HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Basi atajuta kutaka umaarufuKwani walioomba kuandamana walikuwa wangapi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi atajuta kutaka umaarufuKwani walioomba kuandamana walikuwa wangapi.
Wako sentro haya nenda sasa🙂tuambizane wako sehemu gani tuje pls
Lengo la Polisi ni kuzuia kwa njia yoyote ile lazima wawe wwengi kulikoSasa mbona Askari
wamekuja wengi
Wanajifanya wana uchungu sana, ngoja wakapate uchunguwatakiona cha mtema kuni huko lokapu
Tusiporuhusu watu kuandamana kwa amani ndio tutavunja amani kwa kuwaaminisha kuwa njia pekee ni maandamano ya fujo. Tunaua nzi kwa risasi.Ila nchi ina wanafiki sana, yan watu waliocomment huu uzi ni wengi kuliko waliofika kwenye maandamo 😂😂😂😂 wakati jana watu wote wanasema tunaenda, hakuna cha viongozi sijui kina Maria na wenzake, kusema kweli
Mimi binafsi siafiki kufanya maandamano kiholela holela, kama unapinga mkataba nenda mahakamani, ukatafute point nzuri ushinde, tukichekea maandamano tutavunja amani kizembe sanaa
we ulitegemea nini, tena waminywe pumbu km ni me vya kutosha, wapumbavu kabisa wamelipwa na mafisadi ya mwendazake. Wengine pale ni wezi wanatafuta namna ya kutekeleza nia yaoVijana waandamana jijini Dar es Salaam Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa.
Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari wamekamatwa eneo la Mnazi Moja.
========
WALIOANDAMANA WAISHIA MIKONONI MWA POLISI
Taarifa za awali zinaeleza kuwa vijana waliokuwa wameandamana kupinga Mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Mmoja kuelekea Ikulu ya Magogoni Dar es salaam wamekamatwa na Jeshi la PolisiTaarifa zaidi zitawajia endelea kutufatilia
View attachment 2662138
Hiyo siku haitatokeaIpo siku moja yatakusanywa majeshi yote lakini hayataishinda nguvu ya umma
Kama ni mtandaoni ni kweli watashindwa wamkate Nani, Ila field nyie keyboard warriors hamkanyagi sie tunawafahamu vizuri.Huu ni mfano tu, ila ipo siku watashindwa wamkamate nani wamuache nani
We uko kwenye kyeboardHata mbuyu ulianza kama mbegu.
Amandla...
Nenda uweke alama piaWameweka alama kubwa kwa Taifa.
Ndio wajinga kama nyie mkiumizwa mi nafurahi sanaUmefurahi vibaya sana
jitokeze wewe, kunguru wa pembaTukiondoa uoga, kujipendekeza na unafiki,tunaweza kuionesha serikali kuwa Tanzania hii siyo ile ya Nyerere.
Hii ni Tanzania iliyochangamka, ni Tanzania inayojua nini inahitaji.
Cha msingi ni kuwa na umoja,
(Unit is power) na dhamira ya kweli.
Nguvu ya umma ni zaidi ya risasi na mabomu.
Watajuta maana hapo lazima wakanyagwe haswaa, wanajifanya na uchunguhahahahahahaha! virungu vya ugoko
Mi siwezi unga mkono ujinga wa kwenda umizwa.Na wewe uko wapi?
Amandla...