Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapo umenena nimekuelewa.
 
Kwani wana nini; misiwakuze kuliko stahiki zao.

Jiwe aliwaengua na bado akashinda uchaguzi kwa nguvu. Najua kuna wanaopinga bile kuleta ushahidi wowote kuwa hakushinda.
 
hakuna kitu kama hicho, alichofanya Nape alikuwa anaenda kusababisha fujo hapa nchini kwa ile kauli yake, majira haya ni ya uchaguzi afu mtu anakuja na kauli kama ile na hapo kenya vijana walichachamaa unafikiri vijana wa Gen Tz nao wakichoka hawawezi kufanya kama ya kenya? imagine mnaenda kupiga kura na ccm walio madarakani wamewaahidi kuwaibia nani hataenda mtaani?
 
hakuna kitu kama hicho, alichofanya Nape alikuwa anaenda kusababisha fujo hapa nchini kwa ile kauli yake,
Nape hajatumbuliwa kwasabb ya kauli yake, Kuna sababu nyingine tofauti kabisa. Kama ingelikuwa ni kauli yake, je, Makamba kasema nini?
 


Hakuna atakayekaa pembeni halafu akasababisha mambo yasimame. Tanzania ina watu mil 60. Ina maana bila wao tutakwama? Akili za kitoto kabisa 😂 😂 😂 😂
Endeleeni kujidanganya tu
 
Hakuna atakayekaa pembeni halafu akasababisha mambo yasimame. Tanzania ina watu mil 60. Ina maana bila wao tutakwama? Akili za kitoto kabisa 😂 😂 😂 😂
Endeleeni kujidanganya tu
Nimekaa pale! Samia akitoboa 2025 niite huhuhuu!
 
Nimekaa pale! Samia akitoboa 2025 niite huhuhuu!

Hata yeye asipotoboa, hao nao hawatatoboa. Yale yale. Hii miaka mitatu misafara ya kuanguka chini. Tulimsema JPM kama hajui alichokuwa anafanya.
Kiko wapi sasa?
 
Kwamba Nape atalazamisha mtu kupiga kura? eboo mbona vichekesho hivi? yaani tunasifia watu wezi wa mali za umma na wezi wa kura? lets have class bwana
 
Hongera zako "kwa huo moyo wako wa shukrani..."

"...nia njema..." ni ipi hasa katika utenguzi huo. Kuna "jitihada" ipi katika jambo hilo inayo stahili pongezi?
Hizi pongezi huenda zikamtia moyo wa kufanya makubwa zaidi. Kama tunavyomkosoa akiteleza tumpongeze akifanya vyema pia.
Nilisema hapo juu, hata katika maumivu, kila mtu huhisi maumivu hao kivyake; na hata unapotumia 'panadol' kutuliza maumivu hayo; panadol hiyo hiyo inaweza isikidhi maumivu anayo hisi mwingine.
Heri yako mwenye kuhitaji 'panadol' kiduchu kukuondolea maumivu yako kirahisi hivyo.

Sijakulaumu chochote kuhusu jambo hili, ni haki yako.
 
Kwa sababu wajuzi wa kuiba kura kawaondoa nini!
Au una maana gani?
Maana wenyewe walisema wanatumia njia haramu kupata matokeo, wakisha fanikisha azima yao wanarudi kwa Mwenyezi Mungu kuomba msamaha.
Hii imewafikirisha sana watu kuwa, uharamu wanatumia siku hizo ndio uliowafikisha wengine kutojulikana wamekufa au ndio wako kwenye misitu wamefungwa huko, tumebaki na majina lakini wenyewe hatujua wako wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…