Wamefanikiwa kumchafua mpaka hauziki tena! Je wana plan B? Ni ipi?

Tatizo haya mambo tunayasemea mitandaoni sehemu ambako hakuna watu wengi

Ukiwa humu unaweza dhani taifa kuna upinzani ,lakini ukweli watu wa mitandaoni,ni kakikundi ka watu wachache tu wenye kujitia matumaini yasiyowezekana
Ukweli ndio huo,watu wanaandamana mitandaoni,barabarani hawapo.Jamaa yetu kapigwa kesi ngumu,huku mitandaoni wanaendelea na vitisho na vimbwanga hapa hamna kitu zaidi ya kutiana moyo.Na kuachiana mabaya saa ya ubaya
 
Shikamoo kizungu😂😂😂
Yes,
ni muhimu sana kukaa kwa kutulia kimya ili kujifunza kwamba ukiwa na nafasi ni vizuri kujitambua na kuwajibika ipasavyo, sio ukitoka kwenye nafasi hiyo ndio unabaini matatizo.
hiyo ni nonsense kabisa gentleman
 
Mshindani yuko keko, hiyo inaitwa "amepita bila kupingwa" . Ni mwendawazimu pekee ndio anaweza kuwa na kiherehere cha kwenda kupanga foleni
Ndiyo maana Makamu kawaambi wafanyakazi waende na ma house girl siku yakura!!
 
Your browser is not able to display this video.

Kweli kabisa uchaguzi ulishaisha maana kilichopo mbele sio uchaguzi tena bali maonyesho ya ujinga wa kaburu mwanamke mzanzibar kwenye masanduku ya kura akishirikiana na mkwe na polisi.
 
Chadema wanatapata, wanajuta kwa chaka walilo ingizwa na viongozi wao la kukataa kusaini kanuni za maadili na kujifungia mlango wenyewe wa kuto kushiriki uchaguzi mkuu. Wamenasa kwenye mtego na hawawezi kujinasua na wala hakuna mtu wa kuwanasua kwasababu wameingia wenyewe.

Ujuaji mwingi wameishia wasijue la kufanya kwa sasa......hawawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma....wanabanwa na kanuni.
Ndio maana G55 waliigomea msimamo huo.
Kuchamba kwingi.
Hata Lisu akikutwa hana hatia, hawezi kugombea...na uchaguzi Mkuu upo palepale.

Mtego wa Pili Lisu kalopoka hadharani, mchana kweupe kuwa watafanya UASI, Hili sio game bali ni ujuaji wa Lissu ndio unakigharimu chama leo hiii...poleni sana kwa kuingizwa chaka.
Kukosa kiongozi mwenye hakima na busara ndicho kinacho wagharimu wanachama wa Chadema.poleni sana. wote mnatumbukia shimoni.
 
 
Haya ni matokeo ya shule za kata na elimu bure. Ukichunguza Sana cheti chako kina saini ya ndalichako na picha yako pale juu. Si ajabu kukuta pia matokeo yako ya form 4 ni yale ya GPA
Unatumia akili ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…