Nimekusoma mkuuTicha nakuonea huruma. Umejaribu kufiksha message lakin mmmh hayaa
Hiyo ngumu kumeza!Kwakuwa wanajitapa awamu ya 5 ni Viongozi Wazalendo ..Iwe ni lazima sasa Watoto wote wa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali Wasome katika Shule za Serikali.
Iwe ni Lazima
Asubirie feedbackTicha nakuonea huruma. Umejaribu kufiksha message lakin mmmh hayaa
What uncouth response?What a stupid question??
Hi ndo Tz ya watu waoga kiasi hiki duh, yani mtu anaweza aka watawala mpaka basi sio kwa uoga huuWatu wamekua waoga kiasi kwamba tayari washamuhukumu huyo mwalimu na aliyechukua hyo video...sikuwahi kuwaza kama Nchi watu wakifichua tatizo wanaonekana maadui wa nchi..
Mkuu sidhani kama ni sahihi kuita wenzio Matapeli inaonekana kwanza hata hujui lolote kuhusu hayo makampuni unaropoka tu na akili zako cha kuchanganywa na wana siasaAcheni umbumbumbu na nyie jamani. Dreamliner ziko hapa kukuza uchumi na siyo starehe. Jaribu kufikiria kama zisingekuwepo sasa hivi ingekuwaje? Maana ndugu zangu Precision weshatepeta na matapeli wetu Fastjet weshakata pumzi kitambo. Kwa videge viwili sijui vitatu vya precision nauli ingeshafika milioni mbili kwenda tu hapa KIA. ATC ni lazima iwepo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Cha ajabu ni hasara kila mwaka shirika linaingia!Yaani wewe ni wa ajabu kuliko. ATC mwanza peke yake inasafirisha watu zaidi ya mia 800 kwa siku. Bado Mbeya' Kilimanjaro Dodoma na Kigoma. Ni zaidi ya watu 2000 kwa siku. Unawezaje kusema sio kipaumbele kama siyo ujinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakuwa wanajitapa awamu ya 5 ni Viongozi Wazalendo ..Iwe ni lazima sasa Watoto wote wa Viongozi na Wafanyakazi wa Serikali Wasome katika Shule za Serikali.
Iwe ni Lazima
Kwa utawala huu sikivu, si ajabu mwalimu akapoteza ajira na kesi ya kutakatatisha pesa.
Binasfi imeniongezea ari nipambane zaidi niweze kutimiza ahadi cement ujenzi madarasa mtaani kwetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya zaidi viongozi wanapotosha raia wazaliane tu elimu bure, huduma bure nk.
Sent using Jamii Forums mobile app