LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
- Thread starter
- #41
Okay lazima wawachukie waafrika kwa sababu waafrika wakiendaga US huwaga wanakichafua kinoma noma .. Kwanza wanasoma sana na wanazitumia fursa vizuri. Vyuo vingi vya Marekani wanafunzi kutoka Africa ndio wanafanya vizuri. Hawa wanugu shule hawataki kazi hawataki halafu mwisho wa siku wanaanza kuwalaumu immigrantsClubhouse