Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up wamakonde wakurya mikwara mingi hamna kitu polisi Jana wamemchukua mdogo wake Heche na watu wengine wa nne wa kwenye zile kelele uchwara ila mpaka Sasa wameufyata