Okay lazima wawachukie waafrika kwa sababu waafrika wakiendaga US huwaga wanakichafua kinoma noma .. Kwanza wanasoma sana na wanazitumia fursa vizuri. Vyuo vingi vya Marekani wanafunzi kutoka Africa ndio wanafanya vizuri. Hawa wanugu shule hawataki kazi hawataki halafu mwisho wa siku wanaanza kuwalaumu immigrantsClubhouse
Hata huko marekani social services ni mbovu tu kama huku Tanzania.Rejea message yangu ya kwanza,Kuna sehemu nimesifia mmrekani?nimekushauri kujikita kwenye matatizo ya nchi yako kuliko kuparamia wenzio wenye social services za kueleweka......sijaelewa kilichokupanikisha hapo Nini tumia hiyo Exposure uliyonayo vizuri
What about Uk Germany Sweden Denmanrk Finland China etc ? Nani alifanya struggle ili wewe mwafrika uende?Bila hao African American kufanya revolution,sisi wengine tusingekanyaga Huko America so ni jasho na damu zao , Marcus Garvey,Martin Luther,Malcom X etc Hilo ajue
Wa tofauti nakuona wewe,At 21century bado unawaita black American ni illegal migrant?hivi unajua walichopitia Hadi kuwa hapo walipo?hutaki kuwaheshimu wao at least heshimu hustle zaoWewe huioni tofauti? Like seriously? Tell me ur joking please
Nyie mafisi ya kijani ccm ndio mmesababisha hayo yote.Yaani nchi yako inapumulia mashine uko busy na Marekani are you serious?Shule zako tu zile unazisifiaga hazina vitabu Wala walimu unashindana wamarekani...maajabu!
Huwezi fananisha USA na Tanzania...grow up!......Hata huko marekani social services ni mbovu tu kama huku Tanzania.
No kwavile tu hayasemwi ya kwao
Tunazungumzia kizazi cha sasa hivi cha AA, kama ni struggle za enzi hizo hata Africa kulikuwa na struggle dhidi ya ukoloniBila hao African American kufanya revolution,sisi wengine tusingekanyaga Huko America so ni jasho na damu zao , Marcus Garvey,Martin Luther,Malcom X etc Hilo ajue
Chai ya rangi na vitumbua viwili ndio madhara yake haya!jitahidi uwe unapata hata kikombe Cha uji wa Dona kitakusaidia ,na utanishukuru baadaeNyie mafisi ya kijani ccm ndio mmesababisha hayo yote.
Ofcoz sijawahi fika,Sina sababu ya kudanganya imma kama unavyojaribu kufanya ni kujilisha upepoAfadhali umesema wewe mkuu huyo bidada hajawahi kufika Marekani kabisa.
ur very slow madam. Sidhani kama Uzi wangu umeuelewa aisee.Wa tofauti nakuona wewe,At 21century bado unawaita black American ni illegal migrant?hivi unajua walichopitia Hadi kuwa hapo walipo?hutaki kuwaheshimu wao at least heshimu hustle zao
Okay lazima wawachukie waafrika kwa sababu waafrika wakiendaga US huwaga wanakichafua kinoma noma .. Kwanza wanasoma sana na wanazitumia fursa vizuri. Vyuo vingi vya Marekani wanafunzi kutoka Africa ndio wanafanya vizuri. Hawa wanugu shule hawataki kazi hawataki halafu mwisho wa siku wanaanza kuwalaumu immigrant
What about Uk Germany Sweden Denmanrk Finland China etc ? Nani alifanya struggle ili wewe mwafrika
Go and Read history vizuri wewe,Racism ya mzungu ilikuwa worldwide,Heshimu watu kama Martin Luther king ,acha kujiona Ujinga up wanamchango mkubwa sana juu ya heshima na kukubalika Duniani watu weusi,hao ndio champion mpka Akina Nelson Mandela wakaamka piaWhat about Uk Germany Sweden Denmanrk Finland China etc ? Nani alifanya struggle ili wewe mwafrika uende?
Hii hoja huwaga haina mashiko
Huwezi kuzungumzia present na uka undermine past.Tunazungumzia kizazi cha sasa hivi cha AA, kama ni struggle za enzi hizo hata Africa kulikuwa na struggle dhidi ya ukoloni
Adhabu yako sintokujibu tenaGo and Read history vizuri wewe,Racism ya mzungu ilikuwa worldwide,Heshimu watu kama Martin Luther king ,acha kujiona Ujinga up wanamchango mkubwa sana juu ya heshima na kukubalika Duniani watu weusi,hao ndio champion mpka Akina Nelson Mandela wakaamka pia
Wanaleta ujuaji usio na sababu,,eti wao ndio wanaakili kuliko Malcolm xGo and Read history vizuri wewe,Racism ya mzungu ilikuwa worldwide,Heshimu watu kama Martin Luther king ,acha kujiona Ujinga up wanamchango mkubwa sana juu ya heshima na kukubalika Duniani watu weusi,hao ndio champion mpka Akina Nelson Mandela wakaamka pia
Jikite kwenye mada....Vipi kuhusu wayahudi wanao Itwa wahamiaji haramu Israel wakati babu zao wapo tangu enzi za king David miaka elfu 7 iliyopita?
Wewe upo race sana Hadi unatoka nje ya reliur very slow madam. Sidhani kama Uzi wangu umeuelewa aisee.
Baba ako na Malcolm X nani ana akili kumshinda mwenzake?Wanaleta ujuaji usio na sababu,,eti wao ndio wanaakili kuliko Malcolm x
Attitude/ mentality ya mtu mweusi American ndio tatizo wengi ni sababu ya past experiences, education kwao sio kipaumbele wengi wanajikita kwenye Sports/ Music - kasome Dr Ben Carson books like Gifted Hands au Think Big,......Eti 50 cent is avarage guy wewe ni brah brah mwenzio an brand World wide akifa jina lake litaishi wewe je? Umefanyia nini Tanzania na Elimu Yako? Bull shit tuAdhabu yako sintokujibu tena