
 
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Unatakiwa unyooshe maelezo yako ili ueleweke! Ni wapi huko wazazi mnapeelka shukeni hela ya chakula, halafu walimu wanageuza kuwa posho zao! Na hivyo kuwafanya watoto wenu wasishibe chakula?

Maana kuna baadhi ya shule za kata nchini zimejianzishia utaratibu wa kuwaweka bweni wanafunzi kwa makubaliano na wazazi wa hao wanafunzi; kwa lengo la kuwasaidia hao wanafunzi kupata muda mwingi wa kusoma, na hivyo kuwasaidia katika ufaulu wa mitihani yao.

Mara nyingi katika mazingira hayo, wazazi huchangia chakula kwa ajili ya watoto wao, na kwa makubaliano yao wenyewe. Na siku zote Mwenyekiti wa kusimamia hilo zoezi ni mzazi anayechaguliwa na wazazi wenzake! Sasa walimu wanagawana vipi hizo hela zenu?

Nyoosha maelezo yako. Kumbuka hii ni jamii forums. Ukileta mada yako, watu hawakurupuki tu kuhukumu. Maana kuna wazazi wengine ni mabingwa wa kulalamika. Halafu kwenye vikao vya PTA hamhudhurii!
 
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Halafu uweke wazi huwa mnachangia shilingi ngapi ya chakula kiasi cha kutaka mtoto wako ale chakula chenye ubora, na mtoto wako ashibe?

Na hicho chakula anachokula huko shuleni ni chakula gani? Je, matumbo yanalingana?

Ushauri wangu kwako;
1. Acha malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu.
2. Jitahidi kuhudhuria vikao vya wazazi na walimu shuleni (PTA)
3. Usipende kuwalea watoto wako kama mayai! Utawaharibu. Yaani kwa sababu mtoto anakula wali nyama kila siku nyumbani, basi unataka na shuleni ale chakula cha aina hiyo hiyo. Jambo hilo haliwezekani.
 
Umemaliza kila kitu mkuu, sina cha kuongezea zaidi ya kuunga mkono hoja.
 
Sikuwahi kukubali wala kupenda hili swala la pesa za chakula, nilijua tu ni kuja kugombanisha walimu na wazazi....
Serikali/viongozi hawajawahi kusimama kutamka popote hili swala zaidi ya kutoa tu waraka ambao unatakiwa kutekelezwa tena kwa 100% hivo Kwa kuwaambia wazazi watoe hela ni kama vile walimu ndio wanataka..kwa hili serikali imeamua kugombanisha tu.
 
Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Nasikia mnalipa shilingi ‐----700/= Mia saba tu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Acha chuki punguza roho ya kimasikini. F@@L
 
Back
Top Bottom