Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyo mwenyewe 2025 hafai kurudi, nchi inatafunwa hata haelewi yupo tu. Ngoja waparuane ili mwakani kazi iwe rahisi kuwatoa wote. She's inept.
 
Unaongea kama mtu serious au mtu anayependa kuona michezo ya kipumbavu ya wanasiasa.
 
Mawazo ya 'Kipuuzi' kama haya ndio huwa yanafanya January Makamba na Bumunda Nauye wahisi wanastahili kila kitu kwenye hii nchi. Shenzi sana
Mleta uzi ni mtu wa hovyo sana mpumbavu huyu. Yaani katika kitu sipendi ni raia kuendekeza michezo katika eneo la uongozi wakitaka watu wale wale waendelee kuwepo na watu wenyewe ni washenzi washenzi tu wasio na mbele wala nyuma.

Sasa nape na makamba wana impact gani katika hili taifa zaidi ya kuleta figisu, utoto na upumbavu serikalini.
 
Una ugonjwa wa Stockholm.

Samia si yule unamfikiria.

Samia ameahidi kuleta 4R. No matter ccm imepoteza viti vya ubunge na udiwani
 
Chura hajui kucheza ma mazombi, kwenye mkeka wa leo angemuweka na mpina.
Akifanya hivi mapema itaonekana kumbe kuwa mpizani ndani ya chama inalipa itafanya kuibuke wimbi la waigizaji within the party kujifanya wanaikosoa serikali kumbe lengo lao nikutaka waonekane tu wakifiri labda one day nao wanaweza pata teuzi, Mpina itafaa sana kula teuzi miezi michache kabla ya uchaguzi mkuu.
 
Kwa taarifa yako sasa hakuna Watu ambao ndiyo walikuwa wanaenda Kumharibia Mama kwa 2025 kama hawa Nuts.
Siasa zimebadilika NAPE na MAKAMBS/ MWIGULU mawazo yao yote uchaguzi ni kuiba kura kwa dunia ya GEN Z ni rahisi kuingiza nchi kwenye vurugu na kumharibia mama. Wananchi wamefurahi sana. Kwa hili mimi ni CCM ninampa points. Credibility ya mama imepanda.
 
yani wewe unaona wanaojisifia kuiba kura ni bora kuliko mwananchi mwengine yeyote ule
 
Poleni sana cheo ni dhamana ccm haijawahi kutetereka
 
Hawa jamaa ndio walikuwa wanaharibu taswira ya CCM. Bora wamepumzishwa hawana msaada wowote zaidi ya uchawa na siasa maji taka.
 
Hawajampotosha Rais ni taasisi, swali fikirishi hivi kijizima data ni nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…