Waliomlazimisha Samia Suluhu kuwa Makamu na hatimaye Rais, walifanya makosa sana

Maneno mengi lakini hujasema lolote
Kama huoni anayofa fanya Samia basi ni huyo umuabudie ndiyo pekee anayeweza kukusaidia.
 
Naunga mkono hoja
 
Kwa hiyo yanayotokea Ngorongoro sio mauaji? Kuna roho ya mauti inaliandama Taifa. Vifo kila mahali. Leo utasikia ajali Mafinga, mchana utasikia Mke kauawa na mke Bukoba n.k. Tuombe Tobaa, huenda Kuna Mahali kama Taifa tumekosea.
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Huu ndio ukweli mchungu. Hatuwezi kuweka watu hobelahobela kwenye nafasi nyeti kama ukuu wa nchi.
 

Chuki na wivu hakuna, lakini lazima uwe mkweli; hasira ipo. Kuna kenge wanatuchezea sana!
 
Duh, mkuu, naona umepania kweli na mada yako hii, na kadri unavyozidi kufunguka ndivyo na mada inavyozidi kuwa na uzito kuliko lile bandiko la mwanzo!

Lakini imenibidi niku'quote' hapa, kwa sababu maalum.

Sababu yenyewe ni mstari huu: "Na ukumbuke ya kwamba uongozi wa serikali yetu sio wa kifalme kusema kwamba unafuata ukoo."

Hapa nadhani umeteleza au umepitiwa tu. Hadi wakati huu Tanzania hatuna tofauti yoyote na uongozi wa kifalme, wa kurithishana.
Ukoo wenye ufalme kwetu ni CCM. Huwezi kumpata kiongozi nje ya CCM, 'at least' hadi hapa tulipofikia; na juhudi kubwa zinaendelea kufanyika hali ibaki kuwa hivyo hivyo (Rejea Katiba Mpya na kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi).

Nimeona bora nikukumbushe hilo, ambalo pengine wewe unaliona katika mtazamo tofauti.
 
Samia yuko vizuri, kaongeza mshahara 23.3%
Ongeza haya hapa: kafungua ajira kwa vijana saivi serekali imeanza kuajili tena baada ya miaka mingi ya kuambiwa nchi inajenga kwanza madaraja na mabarabara (yule baba sijui alizani watu wangekula hayo madaraja na barabara).

kaifungua sekta binafsi saivi na wao wanapata kazi ambazo mwanzo zilifanywa na kina suma jkt na wenzao wengine uko serekalini tu. hapa kaongeza ajira kwa sekta binafsi.

kapendezesha miji saivi imekuwa ya kutazamika tofauti na wkt wa bwana yule kila seemu ilikuwa seemu ya watu kufanya biashara. hata seemu ya kupitia zilikuwa shida. na hawa ndo wengi wannamchukia mama wanasaau lazima ustaarabu uwepo hamuwezi kujilundika tu seemu km kundi la ng'ombe.

haya hi machache tu lakin kiukweli huyu mama kafanya mengi mazuri tena kwa muda mfupi.

mama go go go
 
Unajua unachoongea au unaandika upumbavu..

Ndio maana utaishia kuwa mlalamishi hadi unafukiwa..
 
Huko kote ni mbali saizi sheria za haki zimeongezwa kudhibiti uovu wa Polisi,na nyingine hii hapa inaanza hivi karibuni kukimalizika zoezi la anuani za makazi ambalo ni ubunifu wa mh.Rais 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220606-144219.png
    121.4 KB · Views: 5
Ukisema kosa la waliomchagua, inakuwa kama wachaguaji wapo makini, kweli wapo makini?
 
Maneno mengi lakini hujasema lolote
Kama huoni anayofa fanya Samia basi ni huyo umuabudie ndiyo pekee anayeweza kukusaidia.
Wanasumbuliwa na Chuki ila unfortunately watashangaa atakavyoshinda uchaguzi mapema kabisaaa..

Anaeweza kumfanya Samia asiendelee kuwa Rais Sasa au hata baada ya 2025 ni Mwenyezi Mungu maana ndio alioanga awe Rais..

Makelele,chuki za kijinga na ulalamishi wa kipumbavu ni makelele ya chura tuu..

Rais amefanya mambo makubwa na kuborsha maisha ya Watu kwada mfupi..👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220609-222036.png
    273.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220608-154316.png
    285.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220607-223143.png
    257.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220607-110032.png
    270.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220605-133355.png
    209.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220531-224131.png
    203.3 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220531-224525.png
    169.5 KB · Views: 5
Siku ya uchaguzi mnalala mpaka saa nane mchana halafu mnauliza bila aibu kashinda nani?.

Lazima mlalamike mpaka siku ya kwenda kaburini kama akili ni hizi, kama uvivu wenu wa kushughulika na siasa ni wa kiwango hiki.
Kwa hiyo wakilala hadi saa nane ndio uibe kura halafu useme kiongozi aliyepatikana ni mapenzi ya Mungu..! mshahara wenu upo, wakati huo ndio utatia akili kichwani, sasa hivi akili haipo kichwani ipo kwenye tumbo.
 
Mambo ya kuokota okota viongozi, wametuletea mbibi dhaifu.
 
Tumekwama alafu hatujui tunachomoka vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…