Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi ungewatagi hao inaowahusu. Hapa umeiweka public lengo ni kuishirikisha public. Angalau sasa umeandika vizuri na public imeelewe kuliko vile mwanzo.Je hii habari inawahusu wote?
Kama haikuhusu waachie inayowahusu
Ha ha ha ha wapo wengi kama weweSna uhakika kama kuna kundi tz lenye maisha magum kama walimu....hali inayopelekea baadhi yao kuiba hata maharage ya shule na kupeleka home for survival....nina mtt anasoma boarding mkoa wa mwanza kuna madam amekuwa akishirikiana kunipanga na kunipga hela hadi nlivogutuka alipotaga pesa ya vitabu......
Mkuu mnapiga sana panga,waacheni vijana wale na washibe.Kama vp ungeenda huko wizarani ungewaambia live kuliko kutujia hapa na habari robo robo. Unafikiri kila mtu ana watoto huko
Ungeeleza vema tungesaidiana kufatilia.Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Unataka nani akulishie wanao,kila siku kelele basi waambie waache kusomaKero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Hapo kulipia subscription mpate habari binafsi za watu mnachelea!! Shule mnaumia waafrika ni wanyama sana! Una akili za hovyo sana.Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Unatakiwa unyooshe maelezo yako ili ueleweke! Ni wapi huko wazazi mnapeelka shukeni hela ya chakula, halafu walimu wanageuza kuwa posho zao! Na hivyo kuwafanya watoto wenu wasishibe chakula?Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Halafu uweke wazi huwa mnachangia shilingi ngapi ya chakula kiasi cha kutaka mtoto wako ale chakula chenye ubora, na mtoto wako ashibe?Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.
Umemaliza kila kitu mkuu, sina cha kuongezea zaidi ya kuunga mkono hoja.Halafu uweke wazi huwa mnachangia shilingi ngapi ya chakula kiasi cha kutaka mtoto wako ale chakula chenye ubora, na mtoto wako ashibe?
Na hicho chakula anachokula huko shuleni ni chakula gani? Je, matumbo yanalingana?
Ushauri wangu kwako;
1. Acha malalamiko yasiyo na kichwa wala miguu.
2. Jitahidi kuhudhuria vikao vya wazazi na walimu shuleni (PTA)
3. Usipende kuwalea watoto wako kama mayai! Utawaharibu. Yaani kwa sababu mtoto anakula wali nyama kila siku nyumbani, basi unataka na shuleni ale chakula cha aina hiyo hiyo. Jambo hilo haliwezekani.
Nasikia mnalipa shilingi ‐----700/= Mia saba tu.Kero, Waziri wa Elimu liangalie hili hali imezidi kuumiza wazazi.
Chakula chenyewe mtoto ashibi na usipompa mtoto pesa simu nyingi za walimu.
Chakula hakina ubora.
Elimu bure imegeuzwa elimu mchaka mchaka.