Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

Hao wote huwezi kufananisha na mziki walioonesha wamakonde hao uliowataja ni kelele nyingi. Hawana maajabu yaliofanya raisi awawazie kwenda kupeleka jeshi baada ya polisi kushindwa kazi
Kuna kijiji huku Mtwara mwaka Fulani walidhulumiwa pesa za Korosho raia wakaanzisha Fujo wakajiorganize wakanzia kituo Cha polisi waliua askari , kujeruhi na kukiharibu wakafuta viongozi wahusika waliharibu Kali zao na kuchoma vitu vyako na kuwapiga sana.

Baadae likaja nguvu kubwa ya Jeshi kama vitani , mitaaa raia wakakimbia shambani wengine huko huko wakatengeneza mabomu ya asili ya ugali wa muhongo kuendeleza vita.

Tukio Hilo lilisabanisha mpaka shule kufungiwa kijiji hiko na mwaka huo Wanafunzi hawakuhitimu darasa la 7 Wala form 4 wakaanza walipoishia mwaka uliofuata
 
Ma
Mi nimeuliza hapo, walifanya nn wamakonde?labda nilipitwa

Bora ungesema masai ningeelewa
Masai waliohamishwa mbali na makazi yao kwa kupangiwa pa kwenda?
Lilifanyika zoezi la kuhamisha watu bunda karibu na hifadhi ya Serengeti mwanzo wa mwaka huu.
Watu wamepigwa pesa nzuri hadi hii ishu haikusikika,unahisi kwa nini haikufanyika kama longido??
 
Kaa kimya. Let men talks ,you cowardly a*s sh* t tha f"*k
wewe ongea kiswahili tu uzungu haukufanyi kuwa shujaa, au matusi ya kiswahili yameisha? ndio mnataka nchi nyinyi, hapo hata nyumba kumi hamna mnalazimisha kila mtu awe kama nyinyi manyumbu. Mnaondeshwa mitandaoni ila kutumia akili zenu zero. Tukuone barabara mwanamme tena usisahau na family yote.
 
Jana wakurya wamekula kisago nadhani umejionea
jana tulienda hadi kituo kikubwa cha polisi kumdai mtu wetu! Fujo zilizotekea sio mchezo! Pikipiki zilitanda barabarani mpaka magari yakapisha! Sisi huku hatusibiri mpaka october 29! Tunaanza mdogo mdogo! Halafu kenge zilituita eti twende kikao kwenda zinatuambia eti tusifanye maandamano! Watu tukapita hivi hatutaki ujinga! Hatuchukui hata elfu 5 ya mtu!
 
Back
Top Bottom