Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Pre GE2025 Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwamba wao ni spesho sana au? Wangekuwa wanafukuzwa bila kupewa chochote sawa ila wanahamishwa Kwa staha na kupewa Ardhi ,fidia na stahiki zingine kwa maslahi mapana ya Hifadhi na Nchi hapo Ngorongoro.

Hata kama sio Mwarabu kuwekeza kama inavyopotoshwa ,angekuwa John Bado wangehamishwa.
Choicevariable wewe ni msafwa kabila ambalo ni kama Watumwa tu Wanyakyusa

Wewe huwezi kuona wanachopigania Wamasai kamwe kwa Sababu hata mbunge na Diwani wako ni Wanyakyusa

Hii waachie makamanda wa Machame wanaojua Thamani ya asili yao na Wazanzibar wanaojua Thamani ya Nchi yao

Samahani Lakini 😂😂😂😂
 
How they say, they preserve wildlife habitats from bad indigenous people.??
They don’t care about Us.. Sadly
 
huo sio uwekezaji nilichogundua wewe si mtanganyika ni mzanzibar kwa hiyo unaongea lolote coz hayo hayafanyiki zanzibar
Mjinga umemaliza maneno kipumbavu...

Sina damu ya kizanzibari hata chembe.....

Kwetu ni Matema Kyela mwaisa....

Yaani wamejiridhisha na kukuruhusu kabisa kutoka hapo ACUTE WODI 14 MIREMBE?!![emoji44][emoji44][emoji1787]

#Nchi Kwanza[emoji7]
#JMT milele dumu[emoji7]
 
Endelea na matusi yako tuone yatakufikisha wapi
Ukikosa hoja unakimbilia vibweka hivi vya fikra mfu:

1)Matusi
2)Umaskini

Dadangu nimekutukana wapi ?!!

Well...kufika nimeshafika huku Kilwa ninaendelea na uvuvi wangu na Adonai Mkuu ananisimamia [emoji7]
 
Huyu rais kutoka Kijiji Cha jambiani kata ya mchambawima kutuharibia sana nchi.anafukuza wazawa anathamini waarabu wa omani?is it right to humiliate inhabitants and appreciate people from Oman? Solution is to make demonstration to expel this madness
 
Ishu iko hiv mamasai wanaish humo mbugan hawaruhusiw kufanya shugul za kibinadamu kulima kujenga watahatarisha hifadh hivyo serikal hulipa gharqma kila mwez kwa wakaz ili kujikim walipoambiwa waondoke wanagoma sababu wanakosa malipo ya kila mwez
 
Huyu rais kutoka Kijiji Cha jambiani kata ya mchambawima kutuharibia sana nchi.anafukuza wazawa anathamini waarabu wa omani?is it right to humiliate inhabitants and appreciate people from Oman? We have to make demonstration to expel this madness
Continue to demand doesn't change anything...we need to act for these people to be released....
 
Choicevariable wewe ni msafwa kabila ambalo ni kama Watumwa tu Wanyakyusa

Wewe huwezi kuona wanachopigania Wamasai kamwe kwa Sababu hata mbunge na Diwani wako ni Wanyakyusa

Hii waachie makamanda wa Machame wanaojua Thamani ya asili yao na Wazanzibar wanaojua Thamani ya Nchi yao

Samahani Lakini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji44][emoji44]

Jojinijo ukabila tena ?!!

Mmh
 
Huyu rais kutoka Kijiji Cha jambiani kata ya mchambawima kutuharibia sana nchi.anafukuza wazawa anathamini waarabu wa omani?is it right to humiliate inhabitants and appreciate people from Oman? Solution is to make demonstration to expel this madness
Ardhi ni mali ya dola...

Dola haikuanza jana kupanga mipango mikubwa ya nchi katika vipande vya ardhi popote vilipo....

Utaandamana peke yako labda na wajinga na wapumbavu wachache....

#JMT for ever[emoji7]
 
Mimi ni MTANGANYIKA, kura yangu ya Urais 2025 nitapiga KITANGANYIKA!
 
Wamejazana kwenye hifadhi wanyama wameanza kuhama wao wanaona wamepata bonde la kuchungia mifugo Yao Kodi hawalipi hii nchi tutaiendeshaje? Wanajua ngorongoro kwa mwaka inaingiza kiasi gani cha fedha za kigeni ambazo ndio hizo hizo serikali inawaletea maendeleo watanzania?
 
Choicevariable wewe ni msafwa kabila ambalo ni kama Watumwa tu Wanyakyusa

Wewe huwezi kuona wanachopigania Wamasai kamwe kwa Sababu hata mbunge na Diwani wako ni Wanyakyusa

Hii waachie makamanda wa Machame wanaojua Thamani ya asili yao na Wazanzibar wanaojua Thamani ya Nchi yao

Samahani Lakini 😂😂😂😂
Jikite kwenye hoja,taarabu peleka Kizimkazi Kuna tamasha.

Kwamba Masai ambao wanahamishwa Kwa staha Kwa maslahi ya Nchi wao ni nani hata wasitii mamlaka? Kila kabila likisema lipiganie walipozaliwa hayo Madini ya huko Mara yatawafaidisha nyie watu wa Kilolo?
 
Ishu iko hiv mamasai wanaish humo mbugan hawaruhusiw kufanya shugul za kibinadamu kulima kujenga watahatarisha hifadh hivyo serikal hulipa gharqma kila mwez kwa wakaz ili kujikim walipoambiwa waondoke wanagoma sababu wanakosa malipo ya kila mwez
Kumbe sababu ni CHAPAA ,MPUNGA ,UBWECHE ,CHAPA YA KAIZARI halafu akina Erthyrocytes wanatuletea "nye nye nye " hapa [emoji1787][emoji1787]

Watu na ajenda zao...halafu vurugu zikitokea na magaidi akina Al Shabaab waanze "breeding grounds" ...

Havoc
 
Back
Top Bottom