Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kumbe nawe ni mpumbavu kiasi hicho?

Kwa taarifa Yako sasa Mama anaanza kutuingia moyoni
 
Sio kweli jomba na Wala huelewi siasa za ndani wewe..Kaa kimyaa..ondoka na propaganda zako
 
Kwa hiyo ulitaka hata wakikosea aendelee kuwaacha? Kwani hizo fitina na mbinu za ushindi hawawezi kufanya wakiwa nje ya Uwaziri? Ukizingatia bado ni Wana CCM!
Ni mambo gani wamekosea ktk uwaziri wao?
 
Wabongo aisee

Mara watoe, mara kakosea

Stupid fish
 
Huwezi kushinda mechi huku mezani umekaa na wanafiki ambao wanajiona wamekuzidi akili. Bado kijana mmoja usafi unaotakiwa ukamilike. Safi sana Bimkubwa. Hapo kilichobaki ni kufikisha SGR Mwanza na Kigoma tu.

Ila chonde Bimkubwa mbugani kusichimbwe maana raia wengi watapoteza ajira za utalii na wakiwa na njaa watakulaani sana na si kitu kizuri.

Mama ametisha sana, mitano tena!!
 
Tulia dawa iingie
 
Kumbe nawe ni mpumbavu kiasi hicho?

Kwa taarifa Yako sasa Mama anaanza kutuingia moyoni
Labda kinyume chake. Yaani mama kawatoka moyoni watanzania wengi sana.

1...kumbuka muswada wa uuzwaji wa bandari kwa DP World ulisomwa kila kitongoji na hatujasahau.
2...kumbuka uuzwaji wa Ngorongoro na Loliondo, hatujasahau.
3..kumbuka uuzwaji wa KIA, hatujasahau.
4..kumbuka kauza madini yote ya kwenye hifadhi. Hatujasahau.
5...kumbuka kawapa wakorea madini na bahari ili akina Wema na Steve Nyerere wakawaone Misomisindo wa kichina. Hatujasahau.
 
Wewee tunakujua ni Pro Makamba ,pro nape, na wajinga wengineo.

Makamba Wala Nape, hawana Cha kufanya katika kufanya mtu kua Rais.


CCM inaongozwa na DOLA.
 
Hao watu uliowataja ni jambo gani la ubora waliwahi kufanya ambalo hadi sasa unalikumbuka? Hebu achaneni na oya oya, wekeni akili kwa wenye kufanya kazi.

Ova
 
Nenden mkamtukane na acdount yenu ya Kigogo mana hamna kingine hatoboi kwani anachimba shimo wapi acheni kujifanya special sasa wewe Nape nje ya serikali nani angekuajiri,?? nyie watu mnaibia hii nchi sana tungekua mbali sana ila urafi wenu umetuumiza sana bado mnatutishia.
 
IQ Yako ni ndogo that's why.
 
Atatoboa asubuhi na mapema, mama alishasema tatizo la Tanzania siyo upinzani bali ni fitina na Makungu ndani ya ccm. Kwa kauli za Nape ilitakiwa chama kimuite kwenye kamati ya maadili au bunge, ile ilikuwa ni kauli hatari ya kumpa nafasi adui wa amani ya Tanzania apate nafasi, yeye ni waziri tena wa habari kauli yake ni kauli ya serikali. Mama ni rais bora, mzuri, mwenye huruma, nilikuwa sipigi kura ila 2025 nitaenda kupiga kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…