Waliomsindikiza Mwalimu Nyerere safari ya kwanza UNO 1955

NAONA MZEE BABA UNAUMIA SANA UNAPOONA MZEE SAIDI ANATUPATIA UKWELI AMBAO KWA UJANJA WA MCONGA NA ROMAN WALIIFICHA. ''THE TRUTH WILL SET YOU FREE''
USIHOFU WAJUKUU ZAKO NAO WATAKUJA KUANDIKA JINSI PENGO ALIVYO ISAIDIA CCM BUT IN MEAN TIME MZEE SAID YUPO SAHII TENA ANATUWEKEA DOCUMENT KAMA PICH AS EVIDENCE UNLIKE WEWE NA AKINA FOXY MNABWABWAJA WITHOUT REFERENCES
Charles...
Nimemweleza Mzizi kuwa mimi nimekuwa nikinunua vitabu Cathedral Bookshop miaka mingi sana na hili duka liko ndani ya Kanisa la St. Joseph na "sijacheka kimoyomoyo," chembelecho."

Mbuyu uko kimya haujarejea kuniambia kuwa hapo pana ruhusa ya kufanya hivyo ila Ibn Hazm Media Centre kiduka cha kimasikini kwenye ubavu wa nyumba ya kupanga Mtaa wa Mafia wao hawaruhusiwi.

Angejituliza akasoma historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika angejifunza mengi.

Bahati mbaya anakuja hapa na hamaki na kunitolea ufedhuli kwa kuniita, "Huyu mzee ana hila..."

Hata adabu wala staha hana.

Chuki imemzonga anashindwa kutambua kuwa ukishamtambua mtu kuwa ni mzee basi tambua anastahili heshima.
 
NAONA MZEE BABA UNAUMIA SANA UNAPOONA MZEE SAIDI ANATUPATIA UKWELI AMBAO KWA UJANJA WA MCONGA NA ROMAN WALIIFICHA. ''THE TRUTH WILL SET YOU FREE''
USIHOFU WAJUKUU ZAKO NAO WATAKUJA KUANDIKA JINSI PENGO ALIVYO ISAIDIA CCM BUT IN MEAN TIME MZEE SAID YUPO SAHII TENA ANATUWEKEA DOCUMENT KAMA PICH AS EVIDENCE UNLIKE WEWE NA AKINA FOXY MNABWABWAJA WITHOUT REFERENCES
Hata ngoma ya kichaa haiwezi kukosa mashabiki kabisa!
 
Nemo...
Umoja wa kitaifa...
Neno zito sana umesema.

Umoja wa kitaifa utachukua miaka mingi sana kupatikana.
Unaandika kwa hamaki na katika historia ambayo huijui.

Mimi historia hiyo yote baada ya uhuru nimetafiti na kuandika.
Naijua vizuri sana.

Iko paper chukua muda uisome usifanye haraka ya kutaka kurejea hapa kujadiliana isome kwa utulivu utayaelewa matatizo yanayokabili nchi yetu:

Ntaipitia hii pepa asubuhi ya leo
 
Hata ngoma ya kichaa haiwezi kukosa mashabiki kabisa!
Mzizi...
Hili jambo kwangu mimi si jambo la maskhara kama unavyolichukulia wewe.

Kwangu mimi hili jambo ni kubwa sana kwani ni historia ya jamii yangu na kama nilikiliachia lipotee mimi nitakuwa masuul.

Hakuna jamii inayowe kukubali kunyang'anywa historia yake.

Angalia wewe unavyokazana katika historia ambayo si ya kweli lakini kwa kuwa miaka yote umeaminishwa uongo akili yako inakataa na moyo unakuuma kusoma historia hii ya kweli na yenye kupendeza.

Utaona hapo chini wajuzi katika vyuo mbali mbali Ulaya na Marekani wamelichuliaje jambo hili.

Labda nimefanya makosa kwa kutokufahamisha unazungumza na mtu wa namna gani:

  1. PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES
  2. The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.
  3. The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006
  4. Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.
  5. Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.
  6. Uchaguzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.
  7. Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2019 Dar es Salaam.
  8. In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).
  9. Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).
  10. Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)
  11. The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).
  12. Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).
  13. The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).
  14. Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).
  15. Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).
  16. Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).
  17. Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).
  18. Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.
  19. 14. Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.
  20. Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.
  21. Awards: Several Awards
  22. Visiting Scholar: (2011)
  23. University of Iowa, Iowa City, USA
  24. Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
  25. Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.
  26. OTHER COUNTRIES VISITED
  27. Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.
 
huna jipya mkuu, uwezo wako wa kujenga hoja umiishia level ya kipa imara.
acha watu wajuvi watuelimishe zaidi
Charles...
Angalau basi angenijibu akasema Cathedral Bookshop inaruhusiwa kuuza vitabu kanisani lakini Ibn Hazm hawaruhusiwi.

Jibu lake ni matusi kuwa anazungumza na mwendawazimu.
Hakika uwezo wake ni mdogo sana.

Angalau angekuwa na adabu ya majadiliano.
 
Mambo mangapi ya hovyo na upotoshaji yanaabudiwa dunia nzima?

Kukuballiwa na wengi sio kwamba ndio ukweli, kama hili hulijui basi unamatatizo makubwa!!

Wewe kuwa wazi tu, kwamba nimtetezi wa " jamii" ya ndugu zako waislamu, sio kijificha nyuma ya historia ya nchi. Bahati nzuri udini wako haujifichi.

Binafsi sitaacha kukupuuza na kukuona wa hovyo kwa kuendeza udini katka taifa!
 
Sijajificha popote kitabu kinaitwa: ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of the Muslim Struggle Aganist British Colonialism in Tanganyika.''

Nimeandika kuitetea historia ya Waislam ambayo ilikuwa imekwepwa na watafiti kuiandika na hili neno ''kutetea,'' nimelitumia makusudi ili kukutoa wewe shaka.

Kama kufanya hivi ni udini mimi ni mdini wala sikatai.

Kunipuuza hujaweza na si wewe wala si yeyote yule ninaponyanyua kalamu kuandika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika watu wanasikiliza.

Wewe kunipuuza ilikuwa ukae kimya huko ndiko kupuuza si unakuja barzani unajadiliana na mimi useme unanipuuza.

Hilo kuwa mimi ni mtu wa ovyo (wewe unaandikia ''hovyo''), hili unalijua mwenyewe ndani ya nafsi yako kuwa haiwezekani huo ni muhali kwa sababu ikiwa mimi ni ovyo basi hata wale ambao kwa miaka wakichapa kazi zangu na wale waliokuwa wakinialika katika vyuo vyao na mikutano kuzungumza na wao watakuwa watu wa ovyo na taasisi zao zote za ovyo pia.

Mbuyu,
Hiyo hapo chini bado motomoto ni ya leo asubuhi:
 
Attachments

  • SYKES BOOK.jpg
    SYKES BOOK.jpg
    42 KB · Views: 1
  • PIUS MSEKWA TAZAMA.jpg
    PIUS MSEKWA TAZAMA.jpg
    10.5 KB · Views: 1
Huyu mzee amejaa hila, na maandishi yake mimi nayaona kama ya hovyo tu kwakuwa yamejiegemeza ktk kubagua watu kidini kwa kujifunika na blanketi la kujifanya anaijua sana historia ya nchii!!
Hayo maneno hapo ni uthibitisho tosha!

Nimeona vitabu vyake vinauzwa misikitini kariakoo, nikacheka kimoyomoyo!
kama vingeuzwa kanisani ungelisema nini?
Kubaliana na ukweli,Muislamu ni sehemu muhimu ya historia yetu,
Mbona unachukia kila inapoonekana Muislamu kafanya Kitu cha umuhimu cha kitaifa?
Acha Chuki.
 
heeeee kazi kweli ,
Inahusiana nini na uzi huu?
 
Nyerere ndiye alianzisha kudai uhuru. Nyerere ndiye alianzisha ofisi za kudai uhuru Tanganyika. Nyerere ndiye alianzisha TANU. Nyerere ndiye alibuni jina la TANU.

Hao wote hapo kwenye picha walikuwa wanajipendekeza tu kwa Nyerere.

Historia ya kudai uhuru wa Tanganyika inaanzia na kuishia kwa Nyerere.

Nyerere kaja Dar kakuta watu hawajui kusoma wala kuandika. Kakuta watu wajinga wajinga tu hata uhuru hawaujui ni nini.

Sio hayo yanayompa utakatifu? Au kuna mengine yanayompa utakatifu ambayo hatuyajui?
Mhhh! hii si bure hii.....ngoja nipite kimyaaaaaa!
 
heeeee kazi kweli ,
Inahusiana nini na uzi huu?
Hujaelewa ! hapa kuna wafuasi wa imani 2 kutoka Mashariki ya kati wanapamabana kwa hoja! Hawa ndio wanaofikiri Mugu ni mjinga kuwa aliwaaumba wengine bila kumjua hadi wakaletewa The so called MUNGU ,....na wachhuzi na mabeberu!
 
Langu Jicho na ✍
Maana Nyerere alikwenda kwa ridhaa ya hao wenye kanzu na baibui wa zama hizo.
Leo Watoto wao wanayo haki kamili ya kujinasibu kuwa na wao ni waasisi wa Taifa hili,na pia kutoa moni yao ya ama kuridhishwa na nchi inavyo kwenda au laa.
TATIZO LIKO WAPI?
Mzee Muhammed ni Hazina ya Taifa Hili Ikiwa Tunajutambua. Habari ya dini ni imani yake binafsi,
Kwani Asingekuwa Muislamu angelikuwa Mkiristo,na ukweli ungelibaki pale pale.
Hoja ni ku sema Iliyokweli.
 
Nyerere ndiye alianzisha kudai uhuru. Nyerere ndiye alianzisha ofisi za kudai uhuru Tanganyika. Nyerere ndiye alianzisha TANU. Nyerere ndiye alibuni jina la TANU.

Hao wote hapo kwenye picha walikuwa wanajipendekeza tu kwa Nyerere.

Historia ya kudai uhuru wa Tanganyika inaanzia na kuishia kwa Nyerere.

Nyerere kaja Dar kakuta watu hawajui kusoma wala kuandika. Kakuta watu wajinga wajinga tu hata uhuru hawaujui ni nini.

Sio hayo yanayompa utakatifu? Au kuna mengine yanayompa utakatifu ambayo hatuyajui?
Basi haya tufanye hivi, kwenye hili bandiko lako kila penye jina Nyerere litowe uweke jina la muslim mwenzako maana naona utaki kulisikia hivyo jina la Nyerere kwa sababu hakuwa mwenzenu.

Hacha chuki za kinga wewe utakatifu wa kikatoliki una taratibu zake takatifu pia usiuweke kwenye mambo yako ya kijinga.

Kama vipi na wewe kajilipue huko upande wako watakupa tu utakatifu maana kujilipua ndiyo jihadi sala yenu kuu.
 
Sheikh Mohamed unaandika makala nzuri sana tatizo lako ni moja tu! udini udini udini! sitaki kuchimba sana lakini nafahamu moyoni mwako unajua tatizo lipo wapi.
 
Nyerere ndiye alianzisha kudai uhuru. Nyerere ndiye alianzisha ofisi za kudai uhuru Tanganyika. Nyerere ndiye alianzisha TANU. Nyerere ndiye alibuni jina la TANU.

Hao wote hapo kwenye picha walikuwa wanajipendekeza tu kwa Nyerere.

Historia ya kudai uhuru wa Tanganyika inaanzia na kuishia kwa Nyerere.

Nyerere kaja Dar kakuta watu hawajui kusoma wala kuandika. Kakuta watu wajinga wajinga tu hata uhuru hawaujui ni nini.

Sio hayo yanayompa utakatifu? Au kuna mengine yanayompa utakatifu ambayo hatuyajui?
kwamba,"Mwalimu JULIUS NYERERE raisi wa kwanza wa nchi yetu alikuwa kiungo pekee kati ya chama na serikali na kanisa Katoliki. Uhusiano huo unaelezwa kwanza kama msingi wa kuelewa jinsi gani na kwa kiasi gani viongozi wa kanisa walivoingilia kati maendeleo ya siasa hapa Tanzania". Na kwa msingi huo viongozi wa kanisa wamekuja kuwa na nafasi ya pekee Tanzania na wamefanya hivyo wakizingatia kwa kukuwa Uislamu.''- DK.Sivalon ameelezea ndani ya kitabu chake
(kanisa katoliki na siasa tanzania.....................)

Kwa Hili Lazima awe Mtakatifu!!!!!!!!!!!!!!
 
Sheikh Mohamed unaandika makala nzuri sana tatizo lako ni moja tu! udini udini udini! sitaki kuchimba sana lakini nafahamu moyoni mwako unajua tatizo lipo wapi.
Samura...
Ikiwa wewe unaona kusahihisha historia iliyipotoshwa ni udini mimi nakubali ni mdini.

Labda hujui ni kitu gani kilichonifanya niandike upya historia ya TANU.

Chuo Cha CCM Kivukoni kiliandika historia ya TANU mwaka wa 1981 lakini kwa hakika haikuwa historia ya TANU.

Ndipo nikaamua kunyanyua kalamu kuandika na imesadifu wazee wangu ndiyo waasisi wa chama hiki.

Nikaeleza na mchango mkubwa wa Waislam katika kupigania uhuru wa Tanganyika.
Ikiwa hupendezewi na hili tuchukulie kuwa ni bahati mbaya.
 
Back
Top Bottom