lulu za uru
JF-Expert Member
- Aug 7, 2015
- 2,557
- 3,221
Wazijui wasizijui lazima watupishe watu wapo wengiMakamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wewe huna Mungu ili akupe huo uongozi?Uongozi unatoka kwa Mungu - Samia Suluhu Hassan
Ikitokea wakifa chama hakishindi? Watu walipambana na mkoloni hawasifiwi mnamsifia mwizi kwenye sanduku la kuraLkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushindi wa chaguzi.
Nimeandika nikafutaLkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushindi wa chaguzi.
Acheni mikwala mbuzi hii. CCM ni taasisi imekuwepo kabla hata hao wawili hawajazaliwa.Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Walaaaa Hakwamiiii hata kidodgoooo tena nikupe taarifaaa kwambaaa ndio kura zimeongezekaaaa na ni fundishooo kwa wengine wenye viburiii,Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Ule ni usumbufu aliourudia katika awamu mbili tofauti, ya tano alipomuita JPM mshamba na hii ya sita aliporopoka kule Bukoba.Ile kauli ya Nape, wapinzani wangepita nayo
hapakuwa na namna ya kuweza kumuacha
Je, unataka akwame mara ngapi?Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Hata sisi inabidi tujue maana wanatutumikia sisiWatajuana wenyewe
Makamba, Nape na Mwigulu wamekulia ndani ya CCM. Wanazijua siasa za bara na wanajua fitina na mbinu za ushindi.
Kwa Samia kuwavuruga Nape na Makamba wakati uchaguzi mkuu ukinukia ni mahesabu mabovu sana ya kisiasa ameyafanya Rais Samia.
Rais Samia hatoboi 2025.
Pia Soma
- Breaking News: - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Wizi wa kura kwako ni mipango mizuri?Lkn wako vizuri ktk mipango na mikakati ya ushindi wa chaguzi.
Huyo Samia mwenyewe ni muumini wa wizi wa kura, na anategemea wizi wa kura ili kurudi ikulu 2025. Kumbuka 2020 alichokisema kwenye kampeni "hata ukipiga kura na kuchagua kule mwingine, ccm itaunda serikali".Wizi wa kura kwako ni mipango mizuri?
Ifike sehemu waTz tuthamini mambo ya haki pamoja na uadilifu.
Kwa akili zako unaona wizi na forgery chafu za kughushi matokeo pamoja na kuchakachua kura ndiyo mbinu hizo?