Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Kwani si umeambiwa kiingereza kitatumika kama somo. Halafu mkuu inaonekana wewe mind yako inakwambia Sasa hivi ni mwaka 1985. Yani bado unawaza tu kuhusu interview?

Wake up bro
 
Mzazi a
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Mimi huwa namwambia mwanangu, wewe nenda shule kainjoi maisha, moments na kutengeneza connections na watu muhimu.

Kipindi unachotakiwa kuinjoi zaidi ni mapumziko.

Ukifeli ama kufaulu sitakujaji sana, ila hakikisha hujawa wa mwisho, atleast nyuma yako kuwe na watu kadhaa wanakufuata.
 
Kuna mahali unaumia ukiona mtu anahangaika kusomesha EMs? Kama ndivyo, nini kinafanya uumie mtu mwingine kusomesha watoto anapojisikia?

Kwa sababu naona wanapigwa . Hawajui wanacho kifanya. Naumia kama vile nitakavyo umia nikimkuta mtoto wako wa kiume anafanya ushoga ingawa wewe sikujui.

Naumia kama Yesu alivyo umia kumuona Lazaro amekufa kabla ya wakati wake akaenda kumfufua. All because am a generous person
Vipi wale wanaotumia $15m kupeleka watoto nje kusoma?

Hao wapo sahihi kabisa Kwa sababu uwezo wanao na akili wanazo. They know what they are doing.
Mkuu, haya mambo ni very personal. Sijui kwa nini mnaumia.
Hii Sio ideology ya mwafrika. Your problem is my problem.

Hata baba ako akifa hainihusu cause it's personal umefiwa wewe Sio Mimi but nitakuja kwenye msiba.
 
🀣🀣🀣🀣Yupo private au Government?
 
Kwanza hakuna umuhimu wa elimu, sio English Medium wala kayumba wote kwa asilimia kubwa wanapoteza muda mwingi wa maisha yao kujifunza vitu ambavyo havina mchango wowote kwenye maisha yao bora watoto wangejivunza kilimo, ufugaji na ujasiriamali
Unatumia elimu hyo hyo kufany critism
 
Hicho ni kisingizio cha watu waliofilisika kwasababu ukweli huwezi kupeleka mtoto shule ambayo Darasa wapo 200

Sasa si ndio vizuri akutane na wenzake wacheze wafurahi. Wewe unataka mwanao asome kwenye darasa lenye wanafunzi wanane? Unamchukia mwanao kiasi hicho?
 
Mtoa mada aje ajifunze kwenye comment yako hii.
 
Tuko sawa πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Kwani si umeambiwa kiingereza kitatumika kama somo. Halafu mkuu inaonekana wewe mind yako inakwambia Sasa hivi ni mwaka 1985. Yani bado unawaza tu kuhusu interview?

Wake up bro
Mtaala uliopita shule ya msingi kingereza kilikuwa somo na sekondari kilikuwa cha kufundishia na still kwenye interview watu Wana struggle sembuse hii ya sasa?

Motivation speakers kama nyinyi nawajua vyema, eti "usiwaze interview " unaweza Kuta uko na mavyeti Yako unazunguka mjini kusaka ajira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…