Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

Mkuu sijui watu wa aina Yako Huwa mnawaza Nini tu.

Kufa utakufa tu hata kama umelala uvuguni utakufa tu. Umesahau kariakoo pale lile jengo liliua watu wakiwa wanahesabu noti?
Haya ni lini umewakumbuka? Usahaulike usisahaulike habari hiyo Haina uhususiano wowote.

Gadafi kafa vilevile wapo wanao mkumbuka na walio msahau.

Hata wewe ukifa Kwa kufaumaniwa wapo watakao kukumbuka na wapo watakusahau.

Kusema mdude au Polepole eti wamesahauliwa wakumbukwe Ili iweje hata yesu pasipo makanisa angekuwa ameshahaurika kitambo sana.
Hivi umeelewa nilichoandika, kuna sehemu nimesema siwezi kufa? unataka kusema kwa sababu kila mtu atakufa basi nife kizembe au? siwezi mimi kujitoa mhanga na kifo kuwapigia kikundi fulani kipate madaraka na siwezi kujitoa kwa mwanasiasa. Sasa sielewi point kwa kifo kipo basi ujitoe tu kiholela au unasemaje. Katika kauli mbovu ni hii hata wewe utakufa tu au pesa zako zinakusaidia ni utaziaacha tu so what? nisitafute pesa
 
Huikutoka kweli hadi wakaingiza jwtz kama vitani.
Na kuwatuliza kwa diplomasia pia.
Pinda mzee wa Mizengwe akasema "lazima wapigwe hakuna namna".
Hii kauli ya pinda ita muhukumu mpaka afukiwe na udongo.

Anapaswa kuwaomba msamaha wa TZ (wana mtwara ) kwa kauli yake ya kifedhuli
 
Kila kitu kina muda
Unayoyaona hapa usifikiri hizo nchi nyingine hayakuwepo ila nyakati zilipofika hakukuwa na cha kuzuia

Ogopa ikifika muda watu hawaogopi tena kufa maana ndo kitu cha mwusho mwanadamu anatishwa nacho

Cameroon ,na wengine ilikuwa km Tz leo kiko wapi?
Watanzania hawaogopi kufa? sasa nikuulize wewe huogopi kufa? Tarehe 29 inakuja kumbuka kurudia huu uzi kama hawatatoka vibaka wakivizia fursa za kuiba tu wala sio siasa.
 
Romania 1989 ilikuwa kama hapo nchini kwenu. Kutekana na Mambo ya kupeleka watu na malori kwenye mikutano pia yalikuwapo.
Katikati ya hotuba ya raisi na mkewe ambaye alikuwa makamu Waziri mkuu watu wakaanza kumzomea raisi.
Wanajeshi wakaungana na raia dhidi ya polisi. Tuombe hapo kwenu yasitokee hayo.
 
Tangu taifa hili lipate uhuru hakuna kabila ambalo limeweza kugoma na kukomaa kama wamakonde kipindi kile cha gesi rais wa nchi akiwa mh.jakaya mrisho kikwete.
Mimi niliona kwa macho yangu baadhi ya vurugu na majibizano kati ya askari na raia,
Alooo! Acha tu, polisi walishindwa wakaenda wanajeshi tena na silaha kama wanaenda vitani lakini ngoma bado ilikuwa mbichi.
Usifananishe wamakonde na watu wa arusha au mara maneno mengi tu hao vitendo sifuri.
 
Nadhani unajuwa history vizuri ya Romania, USSR ilipoanguka ndio wakaanguka wajamaa wote mpaka kina Mengistu na sababu zipo wazi, USSR aliyekuwa anawapa ulinzi. Kama USSR ingelikuwa bado ipo hakuna mtu angeweza kumzomea yule Rais wa Romania wala jeshi kufanya lolote na unalijuwa hilo. Nyerere alijiwahi kufanya mabadiliko lakini yangemkuta kama angechelewa. Sasa issue ile na hii ni vitu viwili tofauti. Kuzomewa sio shida hata Nentanyau anazomewa kila siku lakini yupo. Macron na kofi alipewa lakini yupo. Sasa ndio ingetokea kwetu Rais kapigwa kofi......
 
Watanzania hawaogopi kufa? sasa nikuulize wewe huogopi kufa? Tarehe 29 inakuja kumbuka kurudia huu uzi kama hawatatoka vibaka wakivizia fursa za kuiba tu wala sio siasa.
Umeelewa point yangu?
Ogopa sn mtu ambae ashakata tamaa, kafika mwisho haogopi tena kufa
Wanaoogopa wana maisha ndo maana ila ambae kula yake tu hana uhakika unafikiri anaogopa tena?
Hebu tuangalie wimbi kubwa watu wana maisha?

Brw,nyakati huwa zinadai na huwa hazizuiliki
Na wengi hamtaamini kinachoenda kutokea itaanza km utani na ita enea ,just wait ndo utajiuliza hii ni Tz au ....
Na hii sio tz tu itaenea kote
 
Tangu taifa hili lipate uhuru hakuna kabila ambalo limeweza kugoma na kukomaa kama wamakonde kipindi kile cha gesi rais wa nchi akiwa mh.jakaya mrisho kikwete.
Mimi niliona kwa macho yangu baadhi ya vurugu na majibizano kati ya askari na raia,
Alooo! Acha tu, polisi walishindwa wakaenda wanajeshi tena na silaha kama wanaenda vitani lakini ngoma bado ilikuwa mbichi.
Usifananishe wamakonde na watu wa arusha au mara maneno mengi tu hao vitendo sifuri.
Kwa kifupi watu wa jamii za kusini wengi wakiamua lao hawana cha mswalie mtume.

Jamii za wamakonde,wandengereko,wamatumbi ni watata balaa.
 
Watu wanafikiri najiongelea tu washazoea kusikia hao wazee wa mikwara mingi wakurya waarusha sijui wamasai ambao ndio wanaongelewa eti huwa nashangaa sana hao wazee wa show off wakisifiwa wakati Kuna watu wale wa kusini mtiti wao unaweza kusema sio watanzania na fikiria kipindi kile sio Cha mitandao
 
Kwa kifupi watu wa jamii za kusini wengi wakiamua lao hawana cha mswalie mtume.

Jamii za wamakonde,wandengereko,wamatumbi ni watata balaa.
Walaini halafu wavivu shemeji zangu hao
 
Hivi umeelewa nilichoandika, kuna sehemu nimesema siwezi kufa? unataka kusema kwa sababu kila mtu atakufa basi nife kizembe au? siwezi mimi kujitoa mhanga na kifo kuwapigia kikundi fulani kipate madaraka na siwezi kujitoa kwa mwanasiasa. Sasa sielewi point kwa kifo kipo basi ujitoe tu kiholela au unasemaje. Katika kauli mbovu ni hii hata wewe utakufa tu au pesa zako zinakusaidia ni utaziaacha tu so what? nisitafute pesa
Hakuna kufa kizembe labda ujue mwenyewe. Kitendo Cha kusema wakina mdudebna Polepole tumeshawasahau ukitaka tuwakumbuke kama yesu?

Kama zamu Yao ishapita imepita tuendelee kuwajadiri au kunyamqza kimya kama watesi wao wameshawaua itasaidia Nini?

Kwani wewe ukifa Leo utakumbukwa daima kama Nyerere?

Na kwanini basi usimame kuwalaumu Ili Hali hukuwa na mchango wowote katika harakati zao au maisha Yao?

Wao walichagua kulipambania Taifa walijitoa Kwa aina hiyo na walijua kabisa Kuna kufa lakini hawkujari kipi Cha ajabu zaidi kwako?
 
Tangu taifa hili lipate uhuru hakuna kabila ambalo limeweza kugoma na kukomaa kama wamakonde kipindi kile cha gesi rais wa nchi akiwa mh.jakaya mrisho kikwete.
Mimi niliona kwa macho yangu baadhi ya vurugu na majibizano kati ya askari na raia,
Alooo! Acha tu, polisi walishindwa wakaenda wanajeshi tena na silaha kama wanaenda vitani lakini ngoma bado ilikuwa mbichi.
Usifananishe wamakonde na watu wa arusha au mara maneno mengi tu hao vitendo sifuri.
Aisee kuna mshkaji alishikwa ilikuwa newala mjini na wanajeshi wakati wa lile sakata...mwamba akajitetea kuwa yeye baba yake kàlazwa kwahiyo yupo kwenye kumuhangaikia matibabu yake kwahiyo katika mahojiano mwanajeshi mmoja alijibu Majibu ya dharau mshkaji alimchapa makofi mwanajeshi japo alipigwa sana ila nayeye akawa anapigana nao japo walikuwa wengi
 
Hakuna kufa kizembe labda ujue mwenyewe. Kitendo Cha kusema wakina mdudebna Polepole tumeshawasahau ukitaka tuwakumbuke kama yesu?

Kama zamu Yao ishapita imepita tuendelee kuwajadiri au kunyamqza kimya kama watesi wao wameshawaua itasaidia Nini?

Kwani wewe ukifa Leo utakumbukwa daima kama Nyerere?

Na kwanini basi usimame kuwalaumu Ili Hali hukuwa na mchango wowote katika harakati zao au maisha Yao?

Wao walichagua kulipambania Taifa walijitoa Kwa aina hiyo na walijua kabisa Kuna kufa lakini hawkujari kipi Cha ajabu zaidi kwako?
Nimekusoma lakini sijakuelewa point yako, tujifunze namna ya kupeleka ujumbe.
 
Back
Top Bottom