Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Enzi za mwalimu?Mpwa naona akili zimekua stable sasa, hongera sana. Mungu akubariki, CCM haijawahi na haitakaa iwe kwa maslahi ya nchi. Kama Mbunge anaweza kusimama bungeni na kukiri kuwa Yuko Tayari kuua ili kuutetea Ubunge na akapigiwa makofi basi ujue Hali ni mbayaaaaaaa
SijuiMwijaku ni pacha wake ndugai?
Moderator ume merge hata hii ? we ni kiboko !Wakuu niatanguliza salamu , baada ya Salamu naomba nitoe maelezo kidogo kuhusiana na nafasi ya spika wa bunge la Tanzania , halafu niingie kwenye mada.
Spika wa Bunge ndiye kiongozi wa Wabunge wote wa Tanzania , ndiye pia kiongozi wa Mhimili wa bunge , ambao una kazi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali , kimsingi Spika ni mtu mzito , ambapo taarifa zinadai anaweza pia kuongoza nchi kwa kipindi fulani inapotokea sintofahamu yoyote kwenye nchi , Kwa maana hii Spika ni mtu muhimu
Baada ya utangulizi huo mfupi naomba sasa nianze kuwachambua Wagombea wa Nafasi hii kutoka ccm , chama chenye wabunge wote bungeni .
1. Mh Mwijaku
Huyu ni kijana wa mjini ambaye mtaji wake mkubwa ni mdomo wake , inasemekana ana elimu ya shahada kutoka UDSM , ni Mtangazaji wa redio ya clouds fm ya DSM kwenye kipindi cha Umbeya kiitwacho LEO TENA , ndani yake kuna kipengere kinachoitwa Heka Heka , wengi wanafahamu yanayojiri ndani ya kipindi hicho .
Mgombea huyu wa Uspika aliwahi kuwa mpiga debe wa timu ya soka ya Simba , ambako alitoa ahadi kabambe ya KUTEMBEA UCHI kwa umbali mrefu ikiwa Timu yake hiyo ingefungwa na Yanga , Simba ilifungwa na Yanga lakini kwa masikitiko Makubwa aligoma kutimiza ahadi yake ya KUSAULA hadharani .
Mgombea huyu anayepewa nafasi kubwa ya kuwa Spika wa bunge la Tanzania , kama anavyoonekana pichani
View attachment 2081040
Akiwa Mahakamani Kisutu , ambako alishitakiwa kwa kuweka picha za utupu/ngono mitandaoni , ambapo alirudishwa Rumande kwa kushindwa kulipa dhamana ya tsh laki 5 .
Note : Kazi ya kuchambua wasifu wa wagombea wengine inaendelea .
========
2.
3.
4.
5.
Kwa hiyo ule muhimili ndio umepoteza sifa kwa viwango hivyo, Mimi na ulaani ule weledi wa kitanzania unaotuharibia maadili ya taifa letu na kutudhalilisha machoni mwa ulimwengu iliostaarabika🤔.Wakuu niatanguliza salamu , baada ya Salamu naomba nitoe maelezo kidogo kuhusiana na nafasi ya spika wa bunge la Tanzania , halafu niingie kwenye mada.
Spika wa Bunge ndiye kiongozi wa Wabunge wote wa Tanzania , ndiye pia kiongozi wa Mhimili wa bunge , ambao una kazi ya kutunga sheria na kuisimamia serikali , kimsingi Spika ni mtu mzito , ambapo taarifa zinadai anaweza pia kuongoza nchi kwa kipindi fulani inapotokea sintofahamu yoyote kwenye nchi , Kwa maana hii Spika ni mtu muhimu
Baada ya utangulizi huo mfupi naomba sasa nianze kuwachambua Wagombea wa Nafasi hii kutoka ccm , chama chenye wabunge wote bungeni .
1. Mh Mwijaku
Huyu ni kijana wa mjini ambaye mtaji wake mkubwa ni mdomo wake , inasemekana ana elimu ya shahada kutoka UDSM , ni Mtangazaji wa redio ya clouds fm ya DSM kwenye kipindi cha Umbeya kiitwacho LEO TENA , ndani yake kuna kipengere kinachoitwa Heka Heka , wengi wanafahamu yanayojiri ndani ya kipindi hicho .
Mgombea huyu wa Uspika aliwahi kuwa mpiga debe wa timu ya soka ya Simba , ambako alitoa ahadi kabambe ya KUTEMBEA UCHI kwa umbali mrefu ikiwa Timu yake hiyo ingefungwa na Yanga , Simba ilifungwa na Yanga lakini kwa masikitiko Makubwa aligoma kutimiza ahadi yake ya KUSAULA hadharani .
Mgombea huyu anayepewa nafasi kubwa ya kuwa Spika wa bunge la Tanzania , kama anavyoonekana pichani
View attachment 2081040
Akiwa Mahakamani Kisutu , ambako alishitakiwa kwa kuweka picha za utupu/ngono mitandaoni , ambapo alirudishwa Rumande kwa kushindwa kulipa dhamana ya tsh laki 5 .
Note : Kazi ya kuchambua wasifu wa wagombea wengine inaendelea .
========
2.
3.
4.
5.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Wakuu niatanguliza salamu , baada ya Salamu naomba nitoe maelezo kidogo kuhusiana na nafasi ya spika wa bunge la Tanzania , halafu niingie kwenye mada.