Waliomuua Dkt. Isack wa Nyamongo HC wakamatwe haraka

Hicho kigezo Cha Jkt ni kuwapunguza kwenye usaili...

Maana naona kama hakina mashiko......

Ingekua marekani mzee mbona siku 3 ni nyingi zingejulikana mbivu na mbichi...
Unapunguza watu wenye akili unabakishq TAKATAKA.

Naamini kbs mtu anayejielewa hawezi kwenda JTK kupoteza muda 2yrs.. Never.

Wengi ni mafala fala wanaenda kubeti maana washajua recruitment yetu inabeba ilimradi tu wenyewe wanaita kukata BOGI..

WANABEBA tu ilimradi ulienda huko.

2yrs kama ni graduate ukaenda huko for 2yrs huwezi kuwa competent never. Yaan unaenda kuwa wiped out ubongo unabaki na yale makelele ya nyimbo + kulima. Nothing new. Ukirud uraiani technology, methodologies etc vimechange pakubwa.
 
Lengo ni kulifanya jeshi letu la police liwe la vijana weledi, dunia ya sasa ni technology sio mibavu, hawa vijana watakua trained vema na watakuja na attitude mpya,mfano tunapeleka vijana 500 Botswana wakajifunze kuwa traffic officer's,,(nchi hii almost ina zero corruption ),vijana 300 peleka pale USA wakajifunze kuhusu foresinc investigation, crime profile, 200 peleka pale UK, 350 peleka pale Israel wajifunze ili wawe special unit ya public order, hostages, ndio maana tunahitaji young graduates
Mkuu ngoja nikufundishe kidogo inaonekana hujui mambo mengi. Mifumo yote mizuri ni ile ambayo watumishi wake wamechanganyika kwa umri mkubwa na mdogo. Usije ukafikiri ukiwa na vijana pekee ndio utapata matokeo chanya. Angalja NASA kuna vijana na wazee, vijana kwa ajili ya kutumika katika ubunifu na wazee au watu wa makamo kwa ajili ya kuongoza. Ukiweka vijana watupu lazima management itafeli tu. Mara nyingi wazee wanakuwa na busara na hekima ukilinganisha na vijana.
 
Unapunguza watu wenye akili unabakishq TAKATAKA.

Naamini kbs mtu anayejielewa hawezi kwenda JTK kupoteza muda 2yrs.. Never.

Wengi ni mafala fala wanaenda kubeti maana washajua recruitment yetu inabeba ilimradi tu wenyewe wanaita kukata BOGI..

WANABEBA tu ilimradi ulienda huko.

2yrs kama ni graduate ukaenda huko for 2yrs huwezi kuwa competent never. Yaan unaenda kuwa wiped out ubongo unabaki na yale makelele ya nyimbo + kulima. Nothing new. Ukirud uraiani technology, methodologies etc vimechange pakubwa.
True yaan Akili yote inapungua na kudumaa...
Mifano ni Mingi sana tena mifano hai......
Pia Jkt vijana kujifunza kuvuta bangi😊 Kwa mwamvuli wa UZALENDO
 
Mkuu ngoja nikufundishe kidogo inaonekana hujui mambo mengi. Mifumo yote mizuri ni ile ambayo watumishi wake wamechanganyika kwa umri mkubwa na mdogo. Usije ukafikiri ukiwa na vijana pekee ndio utapata matokeo chanya. Angalja NASA kuna vijana na wazee, vijana kwa ajili ya kutumika katika ubunifu na wazee au watu wa makamo kwa ajili ya kuongoza. Ukiweka vijana watupu lazima management itafeli tu. Mara nyingi wazee wanakuwa na busara na hekima ukilinganisha na vijana.
Nimekuelewa ila tunatofautiana na ni haki yetu to disagree, lengo langu ni kuweka fresh graduates ambao systems itawajenga na kuwa chanzo cha kuwa na jeshi jipya lisilo la wala rushwa, I wish mkuu utembelee Botswana uone traffic officer's wake wanavyofanya majukumu yao huku wakiwa na almost zero corruption
 
Duu,
Umenikumbusha miezi kadhaa iliyo pita nilikikua.. +267

Unacho kisema ni sahihi na ukwel mchungu...
Kuna haja ya ku mix watu WAZIMA na vijana kwenye taasisi....
 
Mawazo mazuri ila bado tunarudi pale pale ndugu,,, itabidi wale jamaa pale juu wao na vizazi vyao walivyovilisha hiyo sumu vipotee tuanzee upya...

Utaenda BOTSWANA, ISRAEL, USA na kwingine ila ukirudi bado uko chini ya hao hao.... huku makazini siyo kwamba watu hawajui kitu ila ukionekana unataka kuleta kamfumo kako ka kajifanya unajua sana kazi basi hatma yako haitokuwa njema,, ndo maana mwisho wa siku unabaki unaipambania familia yako, nchi ina wenyewe... kwanini nilete ujuaji wakati mipaka yenyewe waliweka WAZUNGU 😁😁

Kuna vitu vingi vinatokea ambavyo hata layman asiye na utaalaam wa kitu husika anashangaa yanayotamkwa na wataalam wanaojizima data kimakusudi ili kulinda mslahi ya kundi fulani...
Nimekuelewa mkuu, we're the failed generation, who can't push back against hizi royal families, yaani middle class wamelazimika just to roll over, kisa uoga wa kizuzu dhidi ya royal families
 
Unapunguza watu wenye akili unabakishq TAKATAKA.

Naamini kbs mtu anayejielewa hawezi kwenda JTK kupoteza muda 2yrs.. Never.

Wengi ni mafala fala wanaenda kubeti maana washajua recruitment yetu inabeba ilimradi tu wenyewe wanaita kukata BOGI..

WANABEBA tu ilimradi ulienda huko.

2yrs kama ni graduate ukaenda huko for 2yrs huwezi kuwa competent never. Yaan unaenda kuwa wiped out ubongo unabaki na yale makelele ya nyimbo + kulima. Nothing new. Ukirud uraiani technology, methodologies etc vimechange pakubwa.
Hyo jkt imepumbaza wengi why don't you hire people based on merit's and competency plus talents kuliko huo uzuzu maana Dunia inataka watu creative and innovative Sasa kuchukua aliyekuwa analima na kupalilia mahindi with zero knowledge and innovation si mzigo Kwa taifa letu ndio maana miaka nenda Rudi hatubadiliki kwendana na Dunia ya Leo yenye talents, creative and innovation
 
Sas hili litaifa lakipumbavu haliwataki watu waliosoma sana hasa hasa nje.. wao wanataka majinga yanayoenda kupoteza muda JKT.

yaan ni hivi..

Wewe unayeenda miaka mitano kusoma Cyber security India alafu na mwingine aliyeenda JKT kujitolea ikitokea nafasi. Wewe uliyeenda INDIA hutakuwa Shortlisted na wala kufikiriwa ila bwege aliyeenda JKT kupotezq muda atafikiriwa zaidi yaaan ndio competent ktk hiyo nafasi.

Sas unaona jinsi tunavyozalisha taifa la MAFALA?
Hakika taifa letu limerogwa haswa Yani eti kigezo Cha jkt kinamnyima mtu nafasi aliye na uzoefu na hata international experience unachukua zwazwa lililokuwa linapalilia mahindi na kuimba nyimbo. Ifike mahali waangalie na kuajiri kulingana na uhitaji sio kushikilia jkt tu.
 
Hyo jkt imepumbaza wengi why don't you hire people based on merit's and competency plus talents kuliko huo uzuzu maana Dunia inataka watu creative and innovative Sasa kuchukua aliyekuwa analima na kupalilia mahindi with zero knowledge and innovation si mzigo Kwa taifa letu ndio maana miaka nenda Rudi hatubadiliki kwendana na Dunia ya Leo yenye talents, creative and innovation
Uzuzu wao wanaita UZALENDO.

Then wanabeba vijana wa form 6 kuwapeleka huko wenyewe wanaita MUJIBU.

Instead of kuwachukua na kuwalazimisha kuwapa short courses za ufundi au scientific Agricultural schemes wao wanaenda kuwapotezea muda kule na yale makwata yasio na mbele wala nyuma.

Hii nchi ina watu wana akili sana tatz zoez la kuwachuja na kuwapata hao watu ndio shida.

Angalia intelijensia ya CHINA na Israel kule wanapikwa watu aisee ukiona lazima utoke machozi ukifanya ulinganifu na sisi.
 
Hakika taifa letu limerogwa haswa Yani eti kigezo Cha jkt kinamnyima mtu nafasi aliye na uzoefu na hata international experience unachukua zwazwa lililokuwa linapalilia mahindi na kuimba nyimbo. Ifike mahali waangalie na kuajiri kulingana na uhitaji sio kushikilia jkt tu.
Alaf wanakuja na kigezo kingine cha UMRI not above 25 na uwe na Degree na uwe umeenda JKT 2yrs.

unafkir mtu anayejielewa na competent ktk career level kbs amemaliza Degree akiwa na miaka mingapi? Haya toa miaka 2 ya huko JKT.. je kigezo cha not above 25 yrs kinaingia hapo kiuhalisia?

Na usiwe na mtoto..

Wapo makini kuchunguza kama Una Marinda ila hawako makini kufanya vipimo vya IQ. Swala la Kiweledi si kipaumbele.
 
Huyo dr ni member mwenzetu wa JF anaitwa carlosjackal si mnamsifia humu kula wake za watu. Sasa kaenda na maji.
Wee kumbe ni yeye maskini mbona ni huzuni kubwa jamani. Umalaya na zinaa umekatazwa Hadi kwenye vitabu vitakafu na vimekuwa anguko Kwa wanaume wengi wabishi. Ni huzuni kweli loh
 
Hata polisi pia huwa wanauwawa huko , hao wakuria ni watu wa ajabu mara nyingi wanaenda kuanzisha fujo kwenye mgodi wa North Mara ukienda ukaona jinsi walivyoyapiga mawe magari ya polisi hadi hayatamaniki number plate ilishapoteaga hawajui wameiacha wapi wanapiga nazo doria hivyo hivyo gari zimejaa wavu wa kuzuia mawe kwasababu ya ukorofi wa wakuria

Muda mwingine hawa watu wakipigwa risas haitakiwi hata kuwatetea kama umeshaishi huko kwao utajua Ni jinsi gani wanavyovuka mipaka ya kibinadam
Umenikumbusha bwana gari zimejaa wavu zile
 
Alaf wanakuja na kigezo kingine cha UMRI not above 25 na uwe na Degree na uwe umeenda JKT 2yrs.

unafkir mtu anayejielewa na competent ktk career level kbs amemaliza Degree akiwa na miaka mingapi? Haya toa miaka 2 ya huko JKT.. je kigezo cha not above 25 yrs kinaingia hapo kiuhalisia?

Na usiwe na mtoto..

Wapo makini kuchunguza kama Una Marinda ila hawako makini kufanya vipimo vya IQ. Swala la Kiweledi si kipaumbele.
Watu wazima hovyo hyo ya umri ka kijana kulingana na potential kwanini wasiweke at least had 35 pia mtu akiwa potential anaweza saidia nchi why umubague kisa umri au hyo jkt with zero inputs, kwanini wasiangalie ubora, ubunifu na innovation kwenye kazi kuliko vipimo vya hovyo hovyo, nchi hii inajulikana wengine kumaliza degree Hadi hufikisha Hadi thelathini why umubague.
Ujue ndio maana taasisi nyingi za serikali hufeli Kwa kuweka au kuendekeza vitu vya kipumbavu visivo na msingi eti kisa vigezo while private sector wanaangalia utendaji na hata uzoefu wa kazi, problem solving, na innovation huku kwetu eti kigezo ni mtu aliye desa maswali na kupata yote huku hajui lolote

I think government need to think outside za box na kuangalia vitu Kwa mapana zaidi, hafu ujue licha ya shule Kuna watu kitaa wako vizuri na wangefanya makubwa vile hawana connection wanakuwa left out. Nchi hii watu wa sector binafsi, international organi,hata walio streets Wana madini sana basi tu tuna mifumo kibovu ya recruitment.
Taasisi nyingine hufanya hata head hunting kupata kilicho Bora with no favoritism na hata ndugu kuajiriwa pamoja hairuhusiwi huku kwetu mataasisi serious ka jeshi unakuta hata ndugu au kabila moja Kwa wingi
 
Hilo swala la undugu ndio kbs.. ndio moja ya sifa sasa ktk vyombo vya usalama.

Yaan kama ww ni mtt wa NYOKA bas na ww utakuwa NYOKA unapewa kipaumbele ndio maana ktk majeshi yamejazana makabila flan flan ambao kiuhalisia nature ya hilo kabila ktk swala la reasoning ni 0%.

Pia hii nchi haina ushindani ktk swala la Ulinzi.

Nchi za ughaibuni wana kampuni zinazojitegemea ktk maswala yote mfno ULINZI, KIINTELIJENSIA, Forensics and data/information gathering. YOTE yanafanywa na kampuni binafsi wakishindana na SERIKALI ila hapa kila kitu ni SERIKALI hakuna ushindani ndio maana kunakuwa na Uzushi Mwingi.

Ipo siku.
 
Pa1 na kuwa na familia lakini bado alikula zuchu waziwazi, RIP Dr
 
Uzuzu wao wanaita UZALENDO.

Then wanabeba vijana wa form 6 kuwapeleka huko wenyewe wanaita MUJIBU.

Instead of kuwachukua na kuwalazimisha kuwapa short courses za ufundi au scientific Agricultural schemes wao wanaenda kuwapotezea muda kule na yale makwata yasio na mbele wala nyuma.

Hii nchi ina watu wana akili sana tatz zoez la kuwachuja na kuwapata hao watu ndio shida.

Angalia intelijensia ya CHINA na Israel kule wanapikwa watu aisee ukiona lazima utoke machozi ukifanya ulinganifu na sisi.
Una point na hoja ya msingi ujue neno uzalendo imekuwa chaka la watu wasiotimiza majukumu na wajibu wao. Sioni Haja kukusanya vijana na kuimba tu mara kulima Kwa jembe la mkono kwanini wasitumie ma tractor ya kisasa zaidi.
Ni heri basi huko wangekuwa wanafundishwa vitu vya ku solve changamoto za kimaisha ka kilimo ufundi na mengineyo yanayotuzunguka inge solve hata umaskini na sio kutumia nguvu kazi vibaya in the name of uzalendo
 
Back
Top Bottom