Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Watu wa huko ni wastaarabu......Niliishi Lindi kwa miaka 10 sikuwahi kusikia mauaji ya kikatili ya namna hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa huko ni wastaarabu......Niliishi Lindi kwa miaka 10 sikuwahi kusikia mauaji ya kikatili ya namna hii
Siyo mke wa Mkurya,itakuwa ni binti wa Mkurya ndo chanzo. Kuna maeneo ya kuruka utakavyo pindi upendo kujifanya kijogoo lkn siyo TARIME.Nawasalimu wote wakubwa kwa wadogo,
Ni usiku wa kuamkia leo nimepokea taarifa kutoka kwa watu wangu wa karibu kua kuna daktari ameuawa kwa kukatwa katwa mapanga katika mji wa Nyamongo wilaya ya Tarime.
Daktari huyo kijana mdogo kabisa aliyekuwa akifanya kazi katika kituo cha Afya Nyamongo(Nyamongo HC) amekutwa na umauti huo wakati akiwa anaendesha pikipiki yake kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine katika mji huo.
Bado chanzo cha mauaji hayo hakijajulikana, na wala sina taarifa yoyote kuhusiana na kukamatwa kwa wahusika wa tukio hilo.
Ni aibu kubwa Kwa mji huo kumuua mtumishi tena kwa kumkata kata kwa mapanga wakati huu ambao kumekua na uhaba wa watumishi hasa kada ya afya katika maeneo ya pembezoni ya nchi. Je, ni nani atakubali kwenda kufanya kazi katika eneo kama hilo ambalo linaonekana si salama tena kwa watumishi na ukizingatia ajira za TAMISEMI zimetangazwa juzi.
Haijalishi sababu ya kifo itakuwa nini lakini huu ni ukatili wa hali ya juu.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Marehemu Dr Isack Sima Mahala pema peponi, Amina.
[emoji1787]Kaa mbali na watu washamba.
[emoji1787][emoji1787]Wana hasira Sana . We fikiria mtu unagombana nae leo unampiga anakutafuta na panga wiki nzima iki akutoe damu?
Pikipiki hawajaichukua, na ni pikipiki ya kazini zile DFPA Zinazotolewa na donors.
[emoji1787]Hatari sana kuna madogo walipigwa jembe za kichwa.Kuja kupata habari kumbe walikuwa wameenda kufatilia mchongo kwa mturuki-Tabora.Wakakutana na Mangosha na vijinzi vyao vya kubana ,jamaa wakawaungia kuwa watakua wezi wa ng'ombe tu.Watu wakanda ya ziwa wakiwa town kama mafala wakute chaka sasa.
HaswaaaaLakini kwa tarime social intervention inatakiwa sana sana
Hawana tofauti yoyote.....We fikiria uhaba wa wataalam wa afya nchini hasa vijijin unapata uhodari wa kumpiga dr jembe la kichwa sasa unatofauti gani na mtu anayeweka sumu kwa siri kwenye kisima cha kijiji????
Ushamba tu .....Unyama huo,huko wanaamini sana kwenye kutumia maguvu,ubabe
Kama hapo wamemuaa dr mtu ambaye alikuwa msaada kwao.
Hiyo kanda imenikalia shoti sana
Mimi napenda sehemu kuwe na uhuru,amani
Haya mambo ya kuishi roho mkononi
Na mashaka ya nini
Ova
Utanipeleka lini Mkurya wangu?😁Kwetu kabisa huko, wauwaji watafutwe ili haki itendeke kwa Daktari wa watu.
Hata awe na kosa gani, si kumuua kinyama hivyo. Ndugu zangu hawa mmmh!!!
Havoc.....Huyu kijana nilimfahamu toka 2020.
Anaitwa ISACK DANIEL SIMA.
Ni Mnyaturu kwa kabila, mzaliwa wa Kijiji cha Kaselya wilaya ya Iramba.
Alizaliwa 1993 akasomea Shahada ya udaktari katika chuo cha st. Francis.
Ameacha Mke na mtoto mmoja.
Alikua ndo mtoto tegemezi katika familia yao.
Tukio limetokea Jana saa 5 usiku akiwa kwenye pikipiki na Mdada mmoja ambaye amebakwa na kulazwa hospital.
Waharifu wakaamua kumcharanga mapanga kijana wetu.
Mungu wangu tunaomba uoneshe hasira yako juu ya hawa shetani.
View attachment 2609933View attachment 2609934View attachment 2609935
Karibu TataaKesho nakuja hapo Nyarero tule kichuri mura...[emoji12]
[emoji1787][emoji1787]Kuna mtaa ulkua unaitwa makaranga kpnd hicho xjui kwa sasa, kuona vijana wanatembea na kiganja cha binadamu ilkua kawaida sana. Kuna siku npo zangu Malecho na pisi yangu ya kikurya nataka kuchakata mbususu mara wakapita jamaa wanatangaza vita mwenzao kakatwa mkono halafu wakawa wanazunguka mtaani wanauonyesha. Hisia zote za kuchakata ziliishia hapohapo nikampa mkono wa kwaheri bhoke wangu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Miye mwenyewe nimeenda mara moja tu, Mama alikuwa akinilinda balaa. Wasije wakaondoka na Antena 🤣🤣🤣🤣 toka hapo, sijakanyaga.Utanipeleka lini Mkurya wangu?😁
So sad, inaogopesha hata kwa watumishi wengine ikitokea wamepangiwa huko watakataa kwenda madhara yake wakakosa huduma. Ni kitendo cha kikatili mno 😔Dah! Maeneo ya huko yanaonekana mapanga nje nje! Ukimzingua mtu kidogo tu, anakuvizia njiani na kukumaliza.
Kwa mujibu wa aliyeweka twitter ni kuwa imeibiwa.
Lindi ni pwani ile mzee ,mikoa ya pwani full amaniNiliishi Lindi kwa miaka 10 sikuwahi kusikia mauaji ya kikatili ya namna hii
Basi hao ni weziKwa mujibu wa aliyeweka twitter ni kuwa imeibiwa.