Wewe mpuuzi una habari polisi walizingira nyumbani kwa Mbowe na kumbe hakuwemo humo.Ulikuwa wapi wewe na wana CHADEMA wote? Kwani hujaona Mbowe yupo peke yake na kubebwa tu nakwenda kupakiwa kwenye gari? Matapeli sana ninyi
Polisi wamezingira nyumbani kwa Lissu na wamemkamatia nyumbani kwake.
Kwakuwa una elimu ndogo na exposure yako ni ndogo ngoja nikuelimishe kuhusu Universal declaration of Human Rights hasa " article 13"
Everyone has the right to freedom of movement and residence within the borders of each state. Everyone has the right to leave any country, including his own, and to return to his country.
Universal Declaration of Human Rights | United Nations
A milestone document in the history of human rights, the Universal Declaration of Human Rights set out, for the first time, fundamental human rights to be universally protected. It has been translated into over 500 languages.
Sasa kama wewe unaunga mkono serikali inayokandamiza kisa unapewa $3 kumsifia Samia bado kama nchi mna safari ndefu.