Kuna kijiji huku Mtwara mwaka Fulani walidhulumiwa pesa za Korosho raia wakaanzisha Fujo wakajiorganize wakanzia kituo Cha polisi waliua askari , kujeruhi na kukiharibu wakafuta viongozi wahusika waliharibu Kali zao na kuchoma vitu vyako na kuwapiga sana.Hao wote huwezi kufananisha na mziki walioonesha wamakonde hao uliowataja ni kelele nyingi. Hawana maajabu yaliofanya raisi awawazie kwenda kupeleka jeshi baada ya polisi kushindwa kazi
Exactly 💯Hawafahamu Wakurya huyo. Ni jamii ya watu watata sana na wenye misimamo mikali sana.
Masai waliohamishwa mbali na makazi yao kwa kupangiwa pa kwenda?Mi nimeuliza hapo, walifanya nn wamakonde?labda nilipitwa
Bora ungesema masai ningeelewa
wewe ongea kiswahili tu uzungu haukufanyi kuwa shujaa, au matusi ya kiswahili yameisha? ndio mnataka nchi nyinyi, hapo hata nyumba kumi hamna mnalazimisha kila mtu awe kama nyinyi manyumbu. Mnaondeshwa mitandaoni ila kutumia akili zenu zero. Tukuone barabara mwanamme tena usisahau na family yote.Kaa kimya. Let men talks ,you cowardly a*s sh* t tha f"*k
unalombwa mkuu!Sasa matusi ya nn?hapa nmezungumzia matukio yaliyowahi kutokea mtwara na ww ungezungumzia ya tarime uliyoyashuhudia watoto wa zinaa upati tabu kuwajua
Jana wakurya wamekula kisago nadhani umejioneaunalombwa mkuu!
jana tulienda hadi kituo kikubwa cha polisi kumdai mtu wetu! Fujo zilizotekea sio mchezo! Pikipiki zilitanda barabarani mpaka magari yakapisha! Sisi huku hatusibiri mpaka october 29! Tunaanza mdogo mdogo! Halafu kenge zilituita eti twende kikao kwenda zinatuambia eti tusifanye maandamano! Watu tukapita hivi hatutaki ujinga! Hatuchukui hata elfu 5 ya mtu!Jana wakurya wamekula kisago nadhani umejionea
Watoto ambao mama zao waliinamishwa visimani wakapatikana wao hupati tabu kuwajuaunalombwa mkuu!
ukiwemo na wewe kama mfano wa watoto wa aina hiyo!Watoto ambao mama zao waliinamishwa visimani wakapatikana wao hupati tabu kuwajua