Waliosoma shule za kata na kuumbuliwa na kiingereza tukutane hapa

Nilitegemea utamjibu normadix kuwa hakuna kipaji 😁😁😁
Yeye mwenyewe anaamini kuwa hakuna kipaji lakini alikujua PM akesema bro nimekubali kuwa hakuna kipaji lakini nikikubali jukwaani hadhi yangu itashuka.

Wengi wamenijia PM na kukiri kutokuwepo kwa kipaji lakini haku jukwaani wanakaza tu ili wasionekane wameshindwa nami nimewasitiri.
 
Sawa bhana "I mean no malice to nobody"
 
Kuna mmoja huku ninaye wageni wakija wanaandaa google translate kujihami..!! Toto linapiga ile ngeli pasua kichwa sio hizi nyepesi..!!
 
Nimecheka, nimekumbuka ktk Geog, Penumbra, yeye akasema "ripemberu" class nzima hoi kwa kucheka.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, likawa jina lake la utani pale shule.
Kuna huyu nae fixed, ana fikisidi πŸ˜‚ yote tisa tumemaliza,
 
Kuna mmoja huku ninaye wageni wakija wanaandaa google translate kujihami..!! Toto linapiga ile ngeli pasua kichwa sio hizi nyepesi..!!
Watoto wa kisasa hao,ila sio vizuri kutiana aibu mnilipe nije na soma kwa hatua nimfundishe kiswahili,kujua lugha ya taifa muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…