Waliofariki ajali Morogoro wapo Wanandoa

120 kwa public transport? Hebu nitajie hata nchi za dunia ya kwanza zinazoruhusu huo ujinga. Au umeandika kuonesha nawewe umo
Relax mkuu,hii ni debate na hayo ni mawazo yake, na pia elewa nchi yetu haina max speed limit kwenye freeways zetu,tuna vibao vya 50km,means usizidi hapo na kuna 50km vyenye misitari inamaanisha unaweza kwenda 300km/hr!!!!,hii ni craze country, nenda Zambia kila sehemu wana speed limits, hivyo hivyo Botswana ambao wana mpaka 120, ila buses, heavy vehicles mwisho 80km/h,tunahitaji honest traffic officer's wawepo barabarani,sio wala rushwa
 
Na teknolojia yote hii bado unahitaji maafisa masurufu wanaowaza kupata pesa za dhuluma barabarani?
 
Asilimia kubwa ya ajali za Tanzania ni uzembe wa madereva na wengi kutojua sheria. Haya mengine ni kweli yanachangia sana...... lakini uzembe ni chanzo kikuu.
 
Mkuu unajua umbali uliopo kati ya check point ya Mikumi na Iyovi gari lilipopatia ajali?
 
Matatizo yote ni sisi wenyewe tunachangia,Serikali iruhusu mabasi kusafiri muda wowote-kuepusha watu kitumia usafiri bimafsi na IT cars-zinazomaliza watu.
 
Taarifa ya polisi inasemaje kuhusu chanzo cha ajali?

Ni barabara finyu?
Ni ubovu wa gari?
Ni dereva kukosa uzoefu?
Ni alama za barabarani hazionekani au hazipo?
Ni ukosefu wa huduma za uokoaji?

Ifike mahali tukubali uzembe wetu ni mkubwa tunapotumia barabara hasa tunapojifanya tuna haraka.
 
Hizo IT haziruhusiwi kupakia abiria. Ila watu kujidai Wana haraka haya ndio matokeo yake.
Ujue tunapanda sababu ya dharura. Ila shughuli yake si ya kitoto.

Kuanzia pale Oilcom Polisi wanabana sana, ukivuka Ruvu tu huko pote ni mwendo wa 2000 kila checkpoint.

Polisi waamue weka ngumu wataacha kubeba.

Kuna siku jamaa Iyovi anakimbiza 140 abiria wengine hawaongei kitu ikabidi niongee ndo spidi ikapunguzwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…