Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Duh[emoji23][emoji23]Ni IT 6954. Siku hizi Wana mchezo wa kuongeza herufi kama huyu kaongeza DNN au wengine wanaongeza jina.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh[emoji23][emoji23]Ni IT 6954. Siku hizi Wana mchezo wa kuongeza herufi kama huyu kaongeza DNN au wengine wanaongeza jina.
KabisaMungu awapokee
Ifike mahali wana ndoa wasipande pamoja hasa hizi safari za mbali.
Relax mkuu,hii ni debate na hayo ni mawazo yake, na pia elewa nchi yetu haina max speed limit kwenye freeways zetu,tuna vibao vya 50km,means usizidi hapo na kuna 50km vyenye misitari inamaanisha unaweza kwenda 300km/hr!!!!,hii ni craze country, nenda Zambia kila sehemu wana speed limits, hivyo hivyo Botswana ambao wana mpaka 120, ila buses, heavy vehicles mwisho 80km/h,tunahitaji honest traffic officer's wawepo barabarani,sio wala rushwa120 kwa public transport? Hebu nitajie hata nchi za dunia ya kwanza zinazoruhusu huo ujinga. Au umeandika kuonesha nawewe umo
Na teknolojia yote hii bado unahitaji maafisa masurufu wanaowaza kupata pesa za dhuluma barabarani?Relax mkuu,hii ni debate na hayo ni mawazo yake, na pia elewa nchi yetu haina max speed limit kwenye freeways zetu,tuna vibao vya 50km,means usizidi hapo na kuna 50km vyenye misitari inamaanisha unaweza kwenda 300km/hr!!!!,hii ni craze country, nenda Zambia kila sehemu wana speed limits, hivyo hivyo Botswana ambao wana mpaka 120, ila buses, heavy vehicles mwisho 80km/h,tunahitaji honest traffic officer's wawepo barabarani,sio wala rushwa
Tembelea nchi za SADC eg. Botswana na SA utaelewa120 kwa public transport? Hebu nitajie hata nchi za dunia ya kwanza zinazoruhusu huo ujinga. Au umeandika kuonesha nawewe umo
Wanandoa, watoto, ndugu, wapenzi kusafiri pamoja ni jambo la kawaida na linafanyika kila siku. Dawa siyo kuacha kusafiri kwa pamoja bali ni kuwa makini.Mungu awapokee
Ifike mahali wana ndoa wasipande pamoja hasa hizi safari za mbali.
Kila siku ni famia nyingi sana zinasafiri kwa pamoja. Dawa ni madereva kufauata sheria na kuwa makini. Mwisho wake tutapendekeza watu wasiruhisiwe kusafiri kwa magari kwa sababu ya ajali.Wafanye amendment kwenye Road and Traffic Act waongeze kifungu kinachokataza familia kusafiri pamoja.
Asilimia kubwa ya ajali za Tanzania ni uzembe wa madereva na wengi kutojua sheria. Haya mengine ni kweli yanachangia sana...... lakini uzembe ni chanzo kikuu.Mkuu umeitendea haki uzi huu,yes Speed kills ILA Kuna sababu nyingi ambazo zinachangia ajali kuliko Speed pekee, iyovi ile pass barabara ni finyu, kona nyingi na Kuna ushenzi wa matuta mengi tu, namba 3 hapo juu ni muhimu, ni LAZIMA kwanza utambue fast na slow corners, breaking point ya kila corner (usiingie kwenye corner na heavy break, uta loose control ya gari),iyovi pass ipanuliwe,ondoa uchafu wa matuta yote, weka alama kubwa na zinazoonekana, all heavy vehicles kuanzia saa 2200hrs ziwe parked
Mkuu unajua umbali uliopo kati ya check point ya Mikumi na Iyovi gari lilipopatia ajali?mmmmm mkuu utakua haupo fair,hii IT imeanzia Dar!,je ni rocket science kujua hao abiria walipandia wapi?,check points ngapi imepitia hadi iyovi pass?,hii IT imepita hadi ile check point matata sana pale sanga sanga!,binafsi yangu kwenye T1, check point ile ni matata sana, na sasa kimezuka kingine pale ipogolo ukishalipita tu lile daraja!
Kaka hiyo sio IT ni gari ndogo yenye usaliji kamili..Hizo IT haziruhusiwi kupakia abiria. Ila watu kujidai Wana haraka haya ndio matokeo yake.
120 mbona ni mwendo wa kawaida kwenye highway.Hao IT ukikutana nao wanawasha taa mchana kama madereva wa serikali basi ni 120 wamenyoosha goti.
Sasa unabishana na Taarifa ya Polisi?Kaka hiyo sio IT ni gari ndogo yenye usaliji kamili..
Taarifa ya polisi inasemaje kuhusu chanzo cha ajali?Kwa barabara za TZ kukwepa ajali Ni 40%
1. Barabara finyu (head on collision) Ni sekunde tu.
2. Ubovu wa vyombo wa usafiri.
3. Madereva wasio na uzoefu wa kuendesha muda mrefu.
4. Alama za barabarani hazionekani ama zimeondolewa makusudi (wizi) bila mamlaka kurudishia.
5. Huduma finyu za uokoaji (barabara kuu na hospitali) unaweza kuwa majeruhi, ukafia hospitali kwa kukosa huduma ya dharura au ukapata huduma hafifu ukafia nyumbani kutokana na athari za ajali na huduma za ovyo ulizopata hospitalini
NB: kuishi TZ chances ya kufa kwa ajali au uzbe hospitalini Ni 90%
45km to 60km ,ila sielewi hili swali linahusuka na nini hapa,I can put my head on the block ,abiria walipandia DarMkuu unajua umbali uliopo kati ya check point ya Mikumi na Iyovi gari lilipopatia ajali?
Hawa Waliochomoka na taa wanalo.. Laana hii itawaandama na watakufa kifo cha aibu.
Zina bimaNa umekopa !
Amen. Ila sema sasa Mungu anahuruma sana😂😂Hawa Waliochomoka na taa wanalo.. Laana hii itawaandama na watakufa kifo cha aibu.
Ujue tunapanda sababu ya dharura. Ila shughuli yake si ya kitoto.Hizo IT haziruhusiwi kupakia abiria. Ila watu kujidai Wana haraka haya ndio matokeo yake.