Wamarekani weusi ni weupe sana kichwani aisee. Nimewapiga kwenzi moja huko instagram wamebaki wanabwabwaja tu

Mkuu wewe 50 anaweza hata kukuoa kabisa wewe.
 
Kwa jinsi ulivyo muweka juu 50 am sure as heaven akitaka uwe demu wake huwezi kuchomoa wewe.
 
Kutokana na hoja yako na utetezi wako, je wabantu waliohamia Africa mashariki na Africa kusini ni illigal immigrant ? North African are also illigal immigrants? Binafsi sioni kama hoja yako ina mashiko. Labda uliwapata wamarekani kwa sababu hawasomi au hawazingatii historia vizuri .
 
Hoja yako pia ni famba, hao AA hawawezi kuwa illegal sababu babu zao walishapewa uraia kitambo baada ya utumwa kukomeshwa, wao ni raia wazawa
Mleta uzi hajui hata historia, walipopelekwa marekani hakukua na nchi ya marekani bali coloni la waingereza
Meli ya kwanza ya utumwa ilitua virginia mwaka 1619 na waliahidiwa watakua huru kumbuka marekani imepata uhuru mwaka 1777
 
Mleta uzi hajui hata historia, walipopelekwa marekani hakukua na nchi ya marekani bali coloni la waingereza
Meli ya kwanza ya utumwa ilitua virginia mwaka 1619 na waliahidiwa watakua huru kumbuka marekani imepata uhuru mwaka 1777
 
Hao wabantu waliletwa kwenye meli kama watumwa?
 
Pamoja na mapungufu yake huwezi fananisha u.s na Tanzania huo utakua ni uwendawazimu
 
Kama ujafika USA huwezi mwelewa mtoa post kuhusu 50 cent ni average person. Kwa huku kwetu africa anaweza kuwa ni great person, ila asikwambie mtu, mfumo wa life pale State upo tofauti sana.
 
Kama ujafika USA huwezi mwelewa mtoa post kuhusu 50 cent ni average person. Kwa huku kwetu africa anaweza kuwa ni great person, ila asikwambie mtu, mfumo wa life pale State upo tofauti sana.
How do you rate 50 cent Avarage person in Usa? Kama alitishaa show Madison Square ikajaa hao wazungu? Tuambie ulie fika usa
 
Watanzania tuna ujuaji sana alafu ujuaji huo tumeshindwa isaidia nchi yetu kutoka kwenye umaskini
Mfano miaka ya nyuma hasa 2000's kurudi nyuma kulikua na narrative kwamba elimu ya Tanzania ni ngumu na watu waliikubali ila baadae ikaja julikana tatizo ni watanzania wengi hawana msingi wa lugha ya kingereza wanakariri sana kwa hiyo elimu sio ngumu bali ni wanafunzi hawana msingi mzuri wa kingereza

Hata mtoa uzi anajiona ana-akili lakin leo akifa atakumbukwa kwa lipi nakuhakikishia jibu hana
 
How do you rate 50 cent Avarage person in Usa? Kama alitishaa show Madison Square ikajaa hao wazungu? Tuambie ulie fika usa
Kujaza show siyo tatizo mkuu, inategemea na ukanda aliokwenda pengine ndio mafans wake wapo uko. Ila kuna sehemu pale State akienda ni mtu wa kawaida sana pengine hata Wengine hawamjui. Mkuu marekani siyo kama bongo ambapo ukiwa maarufu kila kona watakujua.
 
Sikatai weupe wao kichwani, nakubaliana na wewe kuhusu hili. Ila hoja yako sijaona kama ina mashiko. Walikuwa transported illegally na baada ya kuabolish slave trade wakapewa uraia. Hata wasingepewa uraia lakini almost wote sasa wamezaliwa huko hivyo kisheria wana uraia wa kuzaliwa (principle of jus soli). Ndio maana hata trump wakati anarudisha illegal immigrants hakuwarudisha na waototo wao waliozaliwa marekani maana automatically wale walikuwa ni raia wa marekani jambo ambalo lilileta kelele kuwa ni kinyume cha haki za binadamu kutenganisha watoto na wazazi wao hadi mahakama ikaingilia kati kuzuia.
 
50 cent sio average acha kudanganya watu
Siyo average person sawa kwa sababu unamjua. Mfano mzuri Drake yule msanii mkubwa tu lakini aliwahi kufika sehemu anafanya interview na watu hawamjui kama kuna msanii anaitwa drake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
So mtu kama 50 cent anaweza kuwa mainstream kwa upande mmoja uku kwengine raia hawana habari naye. Mfumo wa life USA hasa kwa upande wa muziki ni mgumu sana ..kuna wasanii pale state wanakimbiza kinoma 50 cent anasubiri. Na wewe huwajui πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Majungu sio mtaji alafu usipende kujifariji mtu flani ni average ilihali amekuzidi mambo mengi sana acha majungu

Hata samia akienda baadhi ya maeneo hapa Tanzania watu wengi hawawezi mtambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…