cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂Walisema gesi haitoki. Walitandikwa sana na Jwtz halafu wakaulizwa gesi inatoka au haitoki wakasema inatoka.
😂😂😂😂Walisema gesi haitoki. Walitandikwa sana na Jwtz halafu wakaulizwa gesi inatoka au haitoki wakasema inatoka.
vita ya Maji MajiNaona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up wamakonde wakurya mikwara mingi hamna kitu polisi Jana wamemchukua mdogo wake Heche na watu wengine wa nne wa kwenye zile kelele uchwara ila mpaka Sasa wameufyata
Shida siyo kujifanya shujaa, hata wewe unayekaa kimya utaokotwa tu muda siyo mwingi.Tanzania hii usijifanye shujaa utapotea utakumbukwa siku moja tu ukiwa na bahati siku 3. Leo hii kuna mtu anaulizia Soka sijui mdude na Polepole kama jina lake polepole anasahaulika. Hii ndio Bongo....kuna la kujifunza.
Niokotwe? shida yenu hamna kazi za kufanya mnadhani uharakati ndio njia ya kupatia kipato, mimi sina muda huo wa upumbavu. Hii ndio tofauti ya mimi na wewe. Sisi manyumbu tuache wewe unayejifanywa mwamba toka na mkeo na watoto zako. Umejificha njje huko si bora ya Nyumbu yupo nyumbani.Shida siyo kujifanya shujaa, hata wewe unayekaa kimya utaokotwa tu muda siyo mwingi.
Maana waTZ mna DNA za nyumbu.
Watu kama nyie mlikuwepo tangu uhuru.Niokotwe? shida yenu hamna kazi za kufanya mnadhani uharakati ndio njia ya kupatia kipato, mimi sina muda huo wa upumbavu. Hii ndio tofauti ya mimi na wewe. Sisi manyumbu tuache wewe unayejifanywa mwamba toka na mkeo na watoto zako. Umejificha njje huko si bora ya Nyumbu yupo nyumbani.
Jeuri hiyo unayo? maneno ya kwenye keyboard. Njaa zako unalilaumu mimi nenda kamwambie Baba yako kwanini umezizaa kwenye umaskini na ujinga. pumbavuWatu kama nyie mlikuwepo tangu uhuru.
Na baada ya uchaguzi lazima tuwanyooshe
Siku lissu anakamatwa jion na kusafirishwa hadi dsm ambapo amefunguliwa mashtaka ya uhaini aliyoyatenda kwa nyakat tofauti, vip alikamatiwa ujaluoni au? Au wale si wamakonde..Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up wamakonde wakurya mikwara mingi hamna kitu polisi Jana wamemchukua mdogo wake Heche na watu wengine wa nne wa kwenye zile kelele uchwara ila mpaka Sasa wameufyata
kwamba wewe hutakufa?. waliokununulia simu na kukuwekea bando la kufanya ushinde mtandaoni wamekufanya ujione kuwa una-dwell where immortality is guaranteed and people grow young.Tanzania hii usijifanye shujaa utapotea utakumbukwa siku moja tu ukiwa na bahati siku 3. Leo hii kuna mtu anaulizia Soka sijui mdude na Polepole kama jina lake polepole anasahaulika. Hii ndio Bongo....kuna la kujifunza.
Wewe baba yako tajiri wa nini?Jeuri hiyo unayo? maneno ya kwenye keyboard. Njaa zako unalilaumu mimi nenda kamwambie Baba yako kwanini umezizaa kwenye umaskini na ujinga. pumbavu
Historia pia inatuambia wamakonde wameshiriki pakubwa kwenye mapinduzi zanzibarNaona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up wamakonde wakurya mikwara mingi hamna kitu polisi Jana wamemchukua mdogo wake Heche na watu wengine wa nne wa kwenye zile kelele uchwara ila mpaka Sasa wameufyata
Upo sahihi kabisa.Wamasai pia ni watu hatari sema tu wao hawana interest ya kufuatilia mambo ya siasa wao ukitaka kuona hasira zao ukakamate ng'ombe wao hicho ndio kitu wanachokiheshimu kuliko chochote.
Au kama sio ng'ombe basi umkamate mwenzao mbele yao ndio utaujua mtiti wao hakuna wa kuwatuliza.
Sema Arusha,Mara na Mbeya ndio wakongwe kwenye haya mambo tangu miaka ya 90 hata ukiingia youtube video zao zipo zinazoonyesha vita na polisi kwenye maandamano labda wapoe miaka hii ya karibuni.
Maaskari wa Arusha wanaishi nao kwa akili sana huwa hawatumii nguvu kwenye matukio yao maana wanajua wakitumia nguvu bila siasa itakuwa patashika na nchi itatikisika.
Ukitaka kujua angalia zile vurugu zinatokeaga kwenye ile misiba ya watu wa bodaboda polisi wakija hawatumiagi nguvu huwa wanawahamasisha na kuwabembeleza watulie na sio kutumia ubabe.
Acha kuwachomoa fuse wenzako.Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up wamakonde wakurya mikwara mingi hamna kitu polisi Jana wamemchukua mdogo wake Heche na watu wengine wa nne wa kwenye zile kelele uchwara ila mpaka Sasa wameufyata
Mimi jitu likisema tu kwani wewe hutakufa? nalidharau hapo hapo. Kila mtu atakufa sasa wewe unataka kutangulia au? pumbavukwamba wewe hutakufa?. waliokununulia simu na kukuwekea bando la kufanya ushinde mtandaoni wamekufanya ujione kuwa una-dwell where immortality is guaranteed and people grow young.
Yaani kuna makuma sijui mnajionane vile.
yaani ile privilege ya kuwapigia Voda ama Tigo na kuomba location ya mtu flan mnayemtaka imefanya mjione kama miungu vile!.
Hawafahamu Wakurya huyo. Ni jamii ya watu watata sana na wenye misimamo mikali sana.Kuna mtu anawasifia hapa ,huku anawaponda wakurya wa jana sirari waliombeba Heche😃😃
Unazunguka kila uzi na kuangulia ni nani anapinga mauaji unaanza kumtishia kifo..go and hustle and make legitimately.kwa kiwango ulichofikia hata shoga ana nafuu matako wewe.Mimi jitu likisema tu kwani wewe hutakufa? nalidharau hapo hapo. Kila mtu atakufa sasa wewe unataka kutangulia au? pumbavu