Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa walimu si juzijuzi tu walimchangia mama fomu ya uraisi! Wamewaona Wana pesa za kutosha hivyo hawana "ulazima" wa kuwalipa posho stahiki. Wakazane zaidi kusifu na kumwabudu mama labda posho wataongezewa.Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.
Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=
Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.
Wale watu walikua wanatia huruma
Acheni waalimu nao wale ubwabwa 😂nilikuwa nachat na anko angu ticha, akaniambia ni kweli hizo mbanga, yeye yupo arusha wameambiwa hiviView attachment 3214716
Umenikumbusha Kuna siku kulikuwa na off kazini ya dharula hivo tukaenda kusaini tukarud mara tukaanza kupigiwa kuwa kwakuwa ni off ya ghafla na ni sikuya kazi Kuna mkutano wa CCM tuende huko 😃😃Wale watu walikua wanatia huruma
Ngoja ukutane na boss kichaaa mpenda sifa mbona utaenda na utavaaa dera la kijani na njanoUmenikumbusha Kuna siku kulikuwa na off kazini ya dharula hivo tukaenda kusaini tukarud mara tukaanza kupigiwa kuwa kwakuwa ni off ya ghafla na ni sikuya kazi Kuna mkutano wa CCM tuende huko 😃😃
Nikamwambia mm ni Chadema nikalala zangu 😂😂😂😂
Basi hiyo seminar mlilipwa kama Perdiem, ambayo Kwa viwango vipya ingekuwa ni shilingi 80,000 hadi 250,000 kulingana na ngazi ya mshahara na Mji mnapofanyia kikaoKuna semina ilikuwaa ni elf 70 Kwa siku na Ilikuwa siku 6 ilisimamiwa na wizara na watoaji semina walitoka Baraza haikupita halmashauri ndio unafuu kidogo sijasikia Tena 😃😃😃
Mkoa flani pembezoni mwa nchi walipewa semina siku mbili kwa malipo ya jumla ya tsh9000/= nasikia hawakuani. Ni aibu sana kwa serikari!Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Walimu kutoka Halmashauri X wametakiwa kuhudhuria semina ya mtaala mpya ambapo malipo yao ni sh. Elfu tatu kwa siku.
Mafunzo hayo yatakayofanyika kwa siku mbili jumla kila mwalimu atalipwa kitita cha sh. 6,000/=
Mimi ni mjumbe tu, na mjumbe hauwawi.
Ndo maana yakeNilivyo elewa mimi.
Hiyo pesa watasaini ila hawatapewa mkononi ila watahudumiwa chai,hizo saini zao ni kwajili ya kuandikia pesa ili alipwe aliehudumia chai
NimeelewaNdiyo lakini sambamba na ngazi ya mshahara
Ila Walimu wengi wanaangukia kwenye extra duty ya 30,000 hadi 40,000
Nilikuwa sijui jina ka huu mfumo. Lakini kwa TZ hii, nahisi anayepata hela inayostahili labda ni rais tu. Kupunguziana pesa ndio habari ya mjini. Kiongozi akupe heka yote kabisa bili kuminywa ni hakuna tu!Kwa jinsi mfumo wa Kleptokrasia ulivyojikita katika kila sekta, yawezekana kumetolewa kiasi cha kutosha na kimepigwa tayari.
Huo mtaala unapepea kwa Km ngapi kwa saaHivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya.
Hta sisi walituita Training tukiwa off wakisema watatulipa 115,000/ per day tuligoma tukawaambia hiyo iwe posho tu na tulipwe overtime kulingana na basc saraly zetu wakakubali...Na hapo msosi wa maana juu yao usafiri wa kwenda na kurudi kama kawaida na mwisho saa10 tu.Huwa nawaonea huruma sana waaalimu nykati kama hizi lakini kwenye uchaguzi wanabadrika sana kisa kapewa 50k tu wanasaidiana kuiba kura.Training ya 75k kwa siku labda ifanyike ofisini kwetu muda wa kazi ndio nauhuduria kikamilifu.
Kama nje ya kituo lazima nilipwe full perdiem.
Elfu 3 bora nikose ujuzi.