blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 12,112
- 15,060
We tulia.Unasubiri muone nini mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We tulia.Unasubiri muone nini mkuu ?
Choicevariable wewe ni msafwa kabila ambalo ni kama Watumwa tu WanyakyusaKwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.
Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.
Endelea na matusi yako tuone yatakufikisha wapiUmaskini wa kibinafsi sina Atupele....
Unataka uniajiri nije kufanya kazi za bustani hapo hotelini kwenu ?!!
Mjinga umemaliza maneno kipumbavu...huo sio uwekezaji nilichogundua wewe si mtanganyika ni mzanzibar kwa hiyo unaongea lolote coz hayo hayafanyiki zanzibar
[emoji1787][emoji1787]We tulia.
Ukikosa hoja unakimbilia vibweka hivi vya fikra mfu:Endelea na matusi yako tuone yatakufikisha wapi
Continue to demand doesn't change anything...we need to act for these people to be released....Huyu rais kutoka Kijiji Cha jambiani kata ya mchambawima kutuharibia sana nchi.anafukuza wazawa anathamini waarabu wa omani?is it right to humiliate inhabitants and appreciate people from Oman? We have to make demonstration to expel this madness
[emoji44][emoji44]Choicevariable wewe ni msafwa kabila ambalo ni kama Watumwa tu Wanyakyusa
Wewe huwezi kuona wanachopigania Wamasai kamwe kwa Sababu hata mbunge na Diwani wako ni Wanyakyusa
Hii waachie makamanda wa Machame wanaojua Thamani ya asili yao na Wazanzibar wanaojua Thamani ya Nchi yao
Samahani Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ardhi ni mali ya dola...Huyu rais kutoka Kijiji Cha jambiani kata ya mchambawima kutuharibia sana nchi.anafukuza wazawa anathamini waarabu wa omani?is it right to humiliate inhabitants and appreciate people from Oman? Solution is to make demonstration to expel this madness
How?Ndio! Wao ni spesho!
Jikite kwenye hoja,taarabu peleka Kizimkazi Kuna tamasha.Choicevariable wewe ni msafwa kabila ambalo ni kama Watumwa tu Wanyakyusa
Wewe huwezi kuona wanachopigania Wamasai kamwe kwa Sababu hata mbunge na Diwani wako ni Wanyakyusa
Hii waachie makamanda wa Machame wanaojua Thamani ya asili yao na Wazanzibar wanaojua Thamani ya Nchi yao
Samahani Lakini 😂😂😂😂
Kumbe sababu ni CHAPAA ,MPUNGA ,UBWECHE ,CHAPA YA KAIZARI halafu akina Erthyrocytes wanatuletea "nye nye nye " hapa [emoji1787][emoji1787]Ishu iko hiv mamasai wanaish humo mbugan hawaruhusiw kufanya shugul za kibinadamu kulima kujenga watahatarisha hifadh hivyo serikal hulipa gharqma kila mwez kwa wakaz ili kujikim walipoambiwa waondoke wanagoma sababu wanakosa malipo ya kila mwez