Wamarekani weusi wa Zanzibar

Wamarekani weusi wa Zanzibar

Si uwafungulie kesi wewe mahakamani maana serikali yenu na kanisa lake wameshindwa?
Abdool Kanisa ndilo lilimkamata?
au Polisi chini ya utawala wa Shein na Kikwete wavaa makobaz wenzio?
 
Endelea kumpinga Yesu

Mathayo 16: 20

Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ye yote ya kwamba yeye ndiye Kristo.
Kwanini aliwakataza Abdool?
tuwekee kuanzia Matthew 16:1 hadi mwisho tujifunze sote
 
Weka wewe labda kiswahili kimeanza kukupiga chenga
Matthayo 16:15-20
Akawaambia, Nanyi mwaninena mimi ni kuwa nani? 16 Simon Petro akajibu akasema, wewe ndiwe Kristo Mwana wa Mungu aliye hai. 17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simon Bar-Yona, kwa kuwa mwili na damu havikufunuliwa hili; bali Baba yangu aliye mbinguni. 18 Nami nakuambia, wewe ndiwe petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa lang; wala milango ya kuzimu haitalishinda. 19 Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni na lolote utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni 20 Ndipo alipowakataza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote ya kwamba yeye ndiye Kristo!

tuko pamoja Abdool?
 
Sasa aliwaambia kitu gani hapo mwisho na wewe unafanya nini? Au kiswahili kinaanza kukupa shida?
 
Mbona Aya zinajieleza we abdool ubishi mwingine wakipuuzi.
Yesu alikuwa kwenye mission na hapa ilikuwa ndio kwanza inaanza aliwaambia vile ili kuficha identity.
.
ndio maana hata alivyokuwa akiponya watu alikuwa anawaambia wasimwambie mtu yeyote.
tumiaga akili sometime maabdool sijui mkoje mtume wenu akili alikuwa hana na nyie pia khaa
 
Sasa unataka kumlisha Yesu maneno yako .

kiswahili kinaanza kukupiga chenga
 
Kuna mkuu wa mkoa anaitwa Rais na ana vikosi vyake vya ulinzi?
Una maanisha Rais wa Zanzibar anaweza kutangaza vita na nchi nyingine, bila ridhaa ya Rais mwenye Jamhuri yake?. JWTZ,Polisi,na uamiaji ni mambo ya Muungano.Hayo majeshi mengine ni kama mkurugenzi wa jiji,manispaa,au halmashauri anavyomiliki mgambo wake.
 
Hayo majeshi yako uliyoyataja ni ya uvamizi. Zanzibar haina ugomvi na nchi yoyote. Wala haijawahi kuwa na majeshi.
Matatizo mnayo nyinyi Tanganyika mliopakana na Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi , Malawi , Zambia , Congo, Msumbiji , ndio mnahitaji majeshi kwani chokochoko hazishi.
 
Hukumbuki Mapinduzi mliyofanya mwaka 1964 kuondoa Serikali ya Kiarabu? Mkawafurusha Wengine na Wengine mkawaua

Yale ni mavamizi si mapinduzi? ,Muhammed Shamte wa Ole kumbe ndiye Mwalabu??
 
Back
Top Bottom