https://www.facebook.com/
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Kamati ya Nishati na MadiniNusrat Hanje yupo kwenye kamati gani?! Hahahahaaaa
% cdm ilizopata kwenye uchaguzi mnaosema ni batili ndio zimeipa wabunge wa kuteuliwa na ruzuku cdm,but ruzuku mnachukua wabunge amuwatakiTafuta akili maana huna, nani kakwambia wabunge wa viti maalum wanasababisha chama kipate ruzuku?
Ruzuku inayotokana na huo uchaguzi = HalaliTafuta akili maana huna, nani kakwambia wabunge wa viti maalum wanasababisha chama kipate ruzuku?
Mkuu utateseka sanaBado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Punguza ukali wa maneroBUNGE linazidiwa Ubora na DANGULO la MAKAHABA... Uchafu Mtupu.
Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
Mbowe hawezi kisusia ruzuku wallah!Kwahiyo CHADEMA kimesusia na ruzuku pia ???
Wewe bwabwaja tu wakati mwenyekiti anaendelea kukamua ruzuku.Ni bora wakoloni wangerudi kuliko haya yanayoendelea.
Bunge haramu, msitegemee kipya chochote kutoka kwenye hili Bunge haramu. Bora tu Mkoloni angerudi kuliko kuwa na hawa wahuni.
Kamati kuu ya chadema ituambie kuhusu ruzuku endapo itaingia kwenye akaunti yao. Wasiposema tutaiona kwenye taarifa za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali.% cdm ilizopata kwenye uchaguzi mnaosema ni batili ndio zimeipa wabunge wa kuteuliwa na ruzuku cdm,but ruzuku mnachukua wabunge amuwataki
Hilo swali ungemuuliza mwenyekiti wenu wa Chadema.Nini kimewafanya CHADEMA wapate ruzuku kubwa kuliko vyame vingine vya upinzani ???
Muulize mwenyekiti wako.Kama mliiba kura zote za wabunge wa vyama vingine kwa nini leo mnawapa vyeo wapinzani feki
Ndugai unatia aibu kwa ze komedi yako.
Bwashee kama ni haramu mbona mwenyekiti wetu anachukua ruzuku?Ruzuku inayotokana na huo uchaguzi = Halali
Wabunge wanaotokana na uchaguzi = Haramu
Wapi na wapi bwashee??
Nyinyi nyumbu msitufanye sisi wajinga mwenyekiti achukue ruzuku halafu nyinyi muendelee kutowatambua wabunge wa viti maalumuRuzuku hazitokani na wabunge wa viti maalum
Ruzuku hatujachukua mkuuIla ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua?
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.
Wabunge wanawake waliona mbali, Yaani wengine wacheze comedy ya kukimbia nchi na familia zao ili walipiwe maisha yao na familia zao wao walale njaa
Grace Tendega, mmoja wa Wasaliti waliojiteua na kuapishwa na Ndugai kuwa wabunge wa viti maalum kutoka Chadema, leo ametunukiwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa ( LAAC )
Bado haijafahamika kama aliomba nafasi hiyo au amepewa bure.
Bali swali kubwa ni hili , ni yupi mwingine atayekikwaa cheo cha bure miongoni mwa wasaliti waliosalia ?
Hizo pesa siyo za watawala, ni za wananchi wote. Ni afadhali wachukue kwa ajili ya kusaidia kuimarisha chama.CHADEMA inasema kwamba uchaguzi haukuwa halali na Mwenyekiti na Makamu walitoa tamko kabisa.
Sasa kwanini Chama kichukue ruzuku zinazotoka na matokeo ya uchaguzi ambao siyo halali ???
halafu unaweza ukute na wewe ni graduate eti! Kama hawa wabunge unafikiri wamezalisha ruzuku, vile vyama visivyo na wabunge vinapata hiyo ruzuku kidogo kutoka wapi we zwazwa?Ila ruzuku zitokanazo na hawa wabunge Chama kimechukua?
Hebu CHADEMA kuweni na misimamo ili tujue moja.