Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?


Mpiga ramli wa kigiriki 😂 😂 😂 😂 😂
 
Mioyo ya watu ni kiza kinene.. Ukijua hivi wanajua vile..
"Kandahar" najuwa ipo Afghanistan, au Pakisatan. Huko kuna hilaza kila aina. kama huamini kwaulize maYankee na wasoviet, watakupa mlejesho.

Unaulizia PLAN B; ya nini? Wakati mama "Wapende wasipende" ni yeye tu>

Hakuna mtoto wa mjini anayetembea na tumbo tupu. Kichwa kitafanya kazi ya kutengeneza hizo "chocho" bila ya kujazwa tumbo lake?
 
Yesuuuuu!!!
 
Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Natamani ujuwe bila serikal kubana mitandao na mb kuwa gharama Taifa la mtandao lingesha iindoa ccm madarakani asubuh mapema. Ogopa Maneno ya wazee. Watanzania wanataka mabadiliko wakiyakosa wanatafuta kwingine. Watu wamechoka yaani watu mtaani wamechoka na elimu ya kata imeleta zahma kubwa yaani mimi ni lime wewe na uzao wako muajiriwe BOT na Tra? Yaani mimi nifanye biashara alafu watoto wako waje nifilisi kupitia TRA hapo bora alie juu nimfuwate hapo ndipo Tz imefika watu wanaona wanasikia wanashuhudia na wao wanatamani wale kwa karibu national cake kiufupi hali ni tete sana tunaitaji big reform
 
But ktk mukadha huwo huwo wapo wanakidon wanaona hiyo plan amekuja nayo italeta dhahima nyingine mbaya sana kwa Taifa kiasi itattishia national interest. Why ccm ni chama dola ie wakiweka mgomba bado utakuwa rais je kwa nini Yeye? Na kwa masilahi ya nani kumbuka ccm uwepo wake sio kulinda watu kama tunavyo ona ccm kuwa chama dola ni kulinda national interest yes siwezi ongea sana ila ccm ni chama dola mfumo wake ni complex ndio maana makamo amesoma hiyo code akaona bora akafie uraiani kuliko kufa usingizini. Ccm hailindi agenda za mwenyekiti ndio maana ukikosea kidogo ccm kujichimbia kaburi ni second. Nyerere was very smart.... wakiona huwelewi plan b same team nikukigawa chama ili kulinda national interest 👌
 
Watashindwa kama walivyoshindwa Toka day 1

Kete Yao ya mwisho ni kuchochea mgawanyiko wa kidini,nayo imebuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…