Wamiliki wengi wa majokofu/friji wanauelewa mdogo juu ya utendaji kazi wake

Hapo uwezekani ni huo kwamba wanajua kuna mvujo ila hawako tayari kupoteza ulaji hivyo hawatokwambia ukweli ili arudi tena na tena.
 
Na we pia unachanganya, kazi ya expansion valve ni kupunguza ukubwa wa pipe ambayo gesi inapita ili kuiongezea pressure na sio kwamba expansion valve ndio inatia ubaridi....

Valve ile inafinya tu pipe ili gesi itoke ikiwa na pressure.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli... Expansion valve haizalishi ubaridi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli..... We fuatilia utagundua..

Gas inafika kwenye valve ikiwa ya baridi... Valve inafinya tu kuiongezea pressure.

Ila sio inaipa ubaridi... Bali wewe ndio unaanza kuuona ubaridi pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina fridge hicense dogo mlango mmoja juu linagandisha chini ndio ile kawaida...

Ninapoishi kuna tatizo la umeme mdogo nikawa nalitumia bila fridge guard.

Baadae nikanunua guard shida ni hii sasa

Nyakati za mchana umeme unakuwa vizuuur lakini fridge inaweza ikawaka sometime inazima lakini guard inaonesha umeme upo stable na ikizima inapoooza kabisa ukifungua vitu vyoote vimeyeyuka...

Yaani naweza nikaliacha on siku nzima umeme upo safi ila unakuta maji tu ndani ambayo imegandisha na ikayeyusha.. lakini kitambo ilikuwa ukiacha masaa 12 vitu unakuta jiwe na usiku unazima unaiwasha teena asubuh ipo safi.

Usiku huwa naizima kutokana na umeme unakuwa mdogo inashindwa kusukuma mzigo.

Sollution yake ni nin hii mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli..... We fuatilia utagundua..

Gas inafika kwenye valve ikiwa ya baridi... Valve inafinya tu kuiongezea pressure.

Ila sio inaipa ubaridi... Bali wewe ndio unaanza kuuona ubaridi pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ile inaitwa expansion valve!! Anzia hapo kwanza ndo tuendelee !
Exapansion maana yake ni kutanuka , na ndo hapo gas huwa inatoa ubaridi.
Halafu kwenye expansion valve gas haiongezwi pressure bali inapunguzwa pressure,
Ile hissing sound unayoisikia ndani ya jokofu ni freon inakuwa expanded .
 
Haya ndio madhara ya kikariri , muwe mnasoma na kuelewa wazee sio kukariri. mwishowe tutaonekana tuna madharau !!!

Kinachoongeza freon pressure kwenye system ya jokofu au kiyoyozi ni compressor peke yake , baada ya kutoka kwenye compressor gas hiyo hupelekwa kwenye condenser ili ipoteze joto bila kupungua pressure then itaingia kwenye expansion valve kwa ajili ya kutoa ubaridi, baada ya hapo kunaanza cycle nyingine ya compreasion.
 
nilizan ww ni fund boss maana nilitaka musaada wako
 
Suluhisho iltakiwa upate fridge za lg au samsung zenye linear compressors na digital inverter, hizi hazihitaji fride guard maana zinatembea hata imeme ukiwa 100 volts , ni ghali sana though ila ni bora .
Linear compressors are known to have very few friction points, thus very efficient ,ndo maana huwa zina warranty ya hadi maika 15 .
 
mi nisaidie mkuu!,, jokof langu linapiza kwa halaka sana upande wa frizer ni kuanzia 15min na kuendelea ila upande wa chin ina chukua mda mrefu kuanzia 1:30hr mpk 2 hr na hapa inakuwa imepoza kawaida tu yani ubarid kawaida sana,, unanisaidiaje hapa boss,, nina aina ya( HOME BASE)nipo chato
 
Samahani kama nitakosea mimi sio fundi. Ila kimsingi hakuna gesi inayotoa ubaridi duniani. Joto linakawaida kusafiri kutoka ambako lipo kubwa kwenda kwenye joto dogo kutengeneza "thermal equilibrium ". Kitendo hiko kikiendelea itafika hali ambayo joto la gesi ni sawa na joto la kwenye friji..

Ndio maana kuna mdau aliuliza kama anaweza kutumia friji kama AC? Akajibiwa inawezekana ila umeme utahitajika mwingi. Sababu ni hiyohiyo hewa ya chumba kizima inahitaji kugusa sehemu yenye ubaridi .
 
Mwanafunzi mtoro , hebu rejea kwenye somo la kemia kidato cha pili, sijui kama mtaala wa sasa wanasoma hivyo ili sisi tulisoma
Freon inayowekewa kwenye ac na fridge ina tendency ya kutoa baridi inaporudi kwenye ground au natural state.
Compressor inachodanya ni kuzibana gas molecules na kuzifanya kuwa katika exiced states ndo maana gas hii hupata joto kali , expansion valve sasa hufanya kinyume , kuzitoa freon katika excited state na kuirudisha katika natural state , hapa ndo freon hutoa baridi
Cooling system kiufupi ni kwamba scientist walichunguza tabia za freon wakachukua faida zake kutengeneza baridi
 
Tunaomba address ama mawasiliano yako binafsi nina hitaji huduma makini kama hii
 
Mkuu samahani kama nakukwaza . Lakini tangu nausoma uzi ni wewe na buzitata ndio nimewaona mmelielezea friji kwa 100% kuliko mleta mada. Shida yangu nami nilitaka mtumie maelezo sahihi katika kila hatua kama mlivyomtaka meta mada.
Kifupi tusiseme ile gesi inatoa ubaridi bali tuseme gesi ya baridi ina nyonya au kusharabu au kufyonza joto la ndani ya friji. Sasa tukisema linafyonza joto ndio mtu asiyejua chochote kuhusu friji ataelewa kwanini haitakiwi kuacha wazi mlango wa friji.

NB: Natambua ujuzi wako uliopevuka kwenye hivii vifaa
 
Nilitaka nikujibu ila najikuta roho inakataa sijui kwann . Ila jaribu hata kugoogle mkuu
 
Mkuu hapa kuna issue kidogo... Kuna expansion valve, kuna capillary tube, kuna Orifice tube hizi zote zinafanya kazi moja but expansion valve kidogo yenyewe ina advance kwakua inakua ina regulate passage ya refrigerant kutegemeana na temperature.. na ndo maana inakua na kichwa flan hivi na kimkia hivi pamoja na pin hii inavofanya kazi ni kwamba siku joto linapokua kubwa maana yake ni kwamba more refrigerant inahitajika kuingia kwenye evaporator ili kutengeneza baridi kubwa na kwa haraka ili ku overcome heat load.. na panapo kua hakuna joto kabwa, basi expansion ita expand kidogo (itafunguka kidogo) kuruhu gas kiasi ya baridi kuingia ndani ya evaporator ili kupoza compartment ya fridge yako..

Expansion valve ni kama ule mdogo wa perfume unavofanya kazi.. kwakua ndani ya perfume kuna kua na compressed fluid, lle fluid ikiwa released kupitia kamdomo kadogo ile perfume itatoka kwenye liquid format na kutoka kama gas na itakua ya baridi.. sasa hivi ndivo pia expansion valve inavofanya kazi.. baada ya gas kutoka kwenye condenser hufika kwenye metering device (inaweza kua expansion valve, au orifice tube, au capillary tube depending on the system design but same working principles) gasi ikifika hapa itabana na kupita kwa kitundi kidogo sana.. so hapa pressure ya gas will change gafla from high pressure to low pressure na ile liquid refrigerant itachange to gaseous form na temperature ita drop significantly... Na ndipo ubaridi hutokea... Sasa huu ubaridi unakusanywa sehemu moja ili kua na larger surface for heat exchange (surface hii ndo tuna iita evaporator mkuu) so evaporator ikisha absorb temperature ile gas itarudi kwenye compressor kwa ajili ya mzunguko tena..


Bonus hint:
Compressor za Ac, fridge zipo designed ku compress Freon (refrigerant) in gaseous form and not in liquid form... U
So wakati wa kujaza gas ukijaza gas in liquid form uta hydro-lock compressor na kuiua..

ni kama enjini ya gari, ikiingiliwa maji na ika compress yale maji basi injini inaweza pasuka au ikakunja mkono wa piston kwakua maji ni non compressible, but only air is compressible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…