Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 4,748
- 7,061
Hiki kituko, unakikuta Tanzania tu! Mtu umemfungia mlango na makufuli, halafu unatamba kuwa huyo mtu AMESHINDWA KUINGIA ndani!!!?My Take
Poleni sana Machadema vibaraka wa Mabeberu.
Mumechokwa kipindi kibaya Cha kuelekea Uchaguzi [emoji23][emoji23]
Kajipangeni upya,this time kiki imebuma,mumewaangusha Waliowatuma [emoji2957][emoji2957]
Mwisho, Watanzania sio manyumbu
Kwa tafsiri yako na wengine wenye akili kama yako, unashangaa, ni kwa nini hao jamaa wasio na siraha, walishindwaje kupambana na askari waliokuwa na siraha kila kona!
Usifananishe maandamano ya wapinzani wa CCM na siasa za kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa za Simba na Yanga!