Pre GE2025 Waliomshauri Rais Samia kuwatengua Nape na Makamba, wamempotosha. 2025 Rais Samia atakwama!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama ni bwana zako tafuteni sehemu ya kujifariji na bado fagio linaendelea hiyo ni intro tu mnamjaza ujinga mama wa watu aonekane hamnazo kumbe mna jambo lenu asitoboe kwa ajili ya watoto wadogo hao walitulizwa kina Lukuvi itakua hao madogo?
 
Hawajaondolewa kwenye chama, bado ni senior members.
Kuondolewa kwenye uwaziri siyo jambo la ajabu kwao na siyo mara ya kwanza.
Wapo mawaziri wengi ambao kwenye chama ni junior kuliko wao. Chama ndicho huunda serikali. Ni kama mabadiliko ya wachezaji kwenye mchezo.
 
Wewe ndio umepotoshwa kutokana na kuwa na uhusiano nao wa moja kwa moja katika masuala kadhaa
 
Watakuwa wamesharudi, assuming wataondoka kwa muda kwenda upinzani
 
bibi chura hatoboi 2025 inafahamika kitambo wala sio sababu ya kuwafurusha hao mafisadi vilaza nape na januari, pia huyo nape na januari pia hawatoboi 2025 vilevile.
 
Hawana ubavu wa kufanya chochote dhidi ya Ccm wala dhidi ya Mwenyekiti !
Mamba huwa ana nguvu akiwa majini lakini nje ya maji ni sawa na mjusi mkubwa. 😳🙌
 
Ya wizi wa kura? Mama hataki dhulma anataka demokrasia ya kweli...Tumpe Maua yake
Hakika kabisa Mama anaiogopa Dhulma 🙏 !
Yuko sahihi kabisa Dhulma sio jambo jema 🙌
Naunga mkono hoja Mama apewe maua yake 🌺 🌸 🙏🙌
 
Hapana. Angekuwa muumini wa demokrasia asingekataa kurekebisha katiba na asingefanya usanij kwenye tume ya uchaguzi
Uwizi wa kura umeshakuwa ngumu sasa maana Nape ameshalikoroga vibaya !
Dunia yote imeshajua !
Mama inawezekana ni muumini mzuri wa Dini yake ambayo inakataza kabisa mambo ya Dhulma !🙌

Nape ameshawajulisha watu wote hata wale waliokuwa hawaamini sasa wamejua kwamba Kumbe yale yalokuwa yakisemwa yana ukweli ndani yake 🙌👍
 
Ccm kama iliweza kusimama bila ya nyerere na hata lowasa alivyotoka chama kilikuwa imara, hawa wengine wakawaida sana, ccm ni taasisi imara sana kuliko unavyodhani
Nje ya Dola ni Taasisi ya kawaida tu 😳🙌
Ndani ya Dola ni Taasisi imara 😳🙌
Because and sure that Mwenyekiti wa chama ndiye Mkuu wa Nchi 😳🙌👍
 
Binafsi naona kachelewa sana, katulalisha sana gizani, tumeshindwa kufurahia ndoa kisa joto
 
Unamaanisha hakuna wengine wa kumfanya Mama awe Rais nje hao?
Kumbe wananchi kwenye uchaguzi hawawazidi Nape na Makamba?
Ukiwa kiongozi usiamini kabisa kwamba bila wewe hakuna chochote kinachofanyika.
 
Makamba alipiga pesa nyingi katika mradi fulani uliosainiwa baada tu ya kupewa uwaziri wa nishati.

Dada yake anaishi kama vile ni mke wa star fulani wa hollywood ni wale instagram queens kiatu akikivaa Kim Kardashian Jumamosi jioni kwenye party yeye jumatatu keshakivaa na anapiga nacho picha kwenye kurasa yake.

Dogo hafai kabisa kuwazia urais wa TZ, kazungukwa na ufisadi kila kona.
 
Ila NAPE INGEBIDI AJIHUZURU KWA HIYARI YAKE ANGEONEKANA AMEKOMAAA SANA ILA SSA NAE AMEDONDOKA
 
UVCCM ANDAENI MAANDAMANO KUMPONGEZA MH RAIS SSH KWA MSIMAMO THABITI, HATAKI DHARAU WALA MAJUNGU.
Mimi sina chama mkuu niko neutral sipendi uchawa ila napenda democracy safi
Nwei karibu tu celebrate
 

Attachments

  • v09044g40000cqf1qi7og65orfhem900.mov
    3.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…