Wamachinga kuwekwa kundi moja na wanawake watoto na walemavu ni matusi kwao

Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).

Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.

Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache wanajiweza na wala hawahitaji kuwekwa kwenye kundi maalumu.

Ila hii ya kuamua kwamba wamachinga wote kuwekwa kwenye kundi maalumu ni kichekesho cha mwaka , wamachinga wangetakiwa waundiwe idara yao kwenye wizara ya biashara na sio kuwekwa kwenye hiyo wizara inayodili na watu wasiojiweza wanaoonewa.

Wamachinga ni kundi la wapiganaji ambao wanatakiwa wawezeshwe na sio kutetewa kama wanawake,watoto, wazee au walemavu wasiojiweza.

Hao watu waliomshauri rais afanye hivyo wamempotosha kama ni yeye mwenyewe kaamua hivyo basi na awaombe radhi kwa kuwakosea heshima
Kuna jibwa moja linaitwa abdallah Mlawa aka Kigogo2014 linamsifia bila kikomo huyu hangaya! Wameungana na ZZK katika hili. Nimegundua sababu ni udini tu! hata mwendazake aliteswa na hii mijambazi sababu ya UDINI tu. Huyu ZZK huwa anangojea serikali ya dini yake ajikombe na kusaliti upinzani. Awamu ya Nne alijionyesha wazi wazi hadi akawa anamegewa pochi! Hawa ni WAKOMA! tuwaepuke!
 
Walemavu wako wizara ya profesa Joyce Ndalichako ya ofisi ya waziri mkuu kazi ajira na watu wenye ulemavu, wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na "makundi maalum" ya mama gwajima haina walemavu... makundi maalum kwenye wizara hii yaani "key population" ni pamoja na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja yaani (LGBT - lesbian+gay+bisexual+transgender)watumiaji wa madawa ya kulevya, wafanyabiashara ya ngono kifupi nk. Tusichanganye habari.
 
Kuna watu ni lazima tubishe!?
Labda ile kutaja kuwa ni kundi maalum,lakini Mimi nimefikiri amejaribu kuwaweka weka kule kama walivyowanawake ...ambako kuna Programu za Uwezeshaji amabazo Wizara hiyo inaratibu!
Shida ipi hivi,... awali ilionekana neno Makundi Maalum..
Limebeba makundi yenye uhitaki wa Huduma za Ustawi wa Jamii(Vulnerable Groups) ...watoto mazingira hatarishi,watukutu,familia zenye migogoro nk!
Sasa Kwa hili la leo linafikirisha zaidi!
Nafikiri kuna shida mahali!
Hata jina la awali,Kitaalam angeweza kuondoa wanawake...akaacha Jinsia,ikimaanisha kuwa ,uwezeshaji wa wanawake ,ni suala la.kijinsia!
Halafu mnao jadili kuhusu Watu Weny3 Ulemavu,wapo Wizara hii sio Sahihi...wapo Ofisi ya Waziri Mkuu! Hili nnalo inawezekana Rais alishauriwa vibaya ....Wenye Ulemavu ni kundi Maalum pia!
Mambo ni mengi muda ni mchache!
 
Walemavu wako wizara ya profesa Joyce Ndalichako ya ofisi ya waziri mkuu kazi ajira na watu wenye ulemavu, wizara ya maendeleo ya jamii jinsia na "makundi maalum" ya mama gwajima haina walemavu... makundi maalum kwenye wizara hii yaani "key population" ni pamoja na watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja yaani (LGBT - lesbian+gay+bisexual+transgender)watumiaji wa madawa ya kulevya, wafanyabiashara ya ngono kifupi nk. Tusichanganye habari.
Mkuu labda unaleta Tafsiri mpya ya Makundi Maalum...Tanzania Makundi Maalum,ni watoto walioktk mazingita hatarishi, Wanaoishi na kufanya kazi mitaani,walio kinzana na Sheria,wazee,familiar zenye dhiki...zenye migogoro ya kifamilia na watu wenye Ulemavu!
Hao Key population ...peleka mapendekezo waighizwe kwenye Sera za nchi!
 
Umenena kitu kikubwa sana. Wangejitambua na kwa wingi wao wa ngekua game changer.
Jumong hakljitambui! Kila kitu akiletewa anakirukia kama hana kichwa!
Kuna jibwa moja linaitwa abdallah Mlawa aka Kigogo2014 linamsifia bila kikomo huyu hangaya! Wameungana na ZZK katika hili. Nimegundua sababu ni udini tu! hata mwendazake aliteswa na hii mijambazi sababu ya UDINI tu. Huyu ZZK huwa anangojea serikali ya dini yake ajikombe na kusaliti upinzani. Awamu ya Nne alijionyesha wazi wazi hadi akawa anamegewa pochi! Hawa ni WAKOMA! tuwaepuke!
Ndo hivo unapoongozwa na Rais asiyejitambua mwisho wake ndo huu! Kufanya mambo shagarabagara! Yaani ujasiriamali umetoka kuwa biashara mapaka kuwa jambo la makundi maalum! Thi is very stupid idea!
 
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).

Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.

Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache wanajiweza na wala hawahitaji kuwekwa kwenye kundi maalumu.

Ila hii ya kuamua kwamba wamachinga wote kuwekwa kwenye kundi maalumu ni kichekesho cha mwaka , wamachinga wangetakiwa waundiwe idara yao kwenye wizara ya biashara na sio kuwekwa kwenye hiyo wizara inayodili na watu wasiojiweza wanaoonewa.

Wamachinga ni kundi la wapiganaji ambao wanatakiwa wawezeshwe na sio kutetewa kama wanawake,watoto, wazee au walemavu wasiojiweza.

Hao watu waliomshauri rais afanye hivyo wamempotosha kama ni yeye mwenyewe kaamua hivyo basi na awaombe radhi kwa kuwakosea heshima

Ni kundi maalumu kwasababu hawalipi kodi yaani wamachinga ni kundi la kusaidiwa huu ndiyo ukweli. Wakianza kujitegemea na kulipa kodi hawatakuwa wamachinga tena. Ni kama watoto tu kwa maono ya serikali ingawa hawa wana hasara zaidi kwasababu wanauza vitu vya madukani na serikali inakosa kodi
 
Jumong hakljitambui! Kila kitu akiletewa anakirukia kama hana kichwa!

Ndo hivo unapoongozwa na Rais asiyejitambua mwisho wake ndo huu! Kufanya mambo shagarabagara! Yaani ujasiriamali umetoka kuwa biashara mapaka kuwa jambo la makundi maalum! Thi is very stupid idea!

Mnataka waheshimiwe sawa na walipa kodi wakati hawalipi kodi! wafanikiwe watoke huko. Kwa maono ya serikali wamachinga ni tegemezi
 
Kama ni kwwli, utakuwa ni upuuzi wa hali ya juu.

Kwanza mpaka leo, hakuna tafsiri rasmi ya machinga. Huku kwenye wizara hiyo:

Mwanamke anajulikana kwa jinsia yake
Mzee ametajwa kwenye sera ni kuanzia umri gani
Mlemavu ametajwa ni mtu wa namna gani kwenye sera ya walemavu
Mtoto ametajwa na sheria, ni mtu wa namna gani

LAKINI machinga, hata tafsiri tu hakuna. Kila mmoja ana tafsiri yake. Ndiyo maana kuna watu wana mitaji ya TZS 20m lakini wanaitwa machinga. Wengine wana mitaji ya milioni 1, wanaitwa machinga. Wengine hawana mitaji kabisa, wanachukua vitu vya watu wengine na kwenda kuwauzia, wanaitwa machinga. Machinga ni nani?
 
Hii nchi kila mtu amekuwa anatoa ushauri.
 
Machinga ni mtaji wa CCM ndio maana wamewekwa kundi maalum. Hawajijui wao kila kitu wanakenua meno tu kwa CCM.

Kundi maalum Hadi kwenye upigaji kura
 
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).

Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.

Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache wanajiweza na wala hawahitaji kuwekwa kwenye kundi maalumu.

Ila hii ya kuamua kwamba wamachinga wote kuwekwa kwenye kundi maalumu ni kichekesho cha mwaka , wamachinga wangetakiwa waundiwe idara yao kwenye wizara ya biashara na sio kuwekwa kwenye hiyo wizara inayodili na watu wasiojiweza wanaoonewa.

Wamachinga ni kundi la wapiganaji ambao wanatakiwa wawezeshwe na sio kutetewa kama wanawake,watoto, wazee au walemavu wasiojiweza.

Hao watu waliomshauri rais afanye hivyo wamempotosha kama ni yeye mwenyewe kaamua hivyo basi na awaombe radhi kwa kuwakosea heshima
Tunashukuru bana nabii alitwambia ikulu Kuna shetani mwenye maskio na askie.
 
Machinga ni wanyonge hivyo wamewekwa kundi maalum ili wanyongwe vizuri.
 
Nafikiri Wizara ya Kazi, Ajira, na Maendeleo ya Vijana ndiyo hasa inawahusu wamachinga. Katika maeneo yote inawagusa, suala la wao kujishighulisha na kazi zao za uchuuzi, ajira zao zisizokuwa rasmi katika sekta binafsi na pia fursa za maendeleo zilizopo kwao kwa kuwa wengi wao bado ni vijana.

Machinga tunawaona wakijibiidisha kutafuta maisha, ni vijana wenye nguvu na afya. Kamwe huwezi kuwaweka katika kundi maalum, yaani wao pia watambulike kama watu wenye "special needs". Hapana! Hapana! Hapana hata kidogo.

Ushauri mwingine unapaswa kuchujwa na wahusika kabla ya kupokelewa na kutamkwa hadharani. Hata fanani mwenyewe anapaswa kuwa na ufahamu mzuri wa mambo anayotaka kuyaongelea kabla ya kwenda hadharani na kutoa tamko kwa hadhira.
Acheni ujuani. Serikali inajua zaidi yenu. Malengo ya serikali ni kuionyesha jamii kuwa umachinga ni sawa na ulemavu.

Kwanza, kwanini mtu asifungue kabiashara rasmi kenye mahali panapotambulika na kulipia kodi au ushuru?

Pili, adamu ya machinga ni ndogo sana. Wakiachwa wanampanda kila mtu kichwani. Jiwe aliwachekea, mpaka anakufa, wamejaa mpaka mlangoni pa ikulu.

Tuiache serikali itende kazi. Tuihukumu kwa matokeo baada ya miaka minne ijayo. Siyo mbali.
 
Wabambikiwe kesi za ugaidi kama Mbowe tujue moja.
 
Kuwekwa na wanawake ama walemavu ni kukosewa heshima???
Kwamba hao hawana heshima?? Thread ya kipumbafu na kibaguzi mamods sijui wamelala wapi
 
Wamachinga wana hela wako vizur sana wasiwekwe kwenye kundi la wasiojiweza nadhan wangewekwa kwenye viwanda na biashara ili wapate elimu juuu ya kufanya biashara bora na wafungue viwanda Note bakhresa mwenyewe alikuwa machinga
 
Back
Top Bottom