Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Serious.. sasa kwa hali hiii tusitegemee maajabu sana. Tutulie na bahat nzuri maadui wetu hawana haraka na sisi.Jeshi la police wanachukua form failures wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Serious.. sasa kwa hali hiii tusitegemee maajabu sana. Tutulie na bahat nzuri maadui wetu hawana haraka na sisi.Jeshi la police wanachukua form failures wengi
Unapunguza watu wenye akili unabakishq TAKATAKA.Hicho kigezo Cha Jkt ni kuwapunguza kwenye usaili...
Maana naona kama hakina mashiko......
Ingekua marekani mzee mbona siku 3 ni nyingi zingejulikana mbivu na mbichi...
Mkuu ngoja nikufundishe kidogo inaonekana hujui mambo mengi. Mifumo yote mizuri ni ile ambayo watumishi wake wamechanganyika kwa umri mkubwa na mdogo. Usije ukafikiri ukiwa na vijana pekee ndio utapata matokeo chanya. Angalja NASA kuna vijana na wazee, vijana kwa ajili ya kutumika katika ubunifu na wazee au watu wa makamo kwa ajili ya kuongoza. Ukiweka vijana watupu lazima management itafeli tu. Mara nyingi wazee wanakuwa na busara na hekima ukilinganisha na vijana.Lengo ni kulifanya jeshi letu la police liwe la vijana weledi, dunia ya sasa ni technology sio mibavu, hawa vijana watakua trained vema na watakuja na attitude mpya,mfano tunapeleka vijana 500 Botswana wakajifunze kuwa traffic officer's,,(nchi hii almost ina zero corruption ),vijana 300 peleka pale USA wakajifunze kuhusu foresinc investigation, crime profile, 200 peleka pale UK, 350 peleka pale Israel wajifunze ili wawe special unit ya public order, hostages, ndio maana tunahitaji young graduates
True yaan Akili yote inapungua na kudumaa...Unapunguza watu wenye akili unabakishq TAKATAKA.
Naamini kbs mtu anayejielewa hawezi kwenda JTK kupoteza muda 2yrs.. Never.
Wengi ni mafala fala wanaenda kubeti maana washajua recruitment yetu inabeba ilimradi tu wenyewe wanaita kukata BOGI..
WANABEBA tu ilimradi ulienda huko.
2yrs kama ni graduate ukaenda huko for 2yrs huwezi kuwa competent never. Yaan unaenda kuwa wiped out ubongo unabaki na yale makelele ya nyimbo + kulima. Nothing new. Ukirud uraiani technology, methodologies etc vimechange pakubwa.
Nimekuelewa ila tunatofautiana na ni haki yetu to disagree, lengo langu ni kuweka fresh graduates ambao systems itawajenga na kuwa chanzo cha kuwa na jeshi jipya lisilo la wala rushwa, I wish mkuu utembelee Botswana uone traffic officer's wake wanavyofanya majukumu yao huku wakiwa na almost zero corruptionMkuu ngoja nikufundishe kidogo inaonekana hujui mambo mengi. Mifumo yote mizuri ni ile ambayo watumishi wake wamechanganyika kwa umri mkubwa na mdogo. Usije ukafikiri ukiwa na vijana pekee ndio utapata matokeo chanya. Angalja NASA kuna vijana na wazee, vijana kwa ajili ya kutumika katika ubunifu na wazee au watu wa makamo kwa ajili ya kuongoza. Ukiweka vijana watupu lazima management itafeli tu. Mara nyingi wazee wanakuwa na busara na hekima ukilinganisha na vijana.
Duu,Nimekuelewa ila tunatofautiana na ni haki yetu to disagree, lengo langu ni kuweka fresh graduates ambao systems itawajenga na kuwa chanzo cha kuwa na jeshi jipya lisilo la wala rushwa, I wish mkuu utembelee Botswana uone traffic officer's wake wanavyofanya majukumu yao huku wakiwa na almost zero corruption
Nimekuelewa mkuu, we're the failed generation, who can't push back against hizi royal families, yaani middle class wamelazimika just to roll over, kisa uoga wa kizuzu dhidi ya royal familiesMawazo mazuri ila bado tunarudi pale pale ndugu,,, itabidi wale jamaa pale juu wao na vizazi vyao walivyovilisha hiyo sumu vipotee tuanzee upya...
Utaenda BOTSWANA, ISRAEL, USA na kwingine ila ukirudi bado uko chini ya hao hao.... huku makazini siyo kwamba watu hawajui kitu ila ukionekana unataka kuleta kamfumo kako ka kajifanya unajua sana kazi basi hatma yako haitokuwa njema,, ndo maana mwisho wa siku unabaki unaipambania familia yako, nchi ina wenyewe... kwanini nilete ujuaji wakati mipaka yenyewe waliweka WAZUNGU 😁😁
Kuna vitu vingi vinatokea ambavyo hata layman asiye na utaalaam wa kitu husika anashangaa yanayotamkwa na wataalam wanaojizima data kimakusudi ili kulinda mslahi ya kundi fulani...
Hii nchi sijui alituroga naniTrue yaan Akili yote inapungua na kudumaa...
Mifano ni Mingi sana tena mifano hai......
Pia Jkt vijana kujifunza kuvuta bangi😊 Kwa mwamvuli wa UZALENDO
Bila kusahau kujuana Juana hovyo kabisaSerious.. sasa kwa hali hiii tusitegemee maajabu sana. Tutulie na bahat nzuri maadui wetu hawana haraka na sisi.
Huyo dr ni member mwenzetu wa JF anaitwa carlosjackal si mnamsifia humu kula wake za watu. Sasa kaenda na maji.Vijana acheni umalaya Dr una mke unahamgaika na baamedi you don't care even about ur health, majanga mengine yakujitakia licha ya usomi shule haijamkomboa
Hyo jkt imepumbaza wengi why don't you hire people based on merit's and competency plus talents kuliko huo uzuzu maana Dunia inataka watu creative and innovative Sasa kuchukua aliyekuwa analima na kupalilia mahindi with zero knowledge and innovation si mzigo Kwa taifa letu ndio maana miaka nenda Rudi hatubadiliki kwendana na Dunia ya Leo yenye talents, creative and innovationUnapunguza watu wenye akili unabakishq TAKATAKA.
Naamini kbs mtu anayejielewa hawezi kwenda JTK kupoteza muda 2yrs.. Never.
Wengi ni mafala fala wanaenda kubeti maana washajua recruitment yetu inabeba ilimradi tu wenyewe wanaita kukata BOGI..
WANABEBA tu ilimradi ulienda huko.
2yrs kama ni graduate ukaenda huko for 2yrs huwezi kuwa competent never. Yaan unaenda kuwa wiped out ubongo unabaki na yale makelele ya nyimbo + kulima. Nothing new. Ukirud uraiani technology, methodologies etc vimechange pakubwa.
Hakika taifa letu limerogwa haswa Yani eti kigezo Cha jkt kinamnyima mtu nafasi aliye na uzoefu na hata international experience unachukua zwazwa lililokuwa linapalilia mahindi na kuimba nyimbo. Ifike mahali waangalie na kuajiri kulingana na uhitaji sio kushikilia jkt tu.Sas hili litaifa lakipumbavu haliwataki watu waliosoma sana hasa hasa nje.. wao wanataka majinga yanayoenda kupoteza muda JKT.
yaan ni hivi..
Wewe unayeenda miaka mitano kusoma Cyber security India alafu na mwingine aliyeenda JKT kujitolea ikitokea nafasi. Wewe uliyeenda INDIA hutakuwa Shortlisted na wala kufikiriwa ila bwege aliyeenda JKT kupotezq muda atafikiriwa zaidi yaaan ndio competent ktk hiyo nafasi.
Sas unaona jinsi tunavyozalisha taifa la MAFALA?
Uzuzu wao wanaita UZALENDO.Hyo jkt imepumbaza wengi why don't you hire people based on merit's and competency plus talents kuliko huo uzuzu maana Dunia inataka watu creative and innovative Sasa kuchukua aliyekuwa analima na kupalilia mahindi with zero knowledge and innovation si mzigo Kwa taifa letu ndio maana miaka nenda Rudi hatubadiliki kwendana na Dunia ya Leo yenye talents, creative and innovation
Alaf wanakuja na kigezo kingine cha UMRI not above 25 na uwe na Degree na uwe umeenda JKT 2yrs.Hakika taifa letu limerogwa haswa Yani eti kigezo Cha jkt kinamnyima mtu nafasi aliye na uzoefu na hata international experience unachukua zwazwa lililokuwa linapalilia mahindi na kuimba nyimbo. Ifike mahali waangalie na kuajiri kulingana na uhitaji sio kushikilia jkt tu.
Wee kumbe ni yeye maskini mbona ni huzuni kubwa jamani. Umalaya na zinaa umekatazwa Hadi kwenye vitabu vitakafu na vimekuwa anguko Kwa wanaume wengi wabishi. Ni huzuni kweli lohHuyo dr ni member mwenzetu wa JF anaitwa carlosjackal si mnamsifia humu kula wake za watu. Sasa kaenda na maji.
Umenikumbusha bwana gari zimejaa wavu zileHata polisi pia huwa wanauwawa huko , hao wakuria ni watu wa ajabu mara nyingi wanaenda kuanzisha fujo kwenye mgodi wa North Mara ukienda ukaona jinsi walivyoyapiga mawe magari ya polisi hadi hayatamaniki number plate ilishapoteaga hawajui wameiacha wapi wanapiga nazo doria hivyo hivyo gari zimejaa wavu wa kuzuia mawe kwasababu ya ukorofi wa wakuria
Muda mwingine hawa watu wakipigwa risas haitakiwi hata kuwatetea kama umeshaishi huko kwao utajua Ni jinsi gani wanavyovuka mipaka ya kibinadam
Watu wazima hovyo hyo ya umri ka kijana kulingana na potential kwanini wasiweke at least had 35 pia mtu akiwa potential anaweza saidia nchi why umubague kisa umri au hyo jkt with zero inputs, kwanini wasiangalie ubora, ubunifu na innovation kwenye kazi kuliko vipimo vya hovyo hovyo, nchi hii inajulikana wengine kumaliza degree Hadi hufikisha Hadi thelathini why umubague.Alaf wanakuja na kigezo kingine cha UMRI not above 25 na uwe na Degree na uwe umeenda JKT 2yrs.
unafkir mtu anayejielewa na competent ktk career level kbs amemaliza Degree akiwa na miaka mingapi? Haya toa miaka 2 ya huko JKT.. je kigezo cha not above 25 yrs kinaingia hapo kiuhalisia?
Na usiwe na mtoto..
Wapo makini kuchunguza kama Una Marinda ila hawako makini kufanya vipimo vya IQ. Swala la Kiweledi si kipaumbele.
Hilo swala la undugu ndio kbs.. ndio moja ya sifa sasa ktk vyombo vya usalama.Watu wazima hovyo hyo ya umri ka kijana kulingana na potential kwanini wasiweke at least had 35 pia mtu akiwa potential anaweza saidia nchi why umubague kisa umri au hyo jkt with zero inputs, kwanini wasiangalie ubora, ubunifu na innovation kwenye kazi kuliko vipimo vya hovyo hovyo, nchi hii inajulikana wengine kumaliza degree Hadi hufikisha Hadi thelathini why umubague.
Ujue ndio maana taasisi nyingi za serikali hufeli Kwa kuweka au kuendekeza vitu vya kipumbavu visivo na msingi eti kisa vigezo while private sector wanaangalia utendaji na hata uzoefu wa kazi, problem solving, na innovation huku kwetu eti kigezo ni mtu aliye desa maswali na kupata yote huku hajui lolote
I think government need to think outside za box na kuangalia vitu Kwa mapana zaidi, hafu ujue licha ya shule Kuna watu kitaa wako vizuri na wangefanya makubwa vile hawana connection wanakuwa left out. Nchi hii watu wa sector binafsi, international organi,hata walio streets Wana madini sana basi tu tuna mifumo kibovu ya recruitment.
Taasisi nyingine hufanya hata head hunting kupata kilicho Bora with no favoritism na hata ndugu kuajiriwa pamoja hairuhusiwi huku kwetu mataasisi serious ka jeshi unakuta hata ndugu au kabila moja Kwa wingi
Una point na hoja ya msingi ujue neno uzalendo imekuwa chaka la watu wasiotimiza majukumu na wajibu wao. Sioni Haja kukusanya vijana na kuimba tu mara kulima Kwa jembe la mkono kwanini wasitumie ma tractor ya kisasa zaidi.Uzuzu wao wanaita UZALENDO.
Then wanabeba vijana wa form 6 kuwapeleka huko wenyewe wanaita MUJIBU.
Instead of kuwachukua na kuwalazimisha kuwapa short courses za ufundi au scientific Agricultural schemes wao wanaenda kuwapotezea muda kule na yale makwata yasio na mbele wala nyuma.
Hii nchi ina watu wana akili sana tatz zoez la kuwachuja na kuwapata hao watu ndio shida.
Angalia intelijensia ya CHINA na Israel kule wanapikwa watu aisee ukiona lazima utoke machozi ukifanya ulinganifu na sisi.