Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Hao watu huwa hawazungumziwi sifa wanapewa watu wa mara na Arusha ambao sifa za kwenye kideo ila zikilia risasi hutoona mtu barabarani ila wamakonde shoo Yao wakiamua kutaka Chao ni mtiti fikiria kipindi kile hata mitandao ilikua haitumiki kama sasa lakini kikwete habari Yao aliipataUmenikumbusha ule mzozo wa gesi ya Mtwara
Hakika Wamakonde ni watu wa maana
Hao watu huwa hawazungumziwi sifa wanapewa watu wa mara na Arusha ambao sifa za kwenye kideo ila zikilia risasi hutoona mtu barabarani ila wamakonde shoo Yao wakiamua kutaka Chao ni mtiti fikiria kipindi kile hata mitandao ilikua haitumiki kama sasa lakini kikwete habari Yao aliipata
Hao mkwara tu polisi wakija wanaogopa risasi na kukimbia ila wamakonde wale watu acha aisee hawazungumziwi ila wakitaka Chao aisee kikwete anawajuaBila kusahau wamaasai
Hao mkwara tu polisi wakija wanaogopa risasi na kukimbia ila wamakonde wale watu acha aisee hawazungumziwi ila wakitaka Chao aisee kikwete anawajua
Hamna kitu hapo mzee hao wakiona mwenzao kapigwa risasi hutoona shuka hata Moja wamakonde waliua Hadi polisi yaani ilikua mtafutemtafute polisi wakiua na wao wanauwawa polisi ilishindikanana kuwadhibiti kikwete akaleta jeshiUmesahahu walivo simama na seke seke la Kufukuzwa Ngoro ngoro? Hawa jamaa sio wa kuwa underlate
Tanzania hii usijifanye shujaa utapotea utakumbukwa siku moja tu ukiwa na bahati siku 3. Leo hii kuna mtu anaulizia Soka sijui mdude na Polepole kama jina lake polepole anasahaulika. Hii ndio Bongo....kuna la kujifunza.Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up wamakonde wakurya mikwara mingi hamna kitu polisi Jana wamemchukua mdogo wake Heche na watu wengine wa nne wa kwenye zile kelele uchwara ila mpaka Sasa wameufyata
AiseeTanzania hii usijifanye shujaa utapotea utakumbukwa siku moja tu ukiwa na bahati siku 3. Leo hii kuna mtu anaulizia Soka sijui mdude na Polepole kama jina lake polepole anasahaulika. Hii ndio Bongo....kuna la kujifunza.
Wamakonde nawakubali shughuli yao kwenye kulinda mali yao. Wamaasai usiwachukulie kiwepesi nao mtiti. Niliona mtiti wao na askari magereza Kisongo Arusha.Hao mkwara tu polisi wakija wanaogopa risasi na kukimbia ila wamakonde wale watu acha aisee hawazungumziwi ila wakitaka Chao aisee kikwete anawajua
2012 uliona shuguli ya wamakonde?Wamakonde nawakubali shughuli yao kwenye kulinda mali yao. Wamaasai usiwachukulie kiwepesi nao mtiti. Niliona mtiti wao na askari magereza Kisongo Arusha.
Waliingiza ng'ombe shamba la magereza, Askari wakakamata ng'ombe.
Askari anarusha risasi hewani wao wanamfuata kasi na siilaha za jadi.
Mmoja kapiga some askari kakinga na bunduki.
Ilibidi wamvunje mguu mmoja kwa risasi wengine wakarudi nyuma.
Walifanya nn ? Si walisema haitoki, vipi haikutoka?πUmenikumbusha ule mzozo wa gesi ya Mtwara
Hakika Wamakonde ni watu wa maana
Labda ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mtotoWalifanya nn ? Si walisema haitoki, vipi haikutoka?π
Sipo hapa kubishanaWalifanya nn ? Si walisema haitoki, vipi haikutoka?π
Mkuu sijui watu wa aina Yako Huwa mnawaza Nini tu.Tanzania hii usijifanye shujaa utapotea utakumbukwa siku moja tu ukiwa na bahati siku 3. Leo hii kuna mtu anaulizia Soka sijui mdude na Polepole kama jina lake polepole anasahaulika. Hii ndio Bongo....kuna la kujifunza.
Kila kitu kina mudaTanzania hii usijifanye shujaa utapotea utakumbukwa siku moja tu ukiwa na bahati siku 3. Leo hii kuna mtu anaulizia Soka sijui mdude na Polepole kama jina lake polepole anasahaulika. Hii ndio Bongo....kuna la kujifunza.
Nilikuwa mtt mi?Labda ulikuwa hujazaliwa au ulikuwa mtoto
Huikutoka kweli hadi wakaingiza jwtz kama vitani.Walifanya nn ? Si walisema haitoki, vipi haikutoka?π