Waliondamana Dar es Salaam kupinga mkataba wa bandari wakamatwa na polisi. Mratibu wa maandamano na wenzake 10 wanahojiwa na Polisi

Tusiporuhusu watu kuandamana kwa amani ndio tutavunja amani kwa kuwaaminisha kuwa njia pekee ni maandamano ya fujo. Tunaua nzi kwa risasi.

Amandla...
 
we ulitegemea nini, tena waminywe pumbu km ni me vya kutosha, wapumbavu kabisa wamelipwa na mafisadi ya mwendazake. Wengine pale ni wezi wanatafuta namna ya kutekeleza nia yao
 
Hatuna haki ya kikatiba ya kufanya maanadamano hiyo ndy tafasir ya nguv kubwa iliyoonekan kwa jeshi la polis kuzuia maandamano ila ipo siku tutaelewana tu
 
jitokeze wewe, kunguru wa pemba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…