Wamiliki shule za EMs waumizwa na mtaala Mpya. Wazazi wengi sasa wanawatoa watoto Wao shule za EMs kiwarejesha Kayumba

Hawajitambui
 
Chai
 
Kuna kitu unataka kukidhihirisha, bado sijajua ni kitu gani hasa. Ila ni ngumu sana watu kuingia kwenye hiyo bandwagon unayojaribu kuitengeneza, very few will concur with you.

Kusapoti unachoandika humu kuna sababu moja tu, uchumi kuyumba. Yaani hata mimi uchumi ukikaa vibaya it's obvious nitatafuta namna ya kupunguza matumizi, nitawaondoa huko. Ila kama nakopesheka, nalipa madeni...watasoma shule nzuri wapate exposure. Ndio maana niliamua kuwatafuta, hawakuja kwa bahati mbaya duniani.
 
Hata mtoto wa X wangu akinitelekezea siwezi kumpeleka kayumba.

Ada 2M ndio ikufanye ufilisike au? Kama kipato chako ni kidogo it’s understandable.
 
Maskini huwa hamuendelei kwa sababu mnapenda kuona wengine wakianguka kimafanikio.
 
Hizo EMS ndio zina nafasi nzuri kuitumia hiyo mitaala maana haraka sana wanatangaza nafasi za kazi za vijana wenye degrees in relation na hiyo mitaala na hapo hapo wanaongeza ada kucover operation cost zao.

Kimbembe kwenye hizo Kayumba kupata hao walimu, ipaka iandaliwe budget, blah blah nyingi, miundo mbinu nk majanga yanaendelea
 


Exposure ni Nini?

Exposure kwenye shule ya Ems? Tell me you are joking.

At least wangekuwa wanasoma kwenye International School mtaala wa Cambridge.


Ukope Kwa ajili ya kulipa ada shule ya EM?

Kwa sauti ya Pastor Magembe. Utakuja Kuga vibaya wewe?
 
Unazungumzia Ems hizi hizi ambazo walimu wanalipwa laki 2 Kwa mwezi na wana hama hama shule Kwa sababu ya kutolipwa Kwa wakati?
 
Hata mtoto wa X wangu akinitelekezea siwezi kumpeleka kayumba.

Ada 2M ndio ikufanye ufilisike au? Kama kipato chako ni kidogo it’s understandable.
Wenzako wanatafuta hela kihalali mkuu. Wewe ukipiga simu Kwa Juma, Dullah, Kelvin na Emma hela lazima ipatikane.
 
Tunakopa kwa ajili ya mengi, elimu nayo ni mojawapo na wala sioni shida mzazi kufanya hivyo. Tulisomeshwa shule zamani na wazazi walifanya kila jitihada ili tusome.

Tatizo kwako kusomesha watoto ni utumwa, unataka uishi kwenye comfort zone maisha yaende, sivyo maisha yalivyo, unapambana from the moment unaingia duniani hadi unakata moto, na kuwapatia watoto elimu ni sehemu ya mapambano.

Acha kubweteka kijana fanya majukumu yako.
 
Classmate wangu ni mwalimu wa shule ya msingi wanayo soma wanangu anasema hadi Januari 10 kulikuwa na wanafunzi Zaidi ya mia wa madarasa tofauti tofauti ambao wameenda kuombewa nafasi za wazazi Wao. Na Teacher Big anawapiga laki laki kuwapa nafasi .
MAKAGA(Make Kayumba Great Again) mnapambana kweli kweli.
 
Mtaala mpya unaathiri vipi hizo shule za EMs?
Mjinga huyo mleta mada

English medium hufundisha mitaala ya NECTA ikibadlilika na wao wanabadilika

Sema mleta mada mshsmba fulani wa maporini huko kasoma porini huko.hans exposure na shule za English medium na hajui lolote zaidi ya kujua hizo shule za kayumba za wabeba mifagio.na vidumu

Msamehe bure tu
 

Kwa hiyo kumbe unawapeleka watoto private ili uonekane una majukumu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…